rayvanny

  1. sinza pazuri

    Hongera Zuchu na Rayvanny kwa ushindi wa kishindo mmeipa heshima Tanzania

    Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki. Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k. Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka...
  2. Chachasteven

    Rayvany alivyotumia uchawi kwenye show ya Fiesta Sumbawanga

    Cheki hapa Rayvanny alivyotumia uchawi kwenye shoo yake ya Fiesta Sumbawanga.
  3. sinza pazuri

    Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
  4. L

    Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

    Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au! Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza. Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia...
  5. L

    Diamond platinum acha kuwatumia wakina Mwijaku/Wasafi media kumtukana Rayvanny

    Nimeona interviews kadhaa za YouTube za kina Mwijaku na vipindi kadhaa vya Wasafi tv.. Mara Sijui S2kkizzy kafuta nyimbo ya Tetema ya Rayvanny youtube eti hajalipwa haki zake kutengeneza nyimbo. Ukisikiliza kwa makini utaona kabisa Diamond anawatumia hawa watu kumchafua Rayvanny. Mwijaku kila...
  6. sinza pazuri

    Wimbo wa Rayvanny "Tetema" waondolewa YouTube

    Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale inapofikia zamu yao nao kutoa kipato kwa muwekezaji. Utetezi wa kusema mimi ni mtoto nimekuwa nataka...
  7. Wand

    SI KWELI Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

    Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu. Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na BASATA...
  8. Gan star

    Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

    Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na kuwatambulisha vyema ...!! Harmonize akaona isiwe tabu ikabd ajikate, njia aliyopitia sio rahsi...
  9. sky soldier

    Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  10. sinza pazuri

    Tetesi: Nimesikia Rayvanny anataka kumpandishia nyimbo Diamond...!!!

    Za chini chini zinasema Diamond kesho anataka kuachia ngoma nyingine. Wanasema baada ya kufahamu ilo Rayvanny nae anataka kumpandishia ngoma ili kinuke. Inawezekana ni coincidence tu watu wanataka kuchochea vita ila kama ni kwa nia mbaya basi mapanga yatatolewa galani atazamwi mtu usoni 🔥🔥🔥
  11. Nyendo

    Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

    Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani. Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi...
  12. Edo kissy

    Video ya Rayvanny na Zuchu iliandaliwa kwa bajeti ya Tsh Milioni 80

    Habari za usiku huu. Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake. watu wanawekeza jaman.
  13. sinza pazuri

    Rayvanny ajenga nyumba kisha aichoma moto

    CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa I miss you. Ukitazama video hiyo utaona kuna scene ya nyumba inaungua basi ile nyumba ilijengwa kwa...
  14. mr gentleman

    Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

    STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿 Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
  15. B

    Hivi ni kweli Rayvanny katoka WCB?

    Jana wakati wanatambulishwa wasanii wa WCB Bungeni, sikuona Rayvanny akitambulishwa, au ndio ukweli ametoka WCB
  16. sinza pazuri

    Rayvanny aendelea kuvunja records za mauzo: Awa msanii wa kwanza East Africa kuingia Golden Club

    Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa. Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay. Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo...
  17. John Haramba

    Rayvanny kaambiwa alipe milioni 500 aondoke WCB

    Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB. Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa na BONGO TRENDY TV: “Habari zao ninavyojua ni kuwa Rayvanny aliomba kutoka WCB, akaambiwa atoe...
  18. Dong Jin

    Diamond Platnumz na Rayvanny wanazidi kuchanja mbuga Afrika! Hakika hawa ni Tanzanian heavyweights

    Hii ni list ya views za wasanii wa ukanda wa chini ya jangwa la sahara kwa mwaka 2021. Kwa Tanzania ni diamond na rayvanny ndo walioingia top ten
  19. Nyendo

    Je, Rayvanny na Paula wamwagana?

    Mambo yanaenda kasi sana jamani. Lile penzi moto moto kati ya Rayvanny na Paula binti Kajala huenda likawa limefika kikomo baada ya kila mmoja kuacha kumfatilia mwenzake huko mjini Istagram. Hawanaishia tu kitofatiliana bali pia kila mtu kafuta pucha zote za mwenzake kwenye page yake. Sasa...
  20. Expensive life

    RayVanny badilika...

    Rayvanny ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki. Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako. Umepotea kabisa kwenye platform mbalimbali...
Back
Top Bottom