rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Handeni, Tanga: Wachinja ng'ombe 23 ziara ya Rais Samia

    Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa. Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
  2. Mkalukungone mwamba

    Picha: Samia Kings (AY, Madee na Chege ) waongoza kwenye mapokezi ya Rais Samia huko Mkata

    Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo. Soma Pia: Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 Wasanii Ay, Madee na Chege...
  3. Pfizer

    Rais Samia kuzindua Mradi wa Kihistoria wa Bwawa la Mkomazi wenye thamani ya Bil 18. Mradi uliobuniwa zaidi ya miaka 50 ilopita

    Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwenyekiti CCM Tanga: Hakuna Elimu bila Ada sote tunalipiwa ada na Rais Samia

    Wakuu, Kumekuchaa kumekuchaaa, kumbe watu watoto Tanzania nzima wanalipiwa ada na Rais Samia na hamsemi:BearLaugh::BearLaugh: ==== Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  5. feyzal

    Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya dunia🙌

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  6. Abraham Lincolnn

    Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  7. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia ashiriki kwenye uzinduzi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga

    Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo...
  8. Abraham Lincolnn

    Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  9. GENTAMYCINE

    Watu wa Itifaki tafadhalini mpunguzieni Ratiba za Matukio Rais Samia kwani mnamchosha na si vizuri pia kwa Afya yake

    Hata ukiangalia tu Body Language yake kwa Jicho la Kinjagu (Kimosadi) utagundua kuwa anachoka na hapumziki vizuri.
  10. milele amina

    Barua ya wazi kwa Rais Samia: Kushindwa kutekeleza ujenzi wa Hotel ya TANAPA Chato

    Mh . Rais Samia, unaendelea vema,japo chato na mkoa wa Geita,tunalala tukilia usiku na mchana,Kila tukiona hotel imeota majani huko jirani na ziwa Victoria. Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya kuangazia masuala kadhaa yanayoathiri maendeleo ya Chato na wananchi...
  11. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Rais Samia: Wazo la ‘Upatu’ la Wachekeshaji laweza kuwa na manufaa kwa SADC

    Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora ili kusaidia masuala ya kifedha ya nchi za Kiafrika. Rais Samia amesema wazo hilo likichukuliwa...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Rais Samia apewa tuzo ya Champion of Comedy; nami nasema anafaa

    Anastahili, maana awamu yake ni full comedy
  13. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

    Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye tuzo za Tanzania Comedy Awards Updates.... - Rais Samia apewa tuzo ya Champion of Comedy; nami nasema...
  14. The Watchman

    Pre GE2025 Eric Shigongo: Miaka mitatu ya Rais Samia Buchosa imeendelea sana

    "Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge nimepokea bilioni 63 za maendeleo, tumejenga barabara, tumejenga vituo vya afya vitano tumejenga sekondari...
  15. Waufukweni

    Rais Samia akatisha hotuba na kunywa Kahawa kwenye Mkutano wa 3 wa Nchi zinazozalisha Kahawa Afrika 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja kati ya sifa kubwa za kahawa ni kuchangamsha akili, huku akitoa ushuhuda wa yeye kuwa mtumiaji mzuri wa kinywaji hicho. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi Februari 22, 2025 wakati akihutubia mkutano wa tatu wa...
  16. Mindyou

    Pre GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu!

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000 katika Shule tatu za msingi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Jiji la Tanga. Akiongea wakati...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  18. L

    Rais Samia afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na Wenyeviti wa bodi mbalimbali

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko katika safu ya uongozi kwa kuwahamisha wakuu wa wilaya wawili na kuteua viongozi wapya kwenye nyadhifa mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
  19. Carlos The Jackal

    CHADEMA ifanyeni Hoja ya Mh Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kua Msimamisi Mkuu wa Uchaguzi ( TAMISEMI) kua Hoja Kubwa , itaeleweka Kwa haraka !!.

    Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi. Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii. Hii ni Hoja nzito Sanaa . Kwanza...
  20. L

    Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
Back
Top Bottom