Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,378
- 13,198
Unachekesha sana wewe kilaza. Khalifa sio kiongozi bali ni muwakilishi wa Allah hahahahaQur’an 2:30 inataja Khalifa si kwa maana ya kiongozi wa watu waliokuwepo, bali mwakilishi wa Allah katika ardhini kiumbe atakayeishi duniani akitumika katika utawala wa dunian kwa amri za Allah
kuwa Khalifa si lazima kuwe na watu wa kuongozwa ni jukumu la kusimamia dunia kwa misingi ya uadilif pamoja na na ibada
Tuanze na Tafsiri ya Neno Khalifa tukushike upumbavu wako sio kwamba nakutukana hapana nakufundisha kwa nguvu ili ushike haswa siku nyingine uache uzembe usidhani unamsaidia Allah bali unamtusi haswa:-
Story ya Allah na Malaika ilianzaje! Allah aliwaambia Malaika '' Nitaenda kumuweka khalifa katika Dunia'' Je Khalifa ni nini? Khalifa ni Kiongozi aliyerithi kutoka kwa kiongozi aliyekuwepo = Sasa kichekesho kwa ubishi Adam alimrithi nani? akawa Khalifa au unataka kusema Adam alimrithi Binadamu mwingine kabla yake au Alimrithi Allah mwenyewe hahahaha Waislam wenzio wanakubali Adam was a Successor wa Allah hahahahaha
But the story starts with this statement that Allah told the angels, “I’m going to place on the earth a Khalifa.” What is a Khalifa? =A Khalifa is a successor
So Abu Bakr (ra) was the successor of the Prophet Muhammad (pbuh) and the successor to him was Umar (ra) and so on. They were the Khalifa to Rasulullah, the successors of the Messenger of Allah. When it comes to this word Khalifa in this verse, the scholars talk about two opinions, and I think both of them make sense. They’re not really exclusive.
One meaning is that Adam was simply a successor to those creatures already on earth and the second interpretation is that he was a successor to Allah, not to Allah directly, but to Allah’s command. And that it was his job to carry out the commands and responsibilities that Allah had given him