Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Ni wale waongeaji sana vikaoni, ila michango hawatoi.
View attachment 3480217

Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.

Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.

"There is no superior race.. There is no ‘chosen people of God. It is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro

Pia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza, Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:

“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”

“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro

Pia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.

Marekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.
 
Leta ushahidi
Adam hakuwa Mtu wa Kwanza kulikuwa na watu wengine ndipo Allah akawaambia Malaika kuwa atamuweka Adam kwenye dunia awe kiongozi Khalifa. Malaika wakamshangaa Allah vipi tena kalewa amuweke Khalifa Adam wakati Adam atafanya uharibifu na kumwaga damu za watu waliokuwepo kabla. So uislam kwa hii aya Adam was not the first man so aliwekwa tu Duniani awe kiongozi, angekuwa mtu wa kwanza basi u khalifa wake ungemhusu nani na Dunia haina watu hahahaha.. Malaika wana akili kuliko Allah japo Allah kujidai anajua wasiyoyajua Malaika ila mwisho wa Siku Malaika walikuwa sawa na Allah akawa Wrong. binadamu walimwaga damu na uharibifu mkubwa hadi leo hii.
TUMEJIFUNZA NINI KWENYE HII AYA 2:30 - Allah hajui kitu chochote cha baadae, Allah alikuwa akimtegemea Adam awe kiongozi safi ila haikuwa hivyo, Malaika wanajua kuliko Allah, na Allah aliwaadhibu Malaika kwa kumsujudia Adam Shirki kwa kuwaonea so Allah ni Mwonevu, na mtenda madhambi mkuu wa kwanza. - Na alimuonea na kumuadhibu Iblis kwa kukataa kumsujudia Adam kwani amri ya kusujudu ilikuwa ni kwa Malaika na Iblis hakuwa Malaika alikuwa ni Jini. so, Allah hakutenda Haki

Quran 2:30 -
Al-Barwani
Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.
 
Nchi wanachama michango ya kawaida hawatoi, wasiombe yakaletwa Tanzania, umeme na maji vitawakatikia katikati ya mkutano.

Marekani inawalea wamejisahau sasa.

Watuulize afrika kama AU huko Adis Ethiopia kama bado tuko active.

Siku hizi AU wanachama hawasikiki, kuna migogoro sudan na DRC lakini wameamua kukaa kimya.
 
Adam hakuwa Mtu wa Kwanza kulikuwa na watu wengine ndipo Allah akawaambia Malaika kuwa atamuweka Adam kwenye dunia awe kiongozi Khalifa. Malaika wakamshangaa Allah vipi tena kalewa amuweke Khalifa Adam wakati Adam atafanya uharibifu na kumwaga damu za watu waliokuwepo kabla. So uislam kwa hii aya Adam was not the first man so aliwekwa tu Duniani awe kiongozi, angekuwa mtu wa kwanza basi u khalifa wake ungemhusu nani na Dunia haina watu hahahaha.. Malaika wana akili kuliko Allah japo Allah kujidai anajua wasiyoyajua Malaika ila mwisho wa Siku Malaika walikuwa sawa na Allah akawa Wrong. binadamu walimwaga damu na uharibifu mkubwa hadi leo hii.
TUMEJIFUNZA NINI KWENYE HII AYA 2:30 - Allah hajui kitu chochote cha baadae, Allah alikuwa akimtegemea Adam awe kiongozi safi ila haikuwa hivyo, Malaika wanajua kuliko Allah, na Allah aliwaadhibu Malaika kwa kumsujudia Adam Shirki kwa kuwaonea so Allah ni Mwonevu, na mtenda madhambi mkuu wa kwanza. - Na alimuonea na kumuadhibu Iblis kwa kukataa kumsujudia Adam kwani amri ya kusujudu ilikuwa ni kwa Malaika na Iblis hakuwa Malaika alikuwa ni Jini. so, Allah hakutenda Haki

Quran 2:30 -
Al-Barwani
Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.
Wewe jamaa Quran unaijua sana

Nimekuwa muislamu miaka 20+ ,nimeusoma uislamu sana,

Wewe ni moja ya watu wachache sana unaijua Quran na uislamu kwa undani sana

Barikiwa sana

Napenda sana kusoma mijadala yako
 
Adam hakuwa Mtu wa Kwanza kulikuwa na watu wengine ndipo Allah akawaambia Malaika kuwa atamuweka Adam kwenye dunia awe kiongozi Khalifa. Malaika wakamshangaa Allah vipi tena kalewa amuweke Khalifa Adam wakati Adam atafanya uharibifu na kumwaga damu za watu waliokuwepo kabla. So uislam kwa hii aya Adam was not the first man so aliwekwa tu Duniani awe kiongozi, angekuwa mtu wa kwanza basi u khalifa wake ungemhusu nani na Dunia haina watu hahahaha..
Leta ushahidi wa binadamu walio kuwepo kabla ya Adam
Na alimuonea na kumuadhibu Iblis kwa kukataa kumsujudia Adam kwani amri ya kusujudu ilikuwa ni kwa Malaika na Iblis hakuwa Malaika alikuwa ni Jini. so, Allah hakutenda Haki
Angalia majibu yake kwa Mungu alafu unasema ameonewa katika Qur'an 7:12
"Akasema: ‘Nini kilichokuzuia usijisujudie wakati nilipoamrisha?’ Iblis akajibu: ‘Mimi ni bora kuliko yeye; umeniumba mimi kutokana na moto, na umemuumba yeye kutokana na udongo.’" (Qur'an 7:12)
Hiyo ndiyo sababu yake ya kuto sujudu tofauti na utetezi wako au unataka kusema Shetani hakuelewa amri aliyopewa na swali aliloulizwa?
 
Wewe jamaa Quran unaijua sana

Nimekuwa muislamu miaka 20+ ,nimeusoma uislamu sana,

Wewe ni moja ya watu wachache sana unaijua Quran na uislamu kwa undani sana

Barikiwa sana

Napenda sana kusoma mijadala yako
Na wewe unakubali kulikuwa na binadamu kabla ya Adam au unafuata tu hata kama anakupeleka 🔥.
 
Adam hakuwa Mtu wa Kwanza kulikuwa na watu wengine ndipo Allah akawaambia Malaika kuwa atamuweka Adam kwenye dunia awe kiongozi Khalifa. Malaika wakamshangaa Allah vipi tena kalewa amuweke Khalifa Adam wakati Adam atafanya uharibifu na kumwaga damu za watu waliokuwepo kabla. So uislam kwa hii aya Adam was not the first man so aliwekwa tu Duniani awe kiongozi, angekuwa mtu wa kwanza basi u khalifa wake ungemhusu nani na Dunia haina watu hahahaha.. Malaika wana akili kuliko Allah japo Allah kujidai anajua wasiyoyajua Malaika ila mwisho wa Siku Malaika walikuwa sawa na Allah akawa Wrong. binadamu walimwaga damu na uharibifu mkubwa hadi leo hii.
TUMEJIFUNZA NINI KWENYE HII AYA 2:30 - Allah hajui kitu chochote cha baadae, Allah alikuwa akimtegemea Adam awe kiongozi safi ila haikuwa hivyo, Malaika wanajua kuliko Allah, na Allah aliwaadhibu Malaika kwa kumsujudia Adam Shirki kwa kuwaonea so Allah ni Mwonevu, na mtenda madhambi mkuu wa kwanza. - Na alimuonea na kumuadhibu Iblis kwa kukataa kumsujudia Adam kwani amri ya kusujudu ilikuwa ni kwa Malaika na Iblis hakuwa Malaika alikuwa ni Jini. so, Allah hakutenda Haki

Quran 2:30 -
Al-Barwani
Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.
Adam ndio mwanadamu wa kwanza aliyepewa nafasi ya Khalifa.hakuna uthibitisho wowote wa Qur’an, hadith sahihi, wala historia ya sira unahalalisha madai yako

Malaika walikuwa wakijua mpangilio wa mambo kwa kiwango cha kibinadamu
walijiuliza kuhusu matokeo, lakini Allah ndiye anayejuwa kila matokeo na hekima ya mpango wa dunia.

Qur'an inaeleza Binadamu ana uhuru wa kuchagua, na matokeo mabaya ya umwagaji damu ni matokeo ya uhuru wake, si mapungufu ya Allah
 
Tazama hio picha hapo ni kabla na baada ya uvamizi wake Israeli, hakuna hata choo kilicho baki unataka kuniambia, hio mijengo yote ilikaliwa na hamasi ,kwanini wasishamblie magaidi badala yake wanabomoa shule ,hospital, mijengo ya kihistoria ,miundombinu ya maji/umeme, misikiti tena sio kwa kutarget Hamas wanaibomoa ikiwa empty(kutegesha mabomu) .

Bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na maji wanashambulia makundi ya raia wasiokua na silaha

Lengo lao lipo wazi na wenyewe wanaongea bila kuficha nia yao kuifuta Palestine na wakazi wake .
Waeza weka list ya vita ambayo unampa Adui Maji ya kunywa,Chakua,Umeme,Diesel,Petrol,Madawa,Tent .nk? Mtoaji anatakiwa apewe tuzo gani? Kuna wakati wajinga wanajaribu kuweka chuki zao bila aibu. Gaza kuna raia gani anaeipenda Israel? zaidi ya israel ndio wanawapenda Wa gaza. chuki chukieni ila kamwe Israel itawashinda hadi kiama. uwepo wa arabs Gaza,Judea na Samalia ni huruma tu za Israel. adui mwenye nia ya kukuangamiza huwa haachwi abadan. tusema Israel awe katiri kuna arabs atasalia Gaza na West bank? so ujinga wenu mkaachwa mnasema mnaogopwa na mkipigwa mnalia lia mnasema mnaonewa. Israel ameshasema kama akitaka kufanya Genocide ni bomu moja tu in few hours.
 
Leta ushahidi wa binadamu walio kuwepo kabla ya Adam

Angalia majibu yake kwa Mungu alafu unasema ameonewa katika Qur'an 7:12

Hiyo ndiyo sababu yake ya kuto sujudu tofauti na utetezi wako au unataka kusema Shetani hakuelewa amri aliyopewa na swali aliloulizwa?
Ushahidi wa binadamu before Adam nilete mimi au nimekupa aya uibishie maana Allah ndie kasema Anamleta Adam kwenye Ardhi ya Dunia awe Khalifa yaani Kiongozi wa Watu au unataka kusema Allah alikosea hahaha Au Adam awe Khalifa wa Punda na PIg hahaha kama unaamini Adam alikuwa wa Kwanza so huo u khalifa for what wakati hakuna binadamu mean Allah ni taahira ni sawa na kusema amteue awe mfalme aongoze nchi isiyo na raia. so unatakiwa uchague either Allah ni mjinga au kulikuwa na watu before Adam.. chaguo ni lako. ila ni uthibitisho kuwa Quran ni book la wajinga.

Kuhusu 7:12 ni wajinga wawili walikutana ndio maana nawaambieni Allah ndie huyo huyo Iblis. kwani Allah alisahau kuwa Iblis sio Malaika enh hahaha maana katika amri aliyotoa ni kwa Malaika only wamsujudie Adam Iblis hakuhusika sababu Iblis was Jinni Quran 7:11 Al-Barwani
Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam. Basi wakasujudu isipo kuwa Iblisi, hakuwa miongoni mwa walio sujudu.

Iblis alikuwa sahihi maana hakubishana na Allah kuhusu kujua kuwa Adam atakuwa mtu wa hovyo na mmwagaji damu siku za uongozi wa ukhalifa wake.

Malaika wameumbwa kutokana na Nuru So Ujinga wa Allah aliwaambia Only Malaika wamsujudie Adam na Sio Jin amasujudie Adam. Ndio maana Iblis alilalamika kwa Allah kuwa amemkosea na Allah hakukataa so
Shetani alielewa vizuri swali Quran 7:16
Al-Barwani
Akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
Sahih International:
[Satan] said, “Because You have put me in error, I will surely sit in wait for them on Your straight path.
 
Adam ndio mwanadamu wa kwanza aliyepewa nafasi ya Khalifa.hakuna uthibitisho wowote wa Qur’an, hadith sahihi, wala historia ya sira unahalalisha madai yako

Malaika walikuwa wakijua mpangilio wa mambo kwa kiwango cha kibinadamu
walijiuliza kuhusu matokeo, lakini Allah ndiye anayejuwa kila matokeo na hekima ya mpango wa dunia.

Qur'an inaeleza Binadamu ana uhuru wa kuchagua, na matokeo mabaya ya umwagaji damu ni matokeo ya uhuru wake, si mapungufu ya Allah
1. Nitajie alipewa U khalifa kumuongoza nani? wakati hakuna wanadamu? hiyo ni kauli ya kipumbavu either ukubali walikuwepo watu kabla ya adam au hakukuwa na watu so Adam alipewa Jimbo jipya la kuongoza hewa tupu hahahaha.

2. Malaika umeamua kuwafananisha na Binadamu hahahaha eti walikuwa na akili kiwango cha kibinadamu hayo ni maoni yako au amekufundisha Mtume wako? lete nukuu ya Hadithi tucheke au na wewe ndio wale kundi la waongo?

Alafu unaposema Malaika walijua unambishia Allah kwani aliwaambia Malaika hawajui kitu ila yeye Allah ndie anajua wasivyovijua mwisho wa siku Malaika wajua na Allah hakujua kitu.. na ndio ukweli Allah hajui chochote kile even mwisho wa Dunia alisema Mwezi utapasuka ha haukuwa Mwisho wa Dunia hahahaha kichekesho muslim wanadanganywa kuwa Mwezi ulishapasuka tayari ila Dunia ipo tu hahahaha Quran 54:1
Al-Barwani
Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!

Malaika hawakaujiuliza punguza uongo walimuambia live bila kificho Allah, @Zatch umefikia level ya kutaka kunidanganya na mimi hahahahaha kasome Quran 2:30
Al-Barwani
Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.

So Malaika sio Kuwaza ila waliona kabisa huyo Adam anaenda kuongoza Watu huko Duniani lazima aharibu tu mean walikuwepo and Malaika walionesha wanajua kuliko Allah na Walikuwa wapo sahihi na Allah hajui kitu wivu tu akawaadhibu wafanye Shirk ya kumsujudia Adam, so makosa yote tunaona Allah ndio mhusika mkuu. na ndie Shetani mwenyewe. even Iblis after agreement na Allah kupotosha watu wote duniani ni utekelezaji wa kazi ya Allah aliyekubaliana nae, kwani Allah alisema utakaowapotosha wote wanakuja straight to me (Qaala haaza Siraatun ‘alaiya Mustaqeem)قَالَ هَٰذَا صِرَٰطٌ عَلَيَّ مُسۡتَقِيمٌ hahaha Yaani wanaopotoshwa na Iblis wanaenda straight kwa Allah ndio mjue Allah ndie same same Iblis.

Muslim katika tafsiri ya hizi aya wanahangaika kupotosha tafsiri kuongeza maneno na mabano n.k hahaha Pembe la Ng'ombe halifichiki tuna tafsiri kiarabu direct na sio waongo hahahaha Quran 15:34-44 kasome kwa tafisir sahih ucheke. kibaya Muslim wanadanganya muslim wenzao

Tokea Lini Quran imesema Binadamu ana uhuru wa Kuchagua naomba aya japo moja nicheke hizo contradictions maana Quran inasema ukikuta aya zinapingana pingana ujue Qurani hiyo sio ya Allah Quran 4:82 hahahaha, ungeujua Uislam hata usingetamka hilo jambo linalokuweka jf wote wakuone u mpumbavu, nikuulize why unasema Inshallah? it mean kila kitu Allah ndie anapanga najua huwezi kataa sasa huo uhuru umeutoa wapi?

katika uislam Allah keshawapangia kila mtakalo fanya ni upuuuzi tu wenu eti uswali sana, utoe zaka au sadaka n.k mnajichosha tu Allah keshawapangia mwisho wenu either ni motoni au firdaus fake...hahahaha

Kuna hadith nyingi tu za kuthibitisha debate ya Musa na Adam, Musa alikuwa akimlaumu Adam kuwa ndie amesababisha Binadamu hawapo tena Firdaus na Adam akamuambia Musa usinilaumu mimi kwani Allah alishaniandikia makosa nitakayokuja yafanya ya kula Tunda miaka 40 kabla ya kuniumba, Adam akashinda hiyo debate na mudy wenu alirudia hiyo hadithi kwa kumaliza sentensi ya mwisho kwa kusema akirudia mara tatu Adam alimshinda Musa, Adam alimshinda Musa, Adam alimshinda Musa.

huujui uislam Ujinga mwingine wa Allah Kapanga Adam afanye kosa then akampanga aombe msamaha then akamsamehe kisha akamfukuza Firdaus hahahahaha Allah ni Crazy

Unajua Hadithi inayosema watu weusi Allah kawapangia kwenye Moto na hatojali na weupe Firdaus hatojali? ndio ujue Allah ni Mjinga kwani alidai alimpiga bega la kushoto la Adam wakatoka watoto weusi so Adam alizaa kupitia mabega yake hahaha bega la kulia uzao wa weupe. hii dini kuiamini uwe mjinga haswa.
​
Grade: Isnād Hasan (Zubair `Aliza'i) Mishkat al-Masabih 119
​
Abud Darda' reported God’s messenger as saying, “God created Adam when He created him and struck his right shoulder and brought forth his offspring white like small ants. And he struck his left shoulder and brought forth his offspring black as though they were charcoal. Then He said to the party on his right side, ‘To paradise, and I do not care’ and He said to the party in his left shoulder, ‘To hell, and I do not care’.”Ahmad transmitted it.

Kuna Hadithi ya Mtume wenu alihudhuria Mazishi ya mtoto mchanga, Bi Aisha akasema huyo mtoto ataenda direect peponi Mudy akapinga akasema inaweza isiwe hivyo kwani Allah amashapanga hatma ya kila mtu tokea akiwa kichanga kwenye mifupa ya mbavu zake sasa hapo freewill ipo wapi? and Hard disc ya Allah ipo kwenye mbavu za binadamu hahahaha

Sahih Muslim 2662c , Book 46, Hadith 47
Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, per adventure, it may be otherwise, because God created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins.
 
Qur’an 2:30 inataja Khalifa si kwa maana ya kiongozi wa watu waliokuwepo, bali mwakilishi wa Allah katika ardhini kiumbe atakayeishi duniani akitumika katika utawala wa dunian kwa amri za Allah

kuwa Khalifa si lazima kuwe na watu wa kuongozwa ni jukumu la kusimamia dunia kwa misingi ya uadilif pamoja na na ibada

Hata Malaika walihusishwa na neno Khalifa kwa maana ya kuendeleza kazi ya Allah duniani

2. Malaika umeamua kuwafananisha na Binadamu hahahaha eti walikuwa na akili kiwango cha kibinadamu hayo ni maoni yako au amekufundisha Mtume wako? lete nukuu ya Hadithi tucheke au na wewe ndio wale kundi la waongo?

Alafu unaposema Malaika walijua unambishia Allah kwani aliwaambia Malaika hawajui kitu ila yeye Allah ndie anajua wasivyovijua mwisho wa siku Malaika wajua na Allah hakujua kitu.. na ndio ukweli Allah hajui chochote kile even mwisho wa Dunia alisema Mwezi utapasuka ha haukuwa Mwisho wa Dunia hahahaha kichekesho muslim wanadanganywa kuwa Mwezi ulishapasuka tayari ila Dunia ipo tu hahahaha Quran 54:1

Kabla ya kuingia kwenye mjadala kuhusu Qur’an jipe darasa kwanza la tafsiri Jaribuni kutumia hata Google unzihilisha ni kwa namna gani hoja zako ni za kuokoteza maneno

Qur’an inasema “imekaribia Saa” (اقتربت الساعة) haijasema imefika.
, unaelewa tofauti ya kitenzi “imekaribia” na “imetokea”?
Ukiyachanganya haya mawili, unakubali umekosea lugha?
Tukio la kupasuka mwezi lilitokea kipindi cha mtime kama muujiza. lilitokea kama dalili, sio mwisho wa dunia. Kasome tena
Al-Barwani
Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!

Malaika hawakaujiuliza punguza uongo walimuambia live bila kificho Allah, @Zatch umefikia level ya kutaka kunidanganya na mimi hahahahaha kasome Quran 2:30
Al-Barwani
Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi), wakasema: Utaweka humo atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua.

So Malaika sio Kuwaza ila waliona kabisa huyo Adam anaenda kuongoza Watu huko Duniani lazima aharibu tu mean walikuwepo and Malaika walionesha wanajua kuliko Allah na Walikuwa wapo sahihi na Allah hajui kitu wivu tu akawaadhibu wafanye Shirk ya kumsujudia Adam, so makosa yote tunaona Allah ndio mhusika mkuu. na ndie Shetani mwenyewe. even Iblis after agreement na Allah kupotosha watu wote duniani ni utekelezaji wa kazi ya Allah aliyekubaliana nae, kwani Allah alisema utakaowapotosha wote wanakuja straight to me (Qaala haaza Siraatun ‘alaiya Mustaqeem)قَالَ هَٰذَا صِرَٰطٌ عَلَيَّ مُسۡتَقِيمٌ hahaha Yaani wanaopotoshwa na Iblis wanaenda straight kwa Allah ndio mjue Allah ndie same same Iblis.

Muslim katika tafsiri ya hizi aya wanahangaika kupotosha tafsiri kuongeza maneno na mabano n.k hahaha Pembe la Ng'ombe halifichiki tuna tafsiri kiarabu direct na sio waongo hahahaha Quran 15:34-44 kasome kwa tafisir sahih ucheke. kibaya Muslim wanadanganya muslim wenzao

Qur’an 2:30 haionyeshi Malaika wanabishana na Allah labda kama una aya nyingine unayo tofauti na hii

Malaika hawakuwa wanajua kwa uhakika ndio maana nikisema waligikifiri kwa mtazamo wa kibinadamu na Walikuwa wanauliza kwa kulinganisha na viumbe waliokuwepo kabla ya binadamu ( majini waliokuwa wanamwaga damu).

Qur’an haijasema “wakajua” imesema “wakasema "(استفهام تعجبي). utamweka humo atakayefanya uharibifu na kumwaga damu?” ni swali la kutaka kuelewa, sio kuonyesha kulijua jambo ,(waliongea kutokana na waliyoyashuhudia kwa viumbe wengine) sio hoja ya kulijua jambo

Kama Malaika walijua kila kitu, kwa nini Allah awaambie: "Mimi nayajua msiyoyajua"?Na baadaye wakakiri

“Subhanaka la ‘ilma lana illa ma ‘allamtana”

(Wewe umetakasika, hatuna elimu ila ile uliyotufundisha) – [Q2:32]

Malaika wenyewe walikiri hawana elimu zaidi ya walio fundishwa sasa inakuaje unaleta madai yaliyokosa mantiki, yenye kujipinga yenyewe

kudai walimjua zaidi Mungu ni kuj contradict Qur’an yenyewe Lete ushahidi wako mwingine huu uko invalid,
Tokea Lini Quran imesema Binadamu ana uhuru wa Kuchagua naomba aya japo moja nicheke hizo contradictions maana Quran inasema ukikuta aya zinapingana pingana ujue Qurani hiyo sio ya Allah Quran 4:82 hahahaha, ungeujua Uislam hata usingetamka hilo jambo linalokuweka jf wote wakuone u mpumbavu, nikuulize why unasema Inshallah? it mean kila kitu Allah ndie anapanga najua huwezi kataa sasa huo uhuru umeutoa wapi?

katika uislam Allah keshawapangia kila mtakalo fanya ni upuuuzi tu wenu eti uswali sana, utoe zaka au sadaka n.k mnajichosha tu Allah keshawapangia mwisho wenu either ni motoni au firdaus fake...hahahaha

Kuna hadith nyingi tu za kuthibitisha debate ya Musa na Adam, Musa alikuwa akimlaumu Adam kuwa ndie amesababisha Binadamu hawapo tena Firdaus na Adam akamuambia Musa usinilaumu mimi kwani Allah alishaniandikia makosa nitakayokuja yafanya ya kula Tunda miaka 40 kabla ya kuniumba, Adam akashinda hiyo debate na mudy wenu alirudia hiyo hadithi kwa kumaliza sentensi ya mwisho kwa kusema akirudia mara tatu Adam alimshinda Musa, Adam alimshinda Musa, Adam alimshinda Musa.

Qur’an inasema binadamu anayo free will

Al-Insan 76:3:
“Na tukamwonyesha njia mbili; ama ashukuru au akufuru.”

Al-Kahf 18:29:
“Atakaye, aamini; atakaye, akufuru.”

Al-Balad 90:10:
“Na tukamuongoza njia mbili (ya kheri na shari).”

As-Shams 91:8:
“Ameilainisha (nafsi) na kuijulisha uovu wake na ucha-Mungu wake.”

binadamu ana hiari. Allah anajua utakachochagua, lakini hajakulazimishakujua si kulazimisha. Mfano: Mwalimu anajua mwanafunzi mjinga atafeli, lakini kujua kwake hakusababishi kufeli.
huujui uislam Ujinga mwingine wa Allah Kapanga Adam afanye kosa then akampanga aombe msamaha then akamsamehe kisha akamfukuza Firdaus hahahahaha Allah ni Crazy

Unajua Hadithi inayosema watu weusi Allah kawapangia kwenye Moto na hatojali na weupe Firdaus hatojali? ndio ujue Allah ni Mjinga kwani alidai alimpiga bega la kushoto la Adam wakatoka watoto weusi so Adam alizaa kupitia mabega yake hahaha bega la kulia uzao wa weupe. hii dini kuiamini uwe mjinga haswa.
​
Grade: Isnād Hasan (Zubair `Aliza'i) Mishkat al-Masabih 119
​
Abud Darda' reported God’s messenger as saying, “God created Adam when He created him and struck his right shoulder and brought forth his offspring white like small ants. And he struck his left shoulder and brought forth his offspring black as though they were charcoal. Then He said to the party on his right side, ‘To paradise, and I do not care’ and He said to the party in his left shoulder, ‘To hell, and I do not care’.”Ahmad transmitted it.

Kuna Hadithi ya Mtume wenu alihudhuria Mazishi ya mtoto mchanga, Bi Aisha akasema huyo mtoto ataenda direect peponi Mudy akapinga akasema inaweza isiwe hivyo kwani Allah amashapanga hatma ya kila mtu tokea akiwa kichanga kwenye mifupa ya mbavu zake sasa hapo freewill ipo wapi? and Hard disc ya Allah ipo kwenye mbavu za binadamu hahahaha

Sahih Muslim 2662c , Book 46, Hadith 47
Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, per adventure, it may be otherwise, because God created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins.
 
Ushahidi wa binadamu before Adam nilete mimi au nimekupa aya uibishie maana Allah ndie kasema Anamleta Adam kwenye Ardhi ya Dunia awe Khalifa yaani Kiongozi wa Watu au unataka kusema Allah alikosea hahaha Au Adam awe Khalifa wa Punda na PIg hahaha kama unaamini Adam alikuwa wa Kwanza so huo u khalifa for what wakati hakuna binadamu mean Allah ni taahira ni sawa na kusema amteue awe mfalme aongoze nchi isiyo na raia. so unatakiwa uchague either Allah ni mjinga au kulikuwa na watu before Adam.. chaguo ni lako. ila ni uthibitisho kuwa Quran ni book la wajinga.

Kuhusu 7:12 ni wajinga wawili walikutana ndio maana nawaambieni Allah ndie huyo huyo Iblis. kwani Allah alisahau kuwa Iblis sio Malaika enh hahaha maana katika amri aliyotoa ni kwa Malaika only wamsujudie Adam Iblis hakuhusika sababu Iblis was Jinni Quran 7:11 Al-Barwani
Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam. Basi wakasujudu isipo kuwa Iblisi, hakuwa miongoni mwa walio sujudu.

Iblis alikuwa sahihi maana hakubishana na Allah kuhusu kujua kuwa Adam atakuwa mtu wa hovyo na mmwagaji damu siku za uongozi wa ukhalifa wake.

Malaika wameumbwa kutokana na Nuru So Ujinga wa Allah aliwaambia Only Malaika wamsujudie Adam na Sio Jin amasujudie Adam. Ndio maana Iblis alilalamika kwa Allah kuwa amemkosea na Allah hakukataa so
Shetani alielewa vizuri swali Quran 7:16
Al-Barwani
Akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.
Sahih International:
[Satan] said, “Because You have put me in error, I will surely sit in wait for them on Your straight path.
Niwapi alipo waongoza watu tofauti na kizazi chake ili tuthibitishie maneno yako
 
Kwakuwa Firdaus kuna Ziwa la Kawthar lenye mvinyo so Allah alikuwa tingas kwa Kusema anampeleka Adam awe Kiongozi wa Wadudu. Uislam,Quran ni Jokes, jinsi ulivyo mzembe na wewe unashangaa imekuwaje Khalifa bila watu wa kuongozwa hahahaha nimekuambia chagua either watu walikuwepo so Adam akawa mteule awe kiongozi wao au Allah ni chizi kuteua Kiongozi wa Watu bila wao kuwepo
 
Unavyoshangaa wewe akili ya Allah sisi tunacheka tu. uwendawazimu wake. king without people. crazy hata mnapomuita Adam ni Nabii ni uwendawazimu pia Nabii bila watu yaani anajinabii yeye mwenyewe. hahahaha Islam is Jokes
 
Kwakuwa Firdaus kuna Ziwa la Kawthar lenye mvinyo so Allah alikuwa tingas kwa Kusema anampeleka Adam awe Kiongozi wa Wadudu. Uislam,Quran ni Jokes, jinsi ulivyo mzembe na wewe unashangaa imekuwaje Khalifa bila watu wa kuongozwa hahahaha nimekuambia chagua either watu walikuwepo so Adam akawa mteule awe kiongozi wao au Allah ni chizi kuteua Kiongozi wa Watu bila wao kuwepo
Unamaanisha hakuna aliye muongoza?
 
Back
Top Bottom