Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,124
Reaction score
2,472
20250927_211937.jpg

Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.

Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.

"There is no superior race.. There is no ‘chosen people of God. It is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro

Pia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza, Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:

“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”

“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro

Pia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.

Marekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.
 
Marekani ,Israeli na washirika wake wanaona sawa watoto na wanawake wasiokua na silaha kuuwawa na wanamchukia yeyote anaepinga mauaji yao zaidi ya watoto 70,000 wameuliwa na Israeli, bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na dawa kuingia ,wanaua waandishi wa habari ili dunia isione uovu wao.

Yeyote anaeyefurahia haya ni muuaji ambaye hajapata nafasi kuishika silaha
 
Kwanini Marekan wasiifute kabisa hiyo Gaza, kwani kubwa kiasi gani ili ili jambo lifike mahali liishe. Kobazi ukimuacha hata mmoja watazaliana tena na kuja kusumbua. Dawa ni kufuta wote
 
View attachment 3480217

Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.

Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.

"There is no superior race.. There is no ‘chosen people of God. It is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro

Pia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza, Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:

“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”

“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro

Pia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.

Marekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.
Rabaika
 
M nawashangaa humu wanosupport mauaji GAZA kwa kweli hya mambo yanaumiza sanàaa kuona binadamu wenzako wakiuliwa kama siafu waloingia mitaani
Wengi wanasuport ni Wakristo na sababu kubwa zinawasukuma na mbili (naandika thread kuhusu hilo )

1.chuki kwa Waislamu
2. Kuamini Israeli ni Taifa la mungu hivyo wanhaki kufanya hivyo na wasihojiwe kwasabbu ni kazi ya Mungu ndio maana mdau kama huyu

Kwanini Marekan wasiifute kabisa hiyo Gaza, kwani kubwa kiasi gani ili ili jambo lifike mahali liishe. Kobazi ukimuacha hata mmoja watazaliana tena na kuja kusumbua. Dawa ni kufuta wote

na watu aina yake hawaoni ubaya kinachotokea gaza na anatamani watoto wote wa gaza na Waislamu wote wauliwe kwasabbu hawapendi Waislamu .

Hawa watu wakishika madaraka watakutesa hadi ufe k

Inhumane
 
Colombia hii hii iliyokaliwa na wauzaji sugu wa madawa ya kulevya enzi hizo, leo hii wamekuwa malaika!.
Historia ya nchi haiondoi thamani ya hoja ya haki za kibinadamu hali ya kiuchimi ,kisiasa ya Colombia au taifa lolote, haihusiani na kukemea kuangamizwa kwa raia na kuzuia misaada ya kibinadamu.

Kemea maovu haijalishi hali yako
 
Hata iweje siwezi kumkemea Benja Nyau ni ndugu yangu utanisamehe kwa hilo.
 
Hakuna anayemlazimisha kukemea kama ameshindwa kuona uovu basi hakuna atakae weza kukuonyesha ni juu yako na mtazamo wako, lakini hakibadilishi kitu kwa kinachotokea gaza ,na inchi zote zikiwemo za Kikristo haziwezi zote kuwa makosani kama unavyotuona sisi tunakosea kumkemea mauaji,

Lakini uovu unabaki kuwa uovu bila kujali kafanya ndugu yako

Na labda utumbie huo undugu wenu na Netanyahu unatokana na nini?
 
Nafikiri tuyaache hayo sis wenyewe tunamajanga yetu nchini, kuhusu undugu na Benja Nyau ni ukoo mmoja katika tabia...
 
😁😁Hivi unajiona upo Sayari gani tofauti nasisi au huko hakuna Oksijeni.
Hii ni inferiority complex yako tu.

New York City iko sayari hii hii ni wewe tu na fikra zako za kichawi mtu akisema fact ya kawaida tu unajisikia kama umetukanwa.

Yani mtu kusema yupo New York City tu hapa ushaona issue?

Una matatizo gani wewe?
 
🤣🤣 Usijali Mkuu nilikuwa najifariji tu pia na kukumbusha usisahau nyumbani usichulie siliaz sana hatahivyo na kupongeza kwa kutumia jukwaa hili la Jf
 
Makao makuu ya Umoja wa Mataifa yalitakuwa kuwa kwenye kisiwa kinachoendeshwa na Umoja wa mataifa.

Hawa marais wanavyokuja New York City hata wakazi wa New York City hatupendi kwa sababu wana haribu traffic sana.
Tuma Salamu kwa watu watatu kutokea Newyork
 
🤣🤣 Usijali Mkuu nilikuwa najifariji tu pia na kukumbusha usisahau nyumbani usichulie siliaz sana hatahivyo na kupongeza kwa kutumia jukwaa hili la Jf
Una hasira na maisha. Punguza hasira.

Ongea na watu vizuri tutakutumia mualiko ufike New York City na wewe tu.

Ni dunia hii hii tu, si sehemu ya ajabu hivyo.
 
Back
Top Bottom