Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO.
Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .
Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho.
Soma...
Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani.
Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
nimetoka kusema hata dakika 5 hazijaisha, huyo hapo kachagua lumande ya mpaka siku ya kuzaliwa yesu mwezi wa 12 trh 25. Kabla ya jogoo hajawika na kweli!!!
Usiku mwema ndugu zangu
Viburi vyote vitatuisha kesho, huo sio utabiri, ni uhakika. Am not Mugo wa Kihiri in Kusadikika, someone who could predict what is will happen in the future.
Am sure 💯 draw kesho ni hiyo.
Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).
Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu...
Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne wamejitokeza kuwania nafasi hiyo miongoni mwao akiwemo binti wa mwanasiasa mahiri na mwanadiplomasia...
Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024:
UONGOZI NI VIJITI VYA KUPOKEZANA NAMI NAJIANDAA KWENDA KUCHUKUA KIJITI
Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri...
Baada ya kushuhudia mechi tamu kutoka kwa Al Ahly akimkaribisha mpinzani wake na mshindani wake wa siku zote Simba
Mechi ambayo imetamatika kwa sare ya bao 1-1 na kumfanya Al Ahly avuke kwenda nusu fainali kwa faida ya bao la ugenini aliyopata kwenye mchezo wa kwanza wa ufunguzi hapa Tanzania...
Baada ya kushuhudia match ya ufunguzi wa michuano bora hapo jana kwenye dimba la Benjamín Mkapa
Ufunguzi wa michuano yenye thamani zaidi Africa inayojulikana kwa jina la African Football League (AFL)
Match ambayo iliwakutanisha Big fish wawili ambao walitoshana nguvu na kutoa burudani ya...
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
Mwili wa Papa Mstaafu Benedict wa 16, na kichwa chake kikiwa juu ya mito ya rangi nyekundu, umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huku maelfu ya watu wakiwasilisha maombi ya kutoa heshima za mwisho kwa Papa huyo ambaye aliishangaza dunia kwa kustaafu.
Kulipopambazuka, Walinzi 10 wa Papa...
Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao.
Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini.
Unatazama soka mpaka unafurahia.
Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.
Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.
Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.
Philip Mpango naye...