rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Uteuzi: David Nchimbi ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya NMB Plc

    Wakuu, Huyu Nchimbi na mgombea mwenza wa Samia ni ndugu au majina tu? TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
  2. Kwanini Samia hataki kuchukua hatua kwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam cha kudhalilisha wanawake?

    Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana? Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe nyumbani? Anapata wapi mandatory ya kuzungumzia rushwa hadharani? Kwanini Rais ambaye ni mfariji namba...
  3. L

    Rais Samia Gumzo Barani Afrika. Awa Kama chemchemi ya Maji Isiyokauka Midomoni Mwa Watu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kushindana na yeyote yule na ukafanikiwa kushinda vita yako. Lakini kamwe huwezi kushindana na mtu ambaye anapiganiwa,kutetewa na kulindwa na Mungu. Huwezi kushindana na mtu mwenye kibali na aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na Mtu aliye na Mungu...
  4. K

    Rais Samia weka Tanzania mbele, mbona mwenzako Ruto ameweza!

    Tatizo la nchi yetu ni viongozi wengi ni wabinafsi nilishangaa kwa utamaduni mfano wa kuwajengea wa Raisi wastaafu mahekalu kwa pesa ya walipa kodi na kulipa wenza wao wakati hii sio kazi ya kulazimishwa. Rais Samia anatakiwa aweke nchi mbele mwenzake Ruto pamoja na tofauti kubwa ya Odinga...
  5. Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

    Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule. •Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni...
  6. Siku ya kuzaliwa Rais inapogeuzwa sikukuu ya kitaifa

    Huyu ni Rais wa 6 Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuunda nchi mpya Tanzania. Marais 5 waliopita wote walizaliwa na huyu wa Sasa alivyozaliwa. Lakini hatujawahi kuona sherehe za kuzaliwa kiongozi zinageuzwa sherehe za kitaifa. Naziita za kitaifa Kwa sababu zimepangwa kimikoa Kila...
  7. Mkutano wa Nishati Afrika (Africa Energy Summit) 27-28 Januari, 2025

    Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025. Mkutano huu unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya...
  8. Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje

    Wakuu Rais Samia akiongea kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo Januari 28,2025 Jijini Dar es salaam. "Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia...
  9. Pre GE2025 Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?

    Wakuu, Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa. Soma: Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao...
  10. Rais Samia akizungumza katika Africa Head of State Energy Summit (mission 300), January 28th, 2025

    https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80% Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa Kitaifa kuhusu Nishati akiwa kwenye Mkutano Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika, Rais wa Jamhuri ya...
  11. Ushauri: Rais Samia mpe kazi Prof. Anna Tibaijuka, ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi

    Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema Prof Tibaijuka ana uwezo mkubwa sana wa masuala ya utumishi vilevile anaweza kuwa kama mama mwenye busara Kwa miaka...
  12. Nina shida kubwa sana na CCM, ila kwenye haya Salute Rais Samia🚶‍♀️

    Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule. Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au umeme. Haya ni majukumu ya msingi ambayo Serikali yeyote inapaswa kuyafanya na Wananchi hawapaswi...
  13. Halmashauri ya Mji Kibaha sasa imepanda hadhi na kuwa Manispaa

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji Kibaha iliyopo Mkoani Pwani kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa. Uamuzi huo umetangazwa leo Januari 27 na Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa...
  14. L

    Rais Samia ashindwa kujizuia hisia zake za furaha. Awashukuru wana CCM na viongozi kwa kumtakia heri ya Siku yake ya Kuzaliwa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni...
  15. Pre GE2025 Wajasiriamali zaidi ya 200 mkoa wa Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi kutoka kwa Rais Samia

    Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi. Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  16. Pre GE2025 UWT Iringa walivyowaimbisha 'Mitano tena' wanafunzi wakisherekea birthday ya Rais Samia

    Ndio hivyo..!😎 Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi...
  17. Rukwa wafanya Bonanza la Kumbukizi ya Kuzaliwa Rais Samia. Ikiwakutanisha timu ya Suluhu Academy na Dew Drop

    Leo umechezwa mchezo wa Fainali wa Bonanza la Kumbukizi ya Kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia katika dimba la Nelson Mandela Wilayani Sumbawanga ukizikutanisha timu ya Suluhu Academy kutoka Kizimkazi Zanzibar na Dew Drop kutoka Sumbawanga. Soma Pia: Wanafunzi wa Rukwa...
  18. Pre GE2025 Wanafunzi wa Rukwa Girls Secondary School washerekea siku ya kuzaliwa Rais Samia! Tunalazimisha iwe sherehe ya taifa?

    Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga! Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa? ===================== Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya...
  19. Pre GE2025 Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?

    Wakuu, Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku ya wanafunzi? ==== Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Janeth Mayanja leo Januari 27, 2025...
  20. Baada ya Rais Samia kukanyaga katiba ya CCM, kwa kupitishwa kuwa mgombea sasa wabunge wa CCM wanajipanga kupitishwa bila kupiga kura

    Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm alitakiwa kuchukua fomu ya kugombea kisha vikao vimjadili na kupitisha jina lake, mtindio huu pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…