Hakuna dalali:
Chumba na master yake na baraza nje - 100,000/= kwa mwezi kodi miezi 6.
Nyumba ya vyumba vinne, choo na bafu ndani jiko sebule kubwa, dining baraza kubwa mbili - 250,000/= kwa mwezi.
Zote zipo eneo moja, barabara ipo pande zote, maji ya kisima yapo nje pia choo cha public kipo...