rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Zee la Masonko

    Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  2. B

    Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

    Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world!
  3. Roving Journalist

    Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea: Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba, Mtaa wa Kiburuni, Dar es Salaam na kuanza kuvunja sehemu ya nyumba, ikiwemo madirisha na milango...
  4. National Anthem

    Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

    NB Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu. Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu. Sifa zake : Ajira: Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea Kipato: Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati) Elimu: Ana mawe...
  5. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  6. Von_Lufuta

    Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

    Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika ile familia, naweza kumpa credit mama yao kwa kufyatua watoto wazuri kupita maelezo pale mtaani...
  7. F

    Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar. Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo. Nahitaji mtu ambae kama...
  8. Jugado

    Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote. Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
  9. M

    SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  10. Carlos The Jackal

    Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!

    Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto. Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni. Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem). Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa...
  11. chiembe

    Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

    Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu. Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba...
  12. C

    Faida/umuhimu wa kuwa na rafiki

    Urafiki ni muhimu katika maisha yetu kwa sababu unatoa fursa ya kuwa na watu ambao tunaweza kushiriki nao maisha yetu, kugawana hisia zetu na kupata msaada, kujifunza mengi kutoka kwao na kuwa na watu ambao tunaweza kuzungumza nao wakati wa furaha na dhiki. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini...
  13. Mohamed Said

    Namkumbuka Rafiki Yangu Gershom Chihota (1950 - 2023)

    NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU WA UDOGONI GERSHOM CHIHOTA (1950 - 2023) Kiasi cha kama siku tatu zilizopita nimepokea taarifa kutoka kwa Ally Max Marekani. Ajabu jinsi kifo kinavyoweza kufungua majalada ndani ya ubongo wa binadamu. Nataka kuanza na Ally Max. Ally Max ni mdogo sana kwetu hapa...
  14. sky soldier

    Rafiki yangu (34) anataka nimwambie binti yangu wa dukani (22) kwamba anampenda, hii ni sawa?

    Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano. wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee. Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa...
  15. D

    Una mtu anaeweza kukusaidia pale unapokua chini sana?

    Katika Mashindano ya mchezo wa kuogelea huko Budapest, Anita Alvarez wa Marekani alizama chini ya swimming pool. Akitazama huku na kule na kugundua kuwa Anita alikua ndani ya maji muda mrefu sana, kocha wake, Andrea Fuentes mara moja akaingia ndani ya maji na kumuokoa. Anita alikuwa amepoteza...
  16. Unique Flower

    Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

    Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ?? 😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
  17. Mmea Jr

    Hivi huyu rafiki yangu anaweza kuwa mtu wa aina gani?

    Habari zenu wakuu?? Natumaini mpo salama kabisa. Okay mimi siyo muanzisha mada humu mara kwa mara ila mara nyingi nimekuwa napenda sana kusoma tu mada, story hata visa mbalimbali viinavyolweta na baadhi ya wadau wenzetu na kama itatokea nikaguswa sanaa basi mara moja moja huwa natupia comment...
  18. kali linux

    Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

    Hello bosses and roses... Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
  19. Intelligent businessman

    Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
  20. Tugepalu Jr

    Ukimpata Rafiki anayejua kuthamini uwepo wako katika maisha yake, hakikisha unamshikilia vyema

    Katika maisha, tunakutana na Watu wapya wenye Tabia na sifa mbalimbali ambazo kwa namna moja ama nyingine huweza kuleta mabadiliko katika maisha yetu, aidha katika hali chanya au hali hasi. Hivyo basi tunapaswa kuwa makini na wadadisi zaidi kabla ya kuamua ni yupi anaweza kuwa Rafiki kwako...
Back
Top Bottom