Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia.
Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu...