pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

    MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema; "Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
  2. Naombeni msaada wa maduka yanayotoa pikipiki za mkopo na vigezo vyao ni vipi?

    Hello jamaa zangu, Tumaini langu mnaendelea vizuri. Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana. Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
  3. INAUZWA Mwanza: Pikipiki aina ya King Lion (used mwaka na miezi 6)

    Huyu hapa Mfalme Simba anauzwa😎 cc zake ni kubwa, 150 cc Gear 5 Haina shida yoyote imetumika kwa matumizi binafsi tu bei elekezi: 1,400,000 tu inapatikana: SUMVE MWANZA
  4. ASAS kuwapa Polisi Gari na Pikipiki ni kutaka kuiweka mfukoni dola

    Sidhani kaka ni sawa kwa hiki kilchofanyika tena hadharani, Kampuni ya ASAS kutoa msaada wa Pikipiki na Gari kwa Jeshi la Polisi sio jambo la kukaliwa kimya. Hii ni taasisi ya Utoaji Haki inapotokea wanatoa msaada huo je wakipatwa na makosa yanayohitaji Polisi kuwawajibisha watachukua hatua sawa...
  5. Cover za kufunika pikipiki napata wapi?

    Sina mengi picha inajieleza. Na bei zake zipoje?
  6. Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, magari, pikipiki, boat na nyumba zataifishwa

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM-TANZANIA Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi Mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya Pamoja na vifaa...
  7. L

    INAUZWA Pikipiki & Bajaji

    Unahitaji pikipiki au BAJAJI kwa Ajili ya mutumizi yako binafsi, biashara au taasisi karibu tukuhudumie TVS, BOXER, HERO na aina zingine zote zinapatikana. kwa Dsm pekee Tupigie 0652659775 au 0620617985
  8. Bajaji, guta, pikipiki zinanunuliwa kwa Kasi Sana

    Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR* Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
  9. INAUZWA Kifaa cha kuzuia wizi wa Magari, Pikipiki na Bajaj. (Wireless Kill switch)

    Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote. Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch. Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625. Kwa lugha...
  10. Haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikiwa ni maalum kwa kuwa na speed isiyozidi 70?

    Hili ni wazo ambalo nimelitafakari kutokana na ndugu zetu hawa kuendelea kuangamia kwa kasi ya kutisha. Je, haiwezekani pikipiki kwa ajili ya bodaboda zikawa zinatengenezwa kwa mfumo maalum usiozidisha speed 70 kph, kwa usalama wao, pia kuondosha kabisa tatizo hili?
  11. Kama Umeona Maafisa Ugani Wenye Vishkwambi, Pikipiki na Vipima Udongo, Njoo Hapa

    Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima...
  12. Anayejua Kubadili Plate number ya pikipiki

    Habari wakuu, Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo. Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
  13. N

    Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake

    Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake, mfano accelerator wire, spare za vipuli vya engine n.k kuna mtu anaweza kunisaidia naweza kupata wapi
  14. Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

    BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill. Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde. East Africa TV
  15. Ni wapi mahali sahihi kwa mujibu wa taratibu kuwekwa plate number za pikipiki?

    Peace be with you all, Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR. Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
  16. Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  17. Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  18. S

    Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  19. INAUZWA BOXER CC 125 (ina mwezi unaenda mwezi wa Pili) BM X

    Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi. Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya" Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri. Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
  20. Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

    Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…