rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  2. T

    Pre GE2025 Mbunge wa Mbarali awataka UWT kutangaza habari za Rais Samia hadi msibani

    Wakuu vibweka ni vingi sana huu mwaka, Mbunge wa jimbo la Mbarali Bahati Ndingo amewataka wanawake wa UWT kusambaza habari na mambo anayoyafanya Rais Samia, wakiwa kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo msibani Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  3. Pre GE2025 Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

    Wakuu, Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana. ==== Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha...
  4. Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award” ikiwa ni kielelezo cha matokeo makubwa ambayo yamepatikana katika uongozi wake kufuatia ripoti ya utafiti wa demografia na afya ya mwaka 2022 inayoonesha kupungua kwa vifo...
  5. Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

    Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania. Babu Owino alidai kuwa alizuiliwa kwa saa tatu katika...
  6. Dodoma: Rais Samia awataka Majaji na Mahakimu kutokuwa miungu watu, watende haki kwa kufuata sheria

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Chinangali-Park Dodoma Februari 3, 2025. https://www.youtube.com/live/fqCi2-5SDmA?si=jG8QMcgHcUv5YYNN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan "Kwa mwaka 2024 Jumla ya mashauri 172, 301...
  7. Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

    Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi. Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni...
  8. Pre GE2025 Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China wamuunga mkono Rais Samia kugombea tena 2025

    Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China, Alawi Abdallah, ameeleza azimio la jumuiya hiyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 Alawi ameeleza kutoa tamko...
  9. Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?

    Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa.... Waziri...
  10. Pre GE2025 Mashekhe wafanya ibada na kuomba majini yasaidie Rais Samia kushinda kwenye uchaguzi ujao

    Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao. Shekhe mkuu akiwa kwenye ibada hiyo ameagiza kuwa mashekhe wa mikoa yote, wilaya hadi kwenye kata...
  11. Hii video maana yake nini? Hizi sherehe za leo ni kusherehekea miaka 48 ya CCM au kumpamba Rais Samia?

    Wakuu, Naomba kueleshwa nini kinaendelea huko Dodoma. Leo ni siku ya CCM au sherehe ya kumpamba Rais?
  12. Hongera mheshimiwa rais kwa ku "host" mkutano wa nishati Africa

    Kwa kweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kitendo cha marais wa Afrika kuiamini Tanzania na kuja kufanya mkutano ni dhamana kubwa sana ambayo alikuwa nayo Amiri Jeshi Mkuu. Tuache chuki, tofauti zetu tuzizike, tumpe maua yake Mheshimiwa Rais kwa kuwa mwenyeji wa mkutano huu mkubwa...
  13. Pre GE2025 Alichokisema Rais Samia kuhusu maslahi ya waalimu ni anamaanisha au ndio sarakasi za kampeni?

    Wakuu, Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana ============================================== Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan...
  14. Rais Samia kuwa makini sana na Stephen wasira ni kigeugeu sana

    1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI. Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake. NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza...
  15. Pre GE2025 Katibu vijana Taasisi ya Samia for Us, Mandago: Rais Samia amejenga Shule nyingi zaidi kuliko hayati Magufuli

    Katibu wa vijana na uhamasishaji wa Taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne amejenga shule nyingi zaidi kuliko zilizojengwa na serikali ya awamu ya tano. "Miaka mitano ya hayati Dkt. John Pombe...
  16. Rais Samia: Ujasiriamali kuwa somo la lazima kwa Sekondari kidato cha kwanza hadi nne. Ili kuandaa vijana kujitegemea

    Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
  17. Kwanini wengine Wakifa Rais Samia hawapi Mamilioni ya Shilingi kama alivyofanya kwa huyu Sheikh Muhammad Idi?

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya marehemu Sheikh Muhammad Idd. Mufti Abubakar Zuber amekabidhi Milioni 20 kwa Mwakilishi wa familia...
  18. Pre GE2025 Geita: Viongozi wa dini Chato wachangisha Tsh. Mil 1.4 kwaajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombe Urais

    Wakuu, Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg. Soma: Pre GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Katika mchango...
  19. Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
  20. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…