Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Qur’an inatafsiriwa kwa ufafanuzi wa kila kitenzi, si kwa kuunganisha maneno bila muktadha. Hivyo, kujaribu kuunganisha “imekaribia” na “umepasuka” kama tukio la kiama ni logical fallacy, kwa sababu Qur’an inatofautisha muda wa matukio.
Naona unabishana na Allah sasa wewe nimekuuliza unaamini Mwezi ulipasuka au huamini? kuna thousand of translation na unaamini mwanazuoni gani katika uislam tuweke tafisi yake tusome tucheke
 
umejithibitishia mwenyewe huna uwezo wa kielimu wala kiakili kujadili Qur’an unatumia kejeli kufunika mapungufu ya maarifa.
Wanasema Mjinga akijitapa, anadhani makelele ni hoja.

kabla hujafasiri Qur’an, pata kwanza elimu ya lugha, tafsir, na muktadha (asbāb an-nuzūl) maana Qur’an sio ya kutafsiri kihisia.
Hahaha so mimi sina uwezo wa kielimu kuhusu Quran vipi kuhusu Mohammad mtume wako asiyejua kusoma wala Kuandika hahaha even Allah alipomtuma Jibril hakujua kama Mohammad ni Kilaza akamsqueez mara Tatu soma jama hawezi soma njemba haliwezi hahaha unataka nikuoneshe Aya za ujinga wa Allah? Soma Quran 67:19 Eti Allah huwashikilia ndege wasianguke chini wakiwa angani wamepaa na mabaya yao wakiwa wameyanyoosha wakielea hahahaha. Allah hajui hata Physics and mdadai eti Allah ajaua wasiyoyajua..
 
Makao makuu ya Umoja wa Mataifa yalitakuwa kuwa kwenye kisiwa kinachoendeshwa na Umoja wa Mataifa.

Hawa marais wanavyokuja New York City hata wakazi wa New York City hatupendi kwa sababu wana haribu traffic sana.
Au kwenye nchi neutral zisizoingiliana sana na siasa za kidunia kama kama Switzerland, Singapore
 
Leta huo ushahidi wa Binaadam wa kwanza kabla ya Adam.
Quran 3:33 inasema Allah alimchagua Adam kuwa juu ya walimwengu wote so Adam time yake aliteuliwa miongoni mwa watu aliowakuta

Quran 3:33 Hakika Mwenyezi Mungu alimteuwa Adam na Nuhu na ukoo wa Ibrahim na ukoo wa Imran juu ya walimwengu wote.
Kama Adam ni mtu wa kwanza and no others anateuliwaje juu ya walimwengu wakina nani?

Ukiwa wewe ni fake muslim je unaweza tutajia ukoo wa Imraan? Ndio upi haswa?

Kichekesho mke wa Imran Quran 3:35 eti akamzaa Maryam mama yake Yesu hahaha wakati Miaka wamepishana ni mamia kadhaa, and ukoo wa Ibrahim mussa anakuwemo humo, sasa ukoo wa Imran ni upi wakati quran inasema imran ni baba take musa Harun na bikira Mariam, Allah alisahau kuwa ukoo wa Musa umetoka kwa Ibrahim iweje ateue tena Imran?
 
Quran 3:33 inasema Allah alimchagua Adam ouwa juu ya walimwengu wote so Adam time yake aliteuliwa miongoni mwa watu aliowakuta

Quran 3:33 Hakika Mwenyezi Mungu alimteuwa Adam na Nuhu na ukoo wa Ibrahim na ukoo wa Imran juu ya walimwengu wote.
Kama Adam ni mtu wa kwanza and no others anateuliwaje juu ya walimwengu wakina nani?

Ukiwa wewe ni fake muslim je unaweza tutajia ukoo wa Imraan? Ndio upi haswa?

Kichekesho mke wa Imran Quran 3:35 eti akamzaa Maryam mama yake Yesu hahaha wakati Miaka wamepishana ni mamia kadhaa, and ukoo wa Ibrahim mussa anakuwemo humo, sasa ukoo wa Imran ni upi wakati quran inasema imran ni baba take musa Harun na bikira Mariam, Allah alisahau kuwa ukoo wa Musa umetoka kwa Ibrahim iweje ateue tena Imran?
Leta ushahidi wa Nabii Adam aliongoza kizazi kisichokuwa chake siyo kuingiza dhana zako.
 
Umejuaje mimi ni old man?

Mzaha mdogo na mkubwa unaupimaje?

Unamfanyiaje mzaha mtu humjui?

Wewe unanipangiaje mimi upi ni mzaha mdogo na upi mkubwa?

Nani kakupa cheo cha kupanga upi mzaha mdogo na mkubwa.

Wewe kuja ku impose ujinga wako kwa wengine bila hata metrics wala hoja, kwa ad hominem fallacy attacks zisizo na hoja, za "old man" si kuwa emotional?

Unajuaje nimekuwa pissed off mimi na si wewe tu huijui dunia na huwezi ku handle a normal spirited debate?

What if you are the half brained lethargic nitwit who think people are pissed off just because they are highly engaged and naturally energetic?
Tulia wewe
 
View attachment 3480217

Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.

Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.

"There is no superior race.. There is no ‘chosen people of God. It is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro

Pia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza, Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:

“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”

“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro


Pia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.


Marekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.
Ukishaona kwenye umoja au jumuiya za kimataifa mko sawa hamzidiani nguvu ama za kivita au za kiuchumi wote mko level sawa, ujue umoja au jumuiya hiyo ni club ya kuburudishana tu, hamuwezi kudeal na matatizo yenu labda mtaweza kushughulika na visumbufu tu ambavyo haviitaji effort kubwa.
 
Leta ushahidi wa Nabii Adam aliongoza kizazi kisichokuwa chake siyo kuingiza dhana zako.
Wewe akili zako ni kama za Allah wote hamna akili ya jambo lolote, sasa Quran ina faida gani kwako? Maana huijui ,huielewi,humuelewi Allah au unajitoa ufahamu? Sisi tukisoma Quran tunacheka tu hahaha ndio maana nimekuambia huujui uislam , aya za Quran zilivyo ni kuwa Adam was not a first person katika dunia nimekupa hizo aya kama ulivyo mjinga unaanza kuuliza watu gani hao hahaha, na humu nimekuuliza wewe so kwa daubt yako jibu ni kubwa Allah ni muongo au mudy kakopi story kwa dini zingine Kisha kachomeka yake aonekane tofauti ila ndio kaharibu hahaha, Allah anasema kamteua Adam mean ''Kati ya'' so walikuwepo other humans time ya Adam Quran imekwamia hapo,

Niambie Hawa(Eva) yupo ndani ya Quran au hayupo? Naomba aya nijue kama wewe ni muslim au nafundisha chizi
 
Back
Top Bottom