Habarini za jioni wakuu..
Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa,
Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata wapi namba aliyokuwa anatumia sasa inatumika na mtu mwingine na hata hamjui😥, mitandao ya kijamii yake...