Leo nilikuwa Chato stand ya zamani nimeshuhudia mambo ya ajabu sana.
Eti Mama ametoa mikopo 10% ya mapato ya halmashauri. Alafu Mbunge Kalemani anabwatuka eti Mama amefanya mambo makubwa.
Haya kikundi kina wajasiriamali 30 unakipa milioni mbili hii inasaidia nini kiuchumi?
Unagawa bodaboda...
Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Samia kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma...
My Take
Nakubalina na PM 💯 💯
Kwenye suala la Maendeleo Samia hana mshindani Kila mtu anaona huko aliko 👇👇
---
RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO – MAJALIWA
▪️ Waziri Mkuu asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kutekeleza na kukamilisha miradi yote ya kimkakati.
▪️ Aeleza kuwa Rais Dkt. Samia ni...
Yupo Frontline
RAIS SAMIA AWASILISHA AJENDA YA NISHATI SAFI KWENYE MKUTANO WA AU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasilisha ajenda ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote.
Mungu akimpa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu .
Tumepata Neema na upendeleo...
Wakuu,
CCM mnapumulia mashine sasa hivi :BearLaugh: :BearLaugh: baada ya mahojiano na vikongwe kumchafua Lissu kubuma sasa mmekuja na matembezi.
Yaani mnahangaika, moja haisimami mbili hailali🤣🤣, Lissu amewashika pabaya.
=====
Umoja wa Makundi Mbalimbali nchini Tanzania Chini ya Mwamvuli...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote.
Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuisimamisha Nchi na Afrika Nzima kwa ujumla wake pamoja na nje ya mipaka ya Bara la Afrika June 27 mwaka huu.
Ni Tarehe ambayo anatarajiwa kutua na kuingia kikomandoo...
Wakuu,
Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM.
Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii?
Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako...
Wakuu,
Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa vinafanana:BearLaugh::BearLaugh: CCM ndio mmeishiwa kiasi hiki?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Wakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais wenzake watakuwa wanakufa mbavu kwa haya yanayotokea huku:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:.
Kupata...
Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Kwenye michezo yupo!
Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
Sekta za afya na sheria yupo!
Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo!
Tujiulize je, hii ni ishara...
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia tarehe 15 - 16 Februari, 2025 kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Soma Pia: Dar: Rais Samia ashiriki...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kipindi Ambacho nimeshuhudia mafundi ujenzi wakiwa Bize mitaani kama awamu hii ya Rais Samia. Muda wote na siku zote unaona mafundi wakiwa katika site mbalimbali wakiendelea na shughuli za ujenzi. Ni wao tu kuchagua mahali pa kwenda kati ya miradi ya serikali au...
Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema suala la kuanza ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa Dodoma ulizungumzwa kwa kipindi kirefu na michakato yake ilikuwa mingi ambayo haikufanikiwa hadi pale Rais Samia Suluhu Hassan alipoingilia ndipo likawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.