Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025.
Rais Samia amewataka viongozi wenzake wa Kikanda kuchukua hatua madhubuti kuhusu hali inayoendelea kuzorota katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akionya kwamba historia itawahukumu vikali...
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake...
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suhulu Hassan amepeleka zaidi ya Bilioni 2 katika miradi ya maendeleo Wilaya ya Nachingwea katika mwaka wa fedha wa 2020/2025 ambayo umesaidia kukuza uchumi wa Wananchi wa Nachingwea.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara Mwenyekiti wa...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imesaini mkataba wa ununuzi wa mitambo ya kuchimba visima virefu na kampuni ya utengenezaji mitambo hiyo ya Uturuki iitwayo Acarkardesler, ambapo mitambo hiyo itagharimu Dola za Kimarekani...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema kupitishwa kwa Sheria ya TBC kunatokana na mapenzi makubwa aliyonayo Rais Samia Suluhu Hassan kwa shirika hilo.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TBC...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
“Sisi CCM...
"Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.
Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.
Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya hoja kuu ni kuwa mzanzibar kuitawala Tanganyika na kuuza rasilimali za Tanganyika kwa wawekezaji , huku...
Wanabodi
Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!.
Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Hasham amesema kuwa kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita, hata kama hatapata tiketi ya ubunge, atahakikisha Rais Samia Suluhu Hassan anapata kura za kutosha katika jimbo hilo.
Salim ameyasema hayo wakati akieleza mafanikio...
Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.
Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
Wakuu
Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema ni ushindi mkubwa kwa Tanzania na mafanikio ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma, Pia: Rais Dkt...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiitaka Mahakama kutenda haki kwa usawa na wakati, watoto wa aliyekuwa Jenerali Tumainieli Kiwelu wanaomba shauri lao la kuondolewa kwa wasimamizi wa mirathi ya baba yao lililofunguliwa May,2024 limalizike.
Rais Samia akiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya Sheria...
Ndugu zangu Watanzania,
Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu. Katiba Ni karatasi tu zilizojaa maneno ya namna gani ya jambo fulani lifanyike na hatua zipi zifanyike...
Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke.
Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.