Putin anaendelea kumtafuta mchawi wake huku ikiwa tayari ametangaza kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wa Wagner kwa uhaini walioufanya.
Hivi sasa ameagiza mamlaka husika kuanza kuwafanyia uchunguzi Wagner group kwenye matumizi yao ya pesa.
Kwa kuangalia hela walizo lipwa na matumizi yao
Warusi wa Kwamtongole humu JF wanakuja na nadharia mpya kila siku za kujaribu kufuta aibu ya kilichotendeka juzi, kunao wanasema hakukua na maafa yoyote, sasa Putin hizi rambirambi anatuma za nini....
Ndege zake zilipigwa chini, marubani wakauawa....huu ulikua uasi wa kumuondoa madarakani sema...
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa options tatu Askari wa warger
1: kurudi nyumbani Yani kuachana kabisa na shughuli za kijeshi
2...
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameweka wazi kuwa hakumlenga Putin alipotangaza kuwa wanajeshi wake wangeandamana mjini Moscow akisema: "Hatukuandamana kuupindua uongozi wa Urusi."
Katika ujumbe wake wa video wa dakika 11, anasema: "Lengo la maandamano hayo lilikuwa kuepusha uharibifu wa...
Kwema Wakuu!
Bado natafakari wanaodhani kuwa kinachoendelea Huko Urusi ati kitaangusha utawala wa Putin. Kwa kweli Akili zao hawazitumii vizuri. Na macho Yao nafikiri hayaoni wala kujua Dunia inaendeshwaje.
Hivi kama Urusi imechukua miaka miwili kutaka kuangusha utawala wa Comedian Zelensky...
Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia.
Ni jambo la kushangaza kuona jinsi alivyoweza kuendeleza udhibiti kamili kwa muda wote huo; sehemu muhimu ya kuonesha utawala wake wa kiimla...
Wagner wameapa kusimika rais mpya, wapo njiani kuelekea Moscow huku tetesi zikivuma kwamba Putin ametoroka....
Has Putin fled Moscow already? Reports claim plane linked to Russia's leader flew north 'then switched off its transponder' after Wagner Group boasted: 'Soon we will have a new...
Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner.
Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin aondoe jeshi kwenye nchi huru aliyoivamia. Alitabiri kuwa Putin atauwawa nchini mwake. Utabiri wake...
Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi.
Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani.
Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa...
Raisi Putin asema alishakubaliana rasmi na Ukraine kumaliza Vita baada ya Ukraine kukubali kuwa nchi huru bila NATO na aliahidi ulinzi dhidi ya Ukraine in future ila aliomba uwe mkataba wa siri lakini Ukraine ikawageuka tena tizama huu mkataba aliwaambia Maraisi wa Africa... so ndio maana...
Rais Volodymyr Zelensky ametoa maoni yake kuhusu matamshi ya Vladimir Putin kwamba jeshi la Urusi linadaiwa kuharibu mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Patriot ya Ukraine iliyotolewa kwa Kiev na nchi za Magharibi. Alitoa kauli kuhusu hili wakati wa hotuba yake ya kila siku.
‘Haijalishi ni nani...
Mwanzo alisema atamshughulkia atakayeisadia Ukraine kwa silaha, sasa hali imekua hovyo abadili gia na kusema atakubali yaishe kama Magharibi wataacha kuwapa Ukraine silaha zinazomchakaza....
Ukraine wanapiga ndani ndani karibu na ikulu ila pia wanakomboa maeneo nyumbani.................
'Ukraine drone' strike hits oil refinery just 80 miles from Putin's palace: Major explosion on tyrant's doorstep as Russia also loses another general amid surging Kyiv counteroffensive
Video...
Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe.
=========
In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine.
“In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they...
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa kushiriki kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na vita inayoendelea...
Nguvu nyingi ilikuwa inatumika kuficha hali ya afya ya huyu jamaa, wakawa wanakana na kusema yupo mzima anachapa kazi, maradhi yamemuumbua.
Hivi Putin yuko wapi maana naye anaishi kama nguchiro tangu ile siku alikoswa koswa pale Klemrin ambapo drones zilimfikishia salamu.
====
Belarus...
Rais Zelensky wa Ukraine amekuwa akilalamikiwa sana na Rais Putin wa Russia kwamba anatumiwa na West (USA, German, UK & allies). Malalamiko hayo yamezidi kukolezwa na Pro Russia na wanayoichukia USA na nchi za EU kwa sababu wanazozijua wao.
Inawezekana kabisa wanayoichukia USA & allies wakawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.