pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
  2. Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  3. Hakuna Waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote kwani anajitahidi sana

    Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana. No doubt for this. She's working hard. Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this. Uzi umeishia hapa. Ova
  4. Tumpongeze Rais Samia kwa hili la Ndugai, Spika aliyejiuzulu

    Ni kawaida ya binadamu kusahau huo ndiyo ubinadamu wenyewe lakini kwa bahati mbaya kabisa Watanzania tu wasahaulifu kupita kiasi, au ni siasa tu kwa kila jambo hapo sielewi vizuri. Kwa maoni yangu Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sakata hili la Spika yuko sahihi kwani...
  5. Ni nani aliyempa Rais pongezi na tahadhari ya kupingwa na kijani

    Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole. Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri? Ni...
  6. IGP Sirro anastahili pongezi kwa kuiweka nchi chini ya usimamizi makini

    Tanzania tunapaswa kushukuru kwa kumpata IGP. Simon Sirro kwa kuweka kila kitu under control kuanzia zile siku za sintofahamu mpaka sasa tunafungua mwaka 2022 anastahili pongezi na kuombewa maisha marefu na kila Mtanzania mwenye nia njema hasa linapokuja suala la ulinzi na usalama nchini. Usiku...
  7. Pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi mama samia na serikali awamu ya sita.sikukuu hii watu wamesafiri sanaaaaaaa

    Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
  8. Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  9. Mwendokasi imerudi kwenye mstari. Pongezi kwenu

    Wakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative. Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua...
  10. Kwa “nonsense” ya Sukari, Rais Samia anastahili pongezi. Je, tuishie kwenye "nonsense" ya Sukari tu au tuangazie na "nonsense" nyingine zote?

    Wanabodi, Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huja kwa mtindo wa swali, halafu jibu utatoa wewe msomaji...
  11. Pongezi nyingi aliyeleta wazo la pikipiki kutumiwa kama usafiri kwa abiria

    Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria. Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo pongezi nyingi...
  12. Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  13. Pongezi nyingi kwa timu za Ligi Kuu isipokuwa Yanga na Simba

    Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo. Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani mkubwa sana. Yanga na Simba zishazoea (zimekariri) kuwa na uteja kwa baadhi ya timu mpka kwenda na...
  14. Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

    Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk. 1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka...
  15. Nachingwea, Lindi: Waziri Mkuu Majaliwa awapongeza wananchi wa Nachingwea kwa ujenzi wa shule maalum ya sekondari kwa mapato ya ndani

    Nachingwea; Lindi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majalilwa Majaliwa katika mwendelezo wa Ziara yake Mkoa wa Lindi ameweka jiwe la Msingi katika shule maalum ya sekondari ya wavulana Nachingwea inayojengwa katika kijiji cha Chiumbati nje kidogo ya mji wa Nachingwea...
  16. K

    Pongezi: Zanzibar inaenda vizuri kwenye utalii

    Kwa miaka yote nilikuwa nikitaka kwenda Tanzania kwa KLM ilikuwa lazima ipitie KIA kushusha wageni lakini kwa mara ya kwanza ndege yangu itatua Zanzibar halafu inaenda Dar. KLM siku moja wanaenda Zanzibar na siku inayofuata wanaenda KIA. Lakini hoteli za Zanzibar nimeona zimepanda bei sana...
  17. Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

    Kila kitu kina mpangilio katika maisha.. Huwezi kufanya kinyume na mpangilio na ukijaribu kufanya hivyo matokeo yake ni zogo na kupaganyika. Kwenye hili la machinga lilikosa mpangilio..Na likafugwa na wanasiasa kwa maslahi binafsi ya kisiasa.. Sasa kama tumeamua kurudi kwenye mpangilio lawama...
  18. Video: Pongezi kubwa kwa hawa Askari waliomuokoa kijana aliyetaka kujirusha kutoka juu ya mnara

    Angalia hii video halafu tia neno la pongezi kwa hawa Askari.
  19. Nimeota ndoto saa kumi alfajiri nimeshinda Stories of Change!

    Habari zenu wadau! Alfajiri ya leo Jumamosi mnamo saa 10:30 hivi nimeota kama nimeletewa mifuko mitatu mizuri sana. Katika mifuko yote kuna nguo. Naomba nielezee! 1. Mfuko huu una nguo nzuri sana imeandikwa mshindi namba moja wa stories of change, ila pale sikumbuki jina lake. Ukishika huu...
  20. Pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa kuwahi kwenye matukio

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi Mkoa maalumu wa Kinondoni chini ya RPC Kingai kwa kuwa na utendaji wa haraka wa kufika kwenye matukio mara wanapopokea taarifa za uhalifu hata ikiwa usiku wa manane. Mimi ni shuhuda maana majambazi waliingia mtaani na mara baada ya Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…