rayvanny

  1. Slowly

    Licha ya ukimya wake kwa mda mrefu, Rayvanny azidi kumburuza Harmonize

    Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu Rekodi mbali mbali zinaonyesha jinsi Rayvanny anavyomburuza konde boy kuanzia kwenye mziki mpak kumiliki watoto wa zuri...
  2. M

    Bifu lililokuwa la Rayvanny na Harmonize, limemshusha Rayvanny zaidi, nadhani

    Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative comments wengi Sana Hali hii haikuwa hapo mwanzoni. Kwani Rayvanny alikuwa na neutral fan base hata...
  3. sinza pazuri

    Rayvanny azidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba

    Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa. Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo. Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million...
  4. Slowly

    Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

    Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha ..... Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika...
  5. sinza pazuri

    Fahima wa Rayvanny ateswa na wivu wa mapenzi

    Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula. Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂 Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali...
  6. Mshana Jr

    Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
  7. sinza pazuri

    Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

    Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni. Nitawapa updates soon Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
  8. U

    Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

    Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja. Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama...
  9. sinza pazuri

    Rayvanny afunguka kuhusu Harmonize, Paula, lebo ya NextLevel na mengine kuhusu muziki wake

    Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo " Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
  10. Slowly

    Twende mbele turudi nyuma Dis-track ya Baba levo (Harmo mavi) ni fire

    Jana na juzi na hata sasa , mji umezima ghafla, Rekodi inaonesha vifurushi vya internet vimenunuliwa Kwa wingi Sana siku ya juzi na hasa Jana Vijana wawili wa Diamond Platnumz wameusimamisha mji, huku Baba Yao akiwa sehemu flani ametulia akiongeza Popcorn 😂 Bifu hili la Harmonize na Rayvanny...
  11. A

    Si Harmonize wala Rayvanny anayewatetea hawa Wanawake bali kila mmoja anatoa uchafu kwake na kuwapakaza hawa wanawake walivyo zero nao wanacheka tu

    Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake. Leo mama mtu hana hata habari kuwa anavyomlea mwanae ni kama anamuandaa Wema Sepetu wa baadae na...
  12. Slowly

    Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
  13. sinza pazuri

    Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

    Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. ---
  14. devor

    Rayvanny alitumia chance aliyoipata WCB

    Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha kusikilizwa kwa kweli
  15. Shadow7

    Mpiga picha wa Rayvanny: Kutoka kubeba mabegi mpaka kuwa msimamizi wa lebo ya Next level (+ Video)

    Huu mzima? Kijana ambaye huonekana karibu sana na @rayvanny na mara nyingine huonekana akimpiga picha erismzava ameeleza ukaribu wake na Rayvanny na kueleza nafasi yake kwa @rayvanny na pia nafasi yake kwenye labo mpya ya Next Level Music Mzava ameelza kuwa yeye chochote atakachoagizwa na...
  16. Ikaria

    Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

    Msanii wa Bongo flavor kutoka lebo ya Wasafi Rayvanny maarufu Vanny boy ametangaza jina la lebo yake ambayo ameipa jina NEXT LEVEL MUSIC. Rayvanny sasa anakuwa msanii wa kwanza Tanzania kuwa na lebo yake ikiwa bado yupo chini ya lebo nyingine (Wasafi)
  17. sinza pazuri

    Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

    Nataka tumzungumzie kidogo huyu fundi muziki kutoka WCB yaani Rayvanny aka Chui. Rayvanny ni msanii anaeujua muziki haswa na anaweza kuufanya muziki vile anavyotaka. Kipaji chake sio cha nchi hii naweza kusema yupo mbele ya wakati. Anaweza kufanya aina mbali mbali za muziki na akaua. Anaweza...
  18. Slowly

    Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

    Rayvanny, Vannboy aka chuiii, toka label nambari moja East and Central Africa ya WCB wasafi, kupitia account yake ya Instagram amemuomba msamaha Kajala.... Kwa tukio lililotokea hivi karibuni la kusambaa kwa video za faragha akiwa na mwanawe Paula ..... Anaandika Vannyboy;- "Duniani wakati...
  19. Slowly

    Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena... Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
Back
Top Bottom