Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Wengi wanasuport ni Wakristo na sababu kubwa zinawasukuma na mbili (naandika thread kuhusu hilo )

1.chuki kwa Waislamu
2. Kuamini Israeli ni Taifa la mungu hivyo wanhaki kufanya hivyo na wasihojiwe kwasabbu ni kazi ya Mungu ndio maana mdau kama huyu

na watu aina yake hawaoni ubaya kinachotokea gaza na anatamani watoto wote wa gaza na Waislamu wote wauliwe kwasabbu hawapendi Waislamu .

Hawa watu wakishika madaraka watakutesa hadi ufe k

Inhumane
Kwa mambo ya kigaidi yanayofanywa na waislamu itikadi kali,angalia nortth nigeria wanayoua wakristo,hata wewe lazima uuchukie uislamu.
 
Wengi wanasuport ni Wakristo na sababu kubwa zinawasukuma na mbili (naandika thread kuhusu hilo )

1.chuki kwa Waislamu
2. Kuamini Israeli ni Taifa la mungu hivyo wanhaki kufanya hivyo na wasihojiwe kwasabbu ni kazi ya Mungu ndio maana mdau kama huyu

na watu aina yake hawaoni ubaya kinachotokea gaza na anatamani watoto wote wa gaza na Waislamu wote wauliwe kwasabbu hawapendi Waislamu .

Hawa watu wakishika madaraka watakutesa hadi ufe k

Inhumane
Wacha nitiki 💯✅
 
View attachment 3480217

Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.

Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.

"There is no superior race.. There is no ‘chosen people of God. It is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro

Pia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza, Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:

“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”

“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro

Pia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.

Marekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.

Au huyo Gustavo ni mwongo au mleta mada ni mwongo.

Gustavo hajafutiwa visa yake kwa sababu ya kutetea haki za waplestina au kupinga vita, bali ni kwa sababu ya yeye kushiriki maandamano, na kutoa kauli ya kuwaomba waandamanaji wamwonfoe Trump.

Hilo hata kwa shetia za kimataifa ni kosa.

Kuna viongozi wangapi wameipinga US na Israel kwenye mkutano huo wa UN, na US au Trumo hajawafutia visa?
 
Sasa huko kushiriki maandamano na kutoa kauli dhidi ya trump si ndio kuinga mkono Palestina, au unafikiri context ya hayo yalikua nini tofauti na Palestina
 
Asante kwa mualiko ila ushauri wangu mkumbuke kuwekeza nyumbani.

Unanishauri unanijua?

Sijaomba ushauri.

Kwa nini unanipa ushauri ambao sijaomba?

Kuna sehemu nilikwambia naomba ushauri wako?

Na kwa nini unafikiri uko qualified kunishauri mimi?

Una qualification gani za kunishauri?

Are you a certified financial planner?

Kwa nini nichukue ushauri kuhusu uwekezaji kutoka kwa watu random ambao siwajui mitandaoni?

Kwa nini unafikiri nahitaji ushauri wako na sina washauri wanaonijua na ambao wako qualified kunishauri?
 
Mbona hatukuona wakilaani mauaji na utekaji wa Oktoba 2023. Mijitu duniani ni minafiki ndo maana vita haishi.
Yaah na hakuna anaeongelea hilo, binafsi naona hiyo propaganda ya "free Palestine " imejibu vizuri sana, watu wameingia kingi mno.

Kuna podcast moja jamaa anaongea na mtu wa Somalia, Msomali yule ati hataki kuongelea yanayoendelea nchini kwake bali kakazana na "free Palestine "
 
Sijaomba ushauri.

Kuna sehemu nilikwambia naomba ushauri wako?
Na mimi sijakulazimisha nihiyari yako kuamua mbona unamakasiriko Mkuu au ukonamsongo wa mawazo tuishie hapa kama nimekukosea nisamehe 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽.
 
Na mimi sijakulazimisha nihiyari yako kuamua mbona unamakasiriko Mkuu au ukonamsongo wa mawazo tuishie hapa kama nimekukosea nisamehe 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽.
Hakuna makasiriko. Ni wewe huijui dunia tu mtu akikupa simple fact unaona makasiriko.

Wewe unaishi katika dunia ya kijima ya kuwapa watu usiowajua ushauri ambao hujaombwa kuhusu mambo usiyoyaelewa.

Unaelewa kuwa unaweza kumshauri mtu awekeze Tanzania halafu akawekeza akapata matatizo ya mifumo yenu ya kijinga halafu akakushitaki wewe uliyemshauri kuwa umemshauri vibaya?

Mimi sijakwambia nahitaji ushauri wako, usijipendekeze kunipa.

Na nikihitaji ushauri nina Certified Financial Planners wa kunishauri. Sichukui ushauri wa random JF people wasionijua.

Ukinipa ushauri ambao sijaomba umejipa umuhimu ambao huna kwenye maisha yangu.

Jifunze kuheshimu watu usiowajua usijipe sana umuhimu usio nao kwenye maisha yao.
 
Hakuna makasiriko. Ni wewe huijui dunia tu mtu akikupa simple fact unaona makasiriko.

Wewe unaishi katika dunia ya kijima ya kuwapa watu usiowajua ushauri ambao hujaombwa kuhusu mambo usiyoyaelewa.

Mimi sijakwambia nahitaji ushauri wako, usijipendekeze kunipa.

Na nikihitaji ushauri nina Certified Financial Planners wa kunishauri. Sichukui ushauri wa random JF people wasionijua.

Ukinipa ushauri ambao sijaomba umejipa umuhimu ambao huna kwenye maisha yangu.

Jifunze kuheshimu watu usiowajua usijipe sana umuhimu usio nao kwenye maisha yao.
MKuu nimekuelewa ila ilikuwa siopakufikia huko unaonesha ni mjivuni kwa namna flani maana kama ushauri wangu ni mbaya ungesema ila umeamua kunishambulia.
 
MKuu nimekuelewa ila ilikuwa siopakufikia huko unaonesha ni mjivuni kwa namna flani maana kama ushauri wangu ni mbaya ungesema ila umeamua kunishambulia.
Hapana.

Wewe ndiye umekosea kutoa ushauri ambao hujaombwa, kwa mtu ambaye humjui kwa jambo usilolielewa.

Wewe ndiye mjivuni umejipa umuhimu usionao.
 
Hapana.

Wewe ndiye umekosea kutoa ushauri ambao hujaombwa, kwa mtu ambaye humjui kwa jambo usilolielewa.

Wewe ndiye mjivuni umejipa umuhimu usionao.
Emotional much?
 
Emotional much?
Wapi emotional?

Kwa nini emotional?

Umepima vipi ukaona emotional?

Kwa nini mkiwa engaged intellectually in a spirited way mnaona mtu kawa emotional?

Huoni hiyo hoja ni ad hominem logical fallacy?

Huoni kuwa umekwepa kujibu hoja zote zilizotajwa, badala ya kujibu hoja, wewe ndiye umempopoa mtia hoja kwa emotion tu?

Kati yangu mimi na wewe nani yuko emotiobal hapo?

Huoni juwa weee kujibu bila hoja ndiyo umekuwa emotional?
 
Old man you have low emotional tolerance ,mtu asiekua emotional hasumbuki na mzaha mdogo reaction is a mirror of the inner state.

kuandika ukurasa mrefu huvi kwa sentensi moja, ni ishara mzaha umetrigger kitu ndani yako , huu ni mtandao mzee haupo nyumbani na familia usichukulie mzaha kama personal attack

Subiri tuone kukutania kidogo ume pissed off ,now unataka kuruka na mimi

Uko Newyork saa ngapi saizi kwa heshima naomba upumzike mzee wangu
 
Umejuaje mimi ni old man?

Mzaha mdogo na mkubwa unaupimaje?

Unamfanyiaje mzaha mtu humjui?

Wewe unanipangiaje mimi upi ni mzaha mdogo na upi mkubwa?

Nani kakupa cheo cha kupanga upi mzaha mdogo na mkubwa.

Wewe kuja ku impose ujinga wako kwa wengine bila hata metrics wala hoja, kwa ad hominem fallacy attacks zisizo na hoja, za "old man" si kuwa emotional?

Unajuaje nimekuwa pissed off mimi na si wewe tu huijui dunia na huwezi ku handle a normal spirited debate?

What if you are the half brained lethargic nitwit who think people are pissed off just because they are highly engaged and naturally energetic?
 
Back
Top Bottom