Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

Kwa mambo ya kigaidi yanayofanywa na waislamu itikadi kali,angalia nortth nigeria wanayoua wakristo,hata wewe lazima uuchukie uislamu.
Sasa kwa nini usiwachukie hao itikadi kali tu na badala yake unaenda kuuchukia uislamu kabisa?
 
Umejuaje mimi ni old man?

Mzaha mdogo na mkubwa unaupimaje?

Unamfanyiaje mzaha mtu humjui?

Wewe unanipangiaje mimi upi ni mzaha mdogo na upi mkubwa?

Nani kakupa cheo cha kupanga upi mzaha mdogo na mkubwa.

Wewe kuja ku impose ujinga wako kwa wengine bila hata metrics wala hoja, kwa ad hominem fallacy attacks zisizo na hoja, za "old man" si kuwa emotional?

Unajuaje nimekuwa pissed off mimi na si wewe tu huijui dunia na huwezi ku handle a normal spirited debate?

What if you are the half brained lethargic nitwit who think people are pissed off just because they are highly engaged and naturally energetic?
Now turning tables interestingly. Instead of addressing the statement, you shifted focus to me. your reaction confirms exactly what I observed
 
Wengi wanasuport ni Wakristo na sababu kubwa zinawasukuma na mbili (naandika thread kuhusu hilo )

1.chuki kwa Waislamu
2. Kuamini Israeli ni Taifa la mungu hivyo wanhaki kufanya hivyo na wasihojiwe kwasabbu ni kazi ya Mungu ndio maana mdau kama huyu

na watu aina yake hawaoni ubaya kinachotokea gaza na anatamani watoto wote wa gaza na Waislamu wote wauliwe kwasabbu hawapendi Waislamu .

Hawa watu wakishika madaraka watakutesa hadi ufe k

Inhumane
Charlie Kirk mkritu wa mlengo wa kulia ameuawa kwa kuwatetea watu wa Gaza. Wewe muislam hata kuita kusaga Tv kutoa maoni yako umeshindwa.
Iko hivi ugomvi si wa dini ni wa ardhi. Dina inatumika kama kilevi kuwalewesha watu wajinga. Be sharp, usilewe na na kilevi cha Hamas wala Cha Israel.
Halafu angalia ulivyomalizia sentensi zako aiseee hatari
 
Marekani ,Israeli na washirika wake wanaona sawa watoto na wanawake wasiokua na silaha kuuwawa na wanamchukia yeyote anaepinga mauaji yao zaidi ya watoto 70,000 wameuliwa na Israeli, bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na dawa kuingia ,wanaua waandishi wa habari ili dunia isione uovu wao.

Yeyote anaeyefurahia haya ni muuaji ambaye hajapata nafasi kuishika silaha
Wanaoona Sawa wanawake na watoto kufa ni Hamas
 
Makao makuu ya Umoja wa Mataifa yalitakuwa kuwa kwenye kisiwa kinachoendeshwa na Umoja wa Mataifa.

Hawa marais wanavyokuja New York City hata wakazi wa New York City hatupendi kwa sababu wana haribu traffic sana.
Hawapandi zile taxi za kurukajuu za Kagame??
 
Charlie Kirk mkritu wa mlengo wa kulia ameuawa kwa kuwatetea watu wa Gaza. Wewe muislam hata kuita kusaga Tv kutoa maoni yako umeshindwa.
Iko hivi ugomvi si wa dini ni wa ardhi. Dina inatumika kama kilevi kuwalewesha watu wajinga. Be sharp, usilewe na na kilevi cha Hamas wala Cha Israel.
Halafu angalia ulivyomalizia sentensi zako aiseee hatari
Tangu lini Charlie aliipigania Palestina sio yeye ndio aliyesema Palestine doesn't exist, sijalevywa na dini tunaongea ubaya haijalishi nani kasema, kumekuwa na kasumba watu kwakua hawapendi Uislamu basi ovu lolote linalowakuta watu wanaunga mkono ,ni chuki unaiona wazi kwenye maandishi yao

Mauaji ya watoto zaidi ya 70k ,na raia 300k lakini kwakua ni Waislamu mtu anaona sawa na asisitiza wamalizwe waliobaki ,huyu utamtazama kwa jicho gani kama sio mtu ambae hakupendi na anataka ufe.

Ni sawa kabisa sijaklsea sentensi yangu hapo mwisho mtu wa hivyo ni muuaji ambaye hajapata nafasi kukua
20250928_233038.jpg
 
Wanaoona Sawa wanawake na watoto kufa ni Hamas
Tazama hio picha hapo ni kabla na baada ya uvamizi wake Israeli, hakuna hata choo kilicho baki unataka kuniambia, hio mijengo yote ilikaliwa na hamasi ,kwanini wasishamblie magaidi badala yake wanabomoa shule ,hospital, mijengo ya kihistoria ,miundombinu ya maji/umeme, misikiti tena sio kwa kutarget Hamas wanaibomoa ikiwa empty(kutegesha mabomu) .

Bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na maji wanashambulia makundi ya raia wasiokua na silaha

Lengo lao lipo wazi na wenyewe wanaongea bila kuficha nia yao kuifuta Palestine na wakazi wake .
 
Attachments

  • Screenshot_20250929_000419_Google.jpg
    Screenshot_20250929_000419_Google.jpg
    466.5 KB · Views: 28
Now turning tables interestingly. Instead of addressing the statement, you shifted focus to me. your reaction confirms exactly what I observed

Is this the best you can comw up woth?

You are a troll.

I will not waste my shells on you.

You do not deserve the privilege to engage me directly.

I am placing you in my ignore list.

From here onwards I will not see any of your posts.

If only just to protect this place from endless and useless bickering with idiotic trolls.
 
Tazama hio picha hapo ni kabla na baada ya uvamizi wake Israeli, hakuna hata choo kilicho baki unataka kuniambia, hio mijengo yote ilikaliwa na hamasi ,kwanini wasishamblie magaidi badala yake wanabomoa shule ,hospital, mijengo ya kihistoria ,miundombinu ya maji/umeme, misikiti tena sio kwa kutarget Hamas wanaibomoa ikiwa empty(kutegesha mabomu) .

Bado haitoshi wanezuia misaada ya chakula na maji wanashambulia makundi ya raia wasiokua na silaha

Lengo lao lipo wazi na wenyewe wanaongea bila kuficha nia yao kuifuta Palestine na wakazi wake .
Hakuna vita ambayo raia wa kawaida hawaathiriki, hayo yote uliyosema ndio madhara ya vita.
Hujaona huko ukraine miji ilivyofutwa?. Siku zote matokeo ya vita ni vifo na uharibifu kama huo.

Hao wanajeshi waliopo huko Gaza ndugu zao walibakwa, kuuawa na Hamas,usitegemee watawaangalia wapalestina kwa macho ya huruma wakati ndugu zao walipouawa wao walikuwa wanashangilia.
 
Is this the best you can comw up woth?

You are a troll.

I will not waste my shells on you.

You do not deserve the privilege to engage me directly.

I am placing you in my ignore list.

From here onwards I will not see any of your posts.

If only just to protect this place from endless and useless bickering with idiotic trolls.
Relax mzee, hii ni JF hatupo vitani kama umeshindwa kubeba joke ndogo namna hii i wonder matatizo yako unayabebaje?

Silence after a debate doesn’t mean victory, it only reflects exhaustion. Anyway, good luck handling ideas heavier than your temper.

Bye Mr. Angry Man 👋
 
Huyo jamaa mwisho wa siku atajikuta ame ignore watu wote humu.
 
Is this the best you can comw up woth?

You are a troll.

I will not waste my shells on you.

You do not deserve the privilege to engage me directly.

I am placing you in my ignore list.

From here onwards I will not see any of your posts.

If only just to protect this place from endless and useless bickering with idiotic trolls.
hapo 👆🏽 nistaili ya kidikteta kuwafunga wanao kukosoa ondoa hiyo hali katika nafsi yako.
 
Sasa huko kushiriki maandamano na kutoa kauli dhidi ya trump si ndio kuinga mkono Palestina, au unafikiri context ya hayo yalikua nini tofauti na Palestina

Tatizo inaonekana hujui chochote kuhusiana na sheria za kimataifa.

Fikiria kuwa Rais Ruto aje Tanzania, ashiriki maandamano ya wanaoipinga Serikali dhidi ya msimamo wake dhidi ya CHADEMA, na akiwa kwenye maandamano hayo ahutubie kuwa JWTZ impindue Samia.
Hiyo itachukuliwa ni sawa na kutangaza vita.

Yale yalikuwa ni maandamano ya kikundi cha Wamarekani kupinga msimamo wa Serikali yao dhidi ya wapalestina, yeye anaenda kuwahutubia kuwa jeshi la Marekani limwondoe Trump!!
 
Gaza sio mgogoro wa ndani ya Marekani, ni suala la kimataifa linalohusu maamuzi ya kigeni.

Petro hakusema jeshi la Marekani lipindue serikali au kuhamasisha vurugu, Alisema Marekani iache kuisaidia Israeli kufanya mauaji ya halaiki.

Sheria ya kimataifa inawapa viongozi wa nchi wanapohudhuria UN kinga ya kidiplomasia. Marekani haiwezi kuwanyima viza kwakutoa ya maoni ya kisiasa.

It's Natural Law mwanadamu yeyote ana wajibu wa kukemea uhalifu wa mauaji, bila kujali mipaka ya taifa. Petro hakuvunja sheria, alisimama na sheria ya kimataifa

Marekani ana double standard anapenda kuingilia mambo ya nchi zingine kwa jina la demokrasia na haki,lakini anafukuza viongozi wa kimataifa inchini kwake kinyume na sheria za kimataifa kwa kutoa maoni, Marekani anafanya kila analoweza kuilinda Israel isikutane na ukosoaji he's jew puppet ,Hata raia wake wanaoikosoa Israel wanatishiwa kufunyiwa deportation.
 
Sisi sote tumetokana na Adam je unamsapoti kuuwa wasio husika
Unaongea kwa imani ya kiislam au kikristo? Au kiyahudi ? Maana uislam ni tofauti na hiyo imani ya Adamu kuwa mtu wa kwanza au unataka kusema Allah alichanganyikiwa? Kusema kuna Watu Duniani kabla ya Adam?

Why hamujui uislam? Fake muslims Mnanishangaza sana nyie hamuwezi ishi bila uongo wa Allah na Mudy? All the time mna Spreading lies about Islam
 
View attachment 3480217

Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.
Anadhani kuwa raisi na kubeba madawa ya kulevya ndio asizuiwe kuleta shehena ya ngada Marekani hahaha yaani kila mtu anawatumia Arabs wanaojiita palestina kupiga deal zao, huku hao Arabs hata hawawapendi, Arabs muslim wanataka kila mmoja wenu awe muslims, na hilo halitokuja tokea kamwe, mashetani nyie
Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli
kwahiyo Pia huamini kuwa kuna vita Hahahaha yaani unakuwa raisi alafu mjinga, ajidunge tu mandrax apate stimu atoe udenda tu, maraisi hasara kwa nchi zao
ia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao wa vita vya gaza.
Si ameshachagua upande wa magaidi atulie na mkeka wake uliochanika wa mhindi
"There is no superior race..
Aweke proof tu aache uongo
There is no ‘chosen people of God.
atakuwa pagani huyo mtu kama huyo maneno yake tu yanaonesha ni mvuta ngada
It is neither the United States nor Israel. The ‘chosen people of God’ is all of humanity.” ~Petro
mvuta ngada ni choosen people hahahaha akasome dini huyo probably alikuwa mtoro wa church
Pia amezitaka inchi ziungane zitengeneze jeshi kubwa ikarudishe amani gaza,
masikini hajui hata kama kuna jeshi la UN auze drugs zake atemgeneze Jeshi la dunia
Baada ya kauli hizo Marekani ikamfutia visa yake, Gustavo akasema kufuatia hilo:

“Kuomba Marekani na Israeli wasisaidie mauaji ya halaiki ambayo ni uhalifu dhidi ya ubinadamu sio kosa. Ni wajibu wa kimaadili.”
Mtu asie na akili unampaje mic?
“Kuna kinga kamili kwa marais wanaohudhuria Baraza Kuu la UN. Serikali ya Marekani haiwezi kuweka masharti juu ya maoni ya viongozi wa dunia.”~Petro
Ndio ishaweza
Pia Petro amekosoa Marekani kuinyima ruhusa Palestina kushiriki kwenye mkutano huo. Amesema kuwa kitendo cha Mamlaka ya Palestina kunyimwa ruhusa ya kuingia, na yeye kufutiwa viza, ni uthibitisho kwamba Marekani haitii tena sheria za kimataifa.
Kisheria Palestina ni nchi? Za kuambiwa changanya na zako, aisemee basi na Zanzibar iwe na kiti UN
Marekani inatumia vibaya wenyeji wake kudhibiti nani anaingia au na useme nini, Petro anasema makao makuu ya Umoja wa Mataifa hayapaswi tena kubaki New York bali yahamishwe kwenye nchi isiyo na upendeleo wa kisiasa.
Yahamishiwe Gaza basi
 
Marekani ,Israeli na washirika wake wanaona sawa watoto na wanawake wasiokua na silaha kuuwawa
naomba ushahidi acheni na propaganda za kiislam, gaza wote ni Hamas unajua Dollar million ngapi zinatolewa raia yeyote akionesha mateka walipo?
na wanamchukia yeyote anaepinga mauaji
Chuki muamzishe wenyewe then mnalia lia kama massawe
yao zaidi ya watoto 70,000 wameuliwa na Israeli,
Kwahiyo kila kifo gaza ni Israel hahahahaha za kuambiwa weka na zako, Israel inauaje watoto wengi hivyo? Ndio nyie mnaambiwa mtumie condoms mnaacha ukimwi mkipata mnalalamika, Israel ametumia kinga zote kulinda raia alafu hizo statics watoto wanatakiwa kuwa wameisha, idadi ya raia Gaza imeongezeka so uongo wenu pelekeni madrassa

do haitoshi wanezuia misaada ya chakula na dawa kuingia
Si Gaza wote wangekuwawamededi, chakula gaza ni kingi mno kushinda Tanzania Uongo ishini nao wenyewe na iblis baba yenu pumbavu
,wanaua waandishi wa habari ili dunia isione uovu wao.
Waandishi makamanda wa Hamas hahahahaha hii vita imeweka wanafiki wenye chuki wote hadharani
Yeyote anaeyefurahia haya ni muuaji ambaye hajapata nafasi kuishika silaha
Vipi October 7 2023 ulifurahia au? Tuliwaambie mtakuja kujuta and Israel akishawaambia muondoke eno la hatari ukibaki umesign your own death Israel anapiga target tu na sio raia Hamas use civilians as human shield na wamesema kwa mdomo wao kuwa raia walindwe na UN
 
Unaongea kwa imani ya kiislam au kikristo? Au kiyahudi ? Maana uislam ni tofauti na hiyo imani ya Adamu kuwa mtu wa kwanza au unataka kusema Allah alichanganyikiwa? Kusema kuna Watu Duniani kabla ya Adam?

Why hamujui uislam? Fake muslims Mnanishangaza sana nyie hamuwezi ishi bila uongo wa Allah na Mudy? All the time mna Spreading lies about Islam
Leta ushahidi
 
Kwa mambo ya kigaidi yanayofanywa na waislamu itikadi kali,angalia nortth nigeria wanayoua wakristo,hata wewe lazima uuchukie uislamu.
Wewe hujitambui umevikwa na chuki na upofu. Profile pic uliyoweka ni ya Muislam maarufu zaidi kuwahi kutokea Tanzania kuiwakilisha kimataifa!
 
Back
Top Bottom