putin

  1. MK254

    Duh! hadi Putin anatembea na mkoba wa nyuklia, kweli hali mbaya

    Sio kawaida ya huu mkoba ambao unaitwa "Cheget" kuonekana hadharani, lakini imembidi Putin kutembea nawo baada ya kuhofia kamata yoyote kwa ajili ya ICC. ================== Russian President Vladimir Putin has been filmed in Beijing following his meeting with Chinese leader Xi Jinping –...
  2. B

    Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!

    Tatizo lilopo Palestina ni la muda mrefu kutokea kwenye unyakuzi wa maeneo yaliyokuwa ya wapalestina kufanywa taifa la Israel. Pia unyakuzi wa maeno zaidi ulioendelea kufuatia vita mbali baina yao 1967 na 1973. Duniani kote watu wanaandamana kupinga ulipizaji kisasi wa Israel kwa wapalestina...
  3. Webabu

    Putin ataka Palestina wapewe nchi yao

    Makundi mengi zaidi kote ulimwenguni yametokea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ili warudi kwenye makazi yao.Hali hiyo inaonesha kama kwamba mashambulio ya Hamas yameleta athari kubwa katika kuelezea madhila ya taifa lao. Katika ufuatiliaji wa maoni kwenye mitandao ya kijamii imeonekana pia...
  4. MK254

    Putin hatoweza kwenda hata hapo jirani Armenia, wamejiunga ICC, Urusi yalalamika sana

    Urusi imelalamika kwa Armenia kujiunga ICC, ina maana dunia inazidi kuwa ndogo sana kwa Putin maana hata hapo kwa majirani zake hawezi kuwatembelea... The National Assembly of Armenia has adopted a draft law on the ratification of the Rome Statute, the basis of the foundation of the...
  5. MK254

    Putin aomba msaada kwa kiongozi wa zamani wa Wagner, aomba wajikusanye upya

    Jamaa ameishiwa hadi imebidi aokote okote..... Russian President Vladimir Putin has instructed Andrei Troshev, the former head of the Wagner Group, to start forming "volunteer units". Source: Russian Interfax news agency, with reference to Putin's statement during a meeting with Troshev...
  6. MK254

    Putin aliwahi kukejeli counteroffessive kwamba imefeli, leo amehaha na kuamrisha izuiwe

    Huyu huyu aliwahi kusema counteroffensive haipo na imefeli, leo ametoa amri izuiwe kwa nguvu zote, imekua aibu kila siku anapoteza maeneo, wanajeshi wake wanauawa sana. Russian President Vladimir Putin has given his Defence Minister Sergei Shoigu until October to stop the Ukrainian...
  7. Venus Star

    Putin na Kim Jong Un Leo watakuwa na mazungumzo (Fuatilia live updates) hapa

    Hapa jana kwenye chakula cha jioni: Neno "rafiki" lilitumiwa mara 12 kwenye chakula cha jioni kwa heshima Ya Kim Jong-un. Pia kulikuwa na vifungo vya urafiki, hali ya urafiki na hata urafiki wa urafiki. Kwa wengine, nostalgia, na kwa wengine, ukweli.
  8. MK254

    Kundi lingine la mamluki laanza kumgomea Putin, hawa kwanza ni NAZI kabisa

    Hili ni kundi linaloamini katika neo-NAZI, yaani NAZI ya kisasa, wanaamini katika zile pumba za Hittler alizotumia kuua mamilioni. Wakati Putin anaparamia Ukraine alisema anafanya hivyo kuondoa neo-NAZI, sasa hawa hapa walikua wanampigania na kumsaidia kama ilivyokua kwa wale wa Wagner...
  9. Juma Wage

    KAMIKAZE zimebadili mwenendo wa vita ya Ukraine

    Mnamo mwaka 1976, Mwanamuziki maarufu nchini Kongo Franco Luambo Makiadi aliachia kibao chake "Kamikaze". Kupitia kibao hicho, Franco ameeleza namna alivyovurugwa kimapenzi na binti mrembo "Kamikaze" aliyemsaliti kisha kwenda kuolewa na mwanaume mwingine. Alichukulia kitendo hicho kama uasi wa...
  10. Juma Wage

    Drone ya Putin ilivyokiteketeza kifaru bora cha Uingereza

    Duniani kuna vifaru vitatu hatarishi kwa mapigano katika uwanja wa vita. Vifaru hivyo ni Abraham's cha Marekani, The challenger (Uingereza) na Leopord (Ujerumani) Hata hivyo waswahili wanausemi "Ivumayo haidumu" na hivyo ndivyo inavyothibitika kwa wababe hao wa ardhini. Tangu vita ya Russia...
  11. B

    G20 India, Putin aufyata tena!

    Ile mizimu anayoiwahisha kusamehewa kwa Mola ingali ina muandama: Lile mwamba jembe la Buza Kwa mara nyingine litaendelea kufichama Kremlin. "Kwamba, hatoki mtu Moscow!" Hakutokea BRICS Sauzi na sasa hatotia mguu India. Yatasemwa mengi ila ukweli wa mambo utabakia: Ama kweli malipo ni...
  12. MK254

    Putin ajaribu kete nyingine, asema Zelensky ni Myahudi

    Baada ya kushindwa kuiteka Kyiv, na pia kuchezea kichapo cha counteroffensive, aona hamna namna ila kujaribu kuwagawanya Ukraine wamchukie Rais wao kisa ana damu ya Kiyahudi. Kumbe ndio maana waarabu wa Bongo wanamchukia Zelensky, na wao wameaminishwa ni Myahudi. Russian President Vladimir...
  13. Jackal

    Uholanzi Yaipa Ukraine Ndege Chapa F-16 Kama Kisasi Cha Kulipiza Ndege Yake Ya Abiria Kulipuliwa Na Mawakala Wa Putin Na Kuua Abiria 196

    Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.🤔 ...
  14. Rutashubanyuma

    The CIA is already plotting the assassination of Zelensky but will blame Putin!

    We would like you to be the first to know what the CIA is planning to do. Ukraine has been comprehensively defeated in Ukraine, but its corrupt ridden regime under the Ukrainian oligarch wants to prolong the war indefinitely in order to continue amassing billions of dollars. The problem with...
  15. B

    Putin kukacha kwenda Sauzi kulikoni kimya hiki kutokea Buza?

    Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS. Kwamba hatishiki wala kukuruka. Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao. Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin...
  16. Kichuguu

    Kuuawa kwa Prigozhin na Imani ya Afrika kwa Putin na Washiriki Wake

    (1) Prigozhin alikuwa rafiki mkubwa wa Putin tokea utotoni mwao huko St Petersberg na kuna wakati Putin alikuwa anatayarishiwa chakula na mgahawa wa Prigozhin tu; na mara zote Prigozhin mwenyewe ndiye aliyekuwa aneanda kutoa huduma hiyo ya chakula kwa Putin. (2) Mwanzoni mwa mwaka 2022, shirika...
  17. BARD AI

    Rais Putin atuma salamu za Rambirambi kwa Familia za Waliouawa kwenye ajali ya Ndege akiwemo Prigozhin

    Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo. Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
  18. Richard

    Raisi Putin atoa kauli kuhusiana na kifo cha Prigozhin na atoa salamu za rambirambi

    Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9. Raisi Putin amesema alimfahamu Prigozhin kwa tangu miaka ya 90 na kwamba kiongozi huyo wa Kundi la askari wa kukodi...
  19. Termux

    The Putin Gang: inside battle

    The coup attempt, the Prigozhin rebellion, or the «March for Justice», as Prigozhin called it himself, has already generated important changes in the system of state governance in Russia. Rubicon was not crossed To understand better the changes that are taking place in Russia, I would like to...
  20. Termux

    Putin Crew: Msaada kwa majina ya hawa watu wengine

    Kwa wajuzi wa mambo kuhusu russia. Katika hii team mm nawajua watu wawili tu, ila nilikuwa namjua mmoja tu ambae ni putin ila kwa hii drama mpya nikamfahamu na Dmitry Utkin ambae inasadikika kuwa kafa. Naomba niwajue na hao wengine na sifa zao maana inaonekana hii team ndo mafia wa russia...
Back
Top Bottom