rayvanny

  1. Sikushangaa kumuona Rayvanny kwenye jukwaa la Mwamposa. Mjini kuna mengi

    https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi. Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa. Usiku alikuwa kwenye ibada ya Mwamposa na akapanda jukwaani akapewa na maiki aimbe. Watu wanasema anapromoti...
  2. Rayvanny katoa album kali sana

    Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milele
  3. RAYVANNY KASHUKA NA KUISHIWA MBINU KIMUZIKI

    Moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na mijadala mitandaoni kua Rayvany anaimba nyimbo zake kwa mfumo/mtindo uleule kitu ambacho kinasababisha watu kutomuelewa msanii huyo Mfano hio post ya X Mfano. Nyimbo kama Teamo, Number one ft zuchu, I miss U ft zuchu. Mfumo wa uimbaji na Beat ni...
  4. Hivi huyu Rayvanny ndio kashaishiwa?

    Huyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
  5. Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  6. M

    Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

    Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.
  7. Harmonize na Rayvanny ndiyo wasanii wangu bora

    Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka. Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU...
  8. Aliyeimba huu wimbo wa "Huu mwaka" mi naona kakosea huu mwaka 2024?

    Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
  9. W

    Ni mstari gani wa Bongo Fleva unaweza kuelezea Mahusiano yako?

    Habarini wakuu, Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa. "Unadhani niwapeke ako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi 'Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili...
  10. Lyrics za wimbo wa 'Huu Mwaka' wa Dayoo na Rayvanny

    Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake huu mwaka mtaniita boss Rayvanny Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake mtaniita boss Huu mwaka ee wa faida sio loss tushalala njaa huu mwaka mwendo wa misosi Sisi Mungu anatulinda japo maadui wengi wanatuwinda Vita...
  11. Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

    Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu. Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
  12. Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

    Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE. Kayumba amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya...
  13. Kuna ngoma za 1. Harmonize, Jux & Marioo: 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody:na 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso, utasikiliza namba ngapi?

    Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava 1. Harmonize, Jux & Marioo 2. Diamond, Barnaba & Jay Melody 3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso Utasikiliza kundi namba ngapi?
  14. Director wa RayVanny atuhumiwa ‘kumuiba’ mtoto wake na kutokomea naye, mzazi mwenzake abaki analia

    Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta. Akisimulia stori hiyo, mama wa mtoto ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema: “Mzava ni mzazi...
  15. O

    Rayvanny Anazidi Kutisha Na Nyimbo Yake Mpya inayoitwa Mtamu

    Raymond Shaban Mwakyusa, anayetambulika kwa jina la kisanii Rayvanny , ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na msanii wa kurekodi mahiri kutoka Tanzania. Akiwa msanii, amepata mafanikio na kutambulika chini ya lebo maarufu ya WCB Wasafi. Hivi majuzi, Rayvanny alitoa video ya muziki ya kuvutia ya...
  16. Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

    Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini. Tanzania nzima inajua...
  17. Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

    Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele "TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ? Msanii...
  18. Msanii Macvoice na tuhuma ya utapeli kwa mwanafunzi

    Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm. 📌Habari kamili. Na Hemedyjrjunior. 👇 Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy , ambayo inafahamika kama Next level inayopatikana Dar es salaam Tanzania. Moja ya story ambazo...
  19. C

    Rayvanny stuka kijana, Baba Levo anatumwa kukutukana

    Vanny Boy mtu mbadi kuwa makini..!! Babalevo ni chawa na lichawa haliwezi kufanya jambo bila ruhusa ya Boss (Diamond)! Tuanzie hapa! Unakumbuka jinsi alivyokusumbua kufanya video ya ngoma ya 'Nitongoze'? Kama unakumbuka umetoa Ngoma tu ya audio ya Nitongoze kesho yake akatoa audio ya...
  20. Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…