putin

  1. MK254

    Usalama wa taifa wamshauri Putin kumfuta kazi waziri wa ulinzi maana aibu imepitiliza

    Wanashangaa kwanini bado yupo ilhali taifa linapitia aibu yote hii na mateso mengi tu....wanajeshi wanauawa kama senene kule kwenye uwanja wa mapambano huku drones za Ukraine zinajipigia popote ndani ya Urusi ikiwemo hata ikulu. Some in Russia's intelligence services are calling on dictator...
  2. MK254

    Putin ahaha kuhusu anguko la ruble, aanza michakato ya kuomba vikao

    Hela ya Urusi, yaani Ruble imedondokea pua, imeshuka kwa mwendo kasi na hii inakwenda kuilemaza Urusi kiuchumi, hii imemfanya Putin apapatike na kuomba vikao. ========== Putin to discuss capital controls to help prop up rouble, report says Proposals said to include forcing large exporters to...
  3. S

    Majaliwa ziarani Russia na maamuzi ya Rais Samia kuficha aibu ya kuitikia mwito wa Putin.

    Afrika ni bara tajiri sana. Hilo halina ubishi, wasomi wetu wengi wanakuja na ushahidi wa kila namna unaoshihirisha namna bara hili lilivyobarikiwa. Kuanzia juu kabisa kule Morocco mpaka Afrika ya Kusini pote huko kumejaa mali nyingi zilizo chini ya ardhi. Uranium inayopatikana nchini Niger...
  4. Jackal

    Ex-M16 Spy: Putin anaweza asiwepo madarakani baada ya mwaka, nchi za Magharibi zatakiwa kujiandaa kwa hilo!

    VLADIMIR Putin's 20-year iron fist reign will be over within a year, a former MI6 spy claimed. Christopher Steele, who ran MI6's Russia desk between 2006 and 2009, said the West needs to "prepare for the end of the Putin era". After two decades in power, Putin's once unquestionable control of...
  5. BARD AI

    Mpinzani wa Rais Putin aongezewa Kifungo cha Miaka 19 jela

    Mwanaharakati #AlexeyNavalny ambaye amekuwa akipinga waziwazi utawala Rais #VladimirPutin, alikuwa akituhumiwa kuunda na kufadhili genge lenye itikadi kali na kuendesha uasi dhidi ya Serikali. Hukumu imesomwa ndani ya Magereza yenye Ulinzi Mkali, Kilomita 250 nje ya Jiji la #Moscow ambako...
  6. MK254

    Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

    Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
  7. MK254

    Putin akiri hali ngumu, Ukraine wanapelekea moto kwenye counteroffensive

    Sio kawaida kwa huyu jamaa kukiri kipigo, ukiona mpaka anaisema ujue mle kwenye medani ni kichinjio cha wanajeshi wake... Putin says Ukrainian attacks have intensified in recent days Russian president Vladimir Putin said on Thursday that Ukrainian attacks had intensified in recent days...
  8. BARD AI

    Putin amzawadia Rais wa Zimbabwe Helikopta

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amemzawadia mwenzake wa Zimbabwe helikopta ya Rais, kwa mujibu wa wizara ya habari ya Zimbabwe. Zawadi hiyo itatolewa hivi karibuni, taarifa hiyo iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii imesema. Rais Emmerson Mnangagwa anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Urusi na Afrika...
  9. MK254

    Bilionea mwingine mndani wa Putin afa ghafla, wataisha hawa jameni

    Matajiri wa Urusi wapo kwenye hali ngumu sana, wanauawa kama senene.... 40-year-old millionaire, suspected of having connections to Alisher Usmanov, dies in Russia On July 22, businessman and CEO of "IKS Holding," Anton Cherepennikov, passed away at the age of 40 in Moscow. The initial cause of...
  10. MK254

    Poland yatuma wanajeshi mpakani licha ya Putin kulia lia

    Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa.... POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank. Vladimir...
  11. Messenger RNA

    Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
  12. MK254

    Mabilionea wa Urusi, wandani wa Putin waendelea kufa vifo tatanishi

    Haieleweki nani anawamaliza na kwa nia gani... Hawa oligarch ndio huwa wamemuweka Putin mjini kwa hela yao.... Russian Billionaire Igor Kudryakov — US Times Post/File At the age of 64, billionaire Igor Kudryakov, one of Russia's oligarchs, was discovered dead in his Moscow flat following a...
  13. MK254

    Ukraine waanza kutembeza kichapo kwa kutumia cluster bombs, Putin alisema zikitumika atafanya jambo

    Putin amekua akichora mistari na kusogesha magoli ya mikwara, juzi alisema Ukraine wakipewa cluster bombs hapo mstari utakua umevukwa na atafanya kitu, haya sasa wamepewa na zinatembeza kichapo ile mbaya, sijui atachora mstari upi mwingine. US-supplied cluster munitions have been deployed in...
  14. Zacht

    Putin: Kama watatumia cluster bombs na Sisi tutatumia

    Cluster bombs ni Miongoni mwa mabomu yaliyopigwa marufuku na umoja wa mataifa kutumika kutokana na uhatari wake , lakini hivi karibuni marekani ameonyesha nia ya kumpatia Ukraine mabomu hayo na kuyatumia dhidi ya urusi. Majibu ya Putin juu hilo ni kwamba urusi inayo hazina ya kuzosha ya...
  15. MK254

    Putin alia sana kwa daraja kupigwa, asema ni ukatili huo

    Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe, kwamba yeye apige lakini asipigwe, akiguswa anasema wanamfanyia ukatili.... July 17 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Monday his defence ministry was preparing proposals for a response to an overnight attack that damaged the road...
  16. 5

    TRUMP: Putin amedhoofika

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema jaribio la uasi wa Wagner nchini Urusi limemdhoofisha Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin Trump ambaye kwa muda mrefu amekua akivutiwa na rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba Putin amedhoofishwa kwa kiasi fulani na uasi huo uliokomeshwa na...
  17. M

    Mjue Prigozhin, Myahudi aliyemtetemesha Vladmir Putin

    Huyu ni mfungwa wa Zamani, aliyekaa Jela kwa miaka 9 kuanzaia miaka ya 1980,s mpaka miaka ya 1990 alipoachiwa kutokana na purukushani za kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet. ---------------------------------------------------------------------------------------------------- Bwana Prigozhin alizaliwa...
  18. B

    Rais Zelensky alia na mashambulizi ya Putin.

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewaita viongozi wa kisiasa na kijeshi wa Urusi kuwa ni majambazi na kufutilia mbali uwezekano wa mpango wa amani utakaovigeuza vita vya Ukraine kuwa mgogoro uliositishwa. Kauli ya Zelensky inakuja wakati kilio na huzuni vikitanda kufuatia shambulizi la Urusi...
  19. Richard

    Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu. Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters". Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
  20. MK254

    Putin alia lia kuhusu gharama aliyoingia ili kuwakimu Wagner, nani kamtuma

    Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu...
Back
Top Bottom