Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM.
Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo...
Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.
Raymond Shabani Mwakyusa a.k.a Rayvanny kaachia album yake ya kwanza toka anze Carrier yake ya muziki miaka kadhaa iliyopita.
Jina la Album : Sound from Africa
Wasanii walio-shirikishwa jumla 20
13...
Huyu mwamba huwa namwelewa Sana, hasa ngoma zake za kubembeleza , ni fundi haswa , sioni mpinzani Kwa huyu king Leopard , ..... First nilimuapreciate sana Dimond Kwa ngoma zake za hsia lakn tangu aturn back na kuanza kuimba ngoma ambazo mi binafsi simuelew , nafkr yeye Kwa kutafta soko nje but...
Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong.
Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu Rayvanny na wenzako hii sio hatua nzuri ni mbaya maana mtapanik na mwishowe mtafeli mazima
Inasemekana etiii WCB Wasafi wanampango wa kumnyakuwa Rapper wa Kike Rosa Ree, Ngoma waliofanya na rayvanny ni kuanza kuandaa mashabiki kwa ujio huo mpya ndani ya WCB Wasafi
Ngoma yake mpya iliyokaa number moja trending kwa siku kadhaa youtube akiwa na rayvanny nimekuwekea hapa chini:
Nimependa sana video ya Rayvanny pamoja na audio yake, Rayvanny jamaa ni mbunifu sana. Video yake nimependa sana mwanzo wa video wakati Rayvanny amelala na demu wa Buza, wakati Rayvanny anachungulia kijicho kimoja demu akaamka akaanza kubeba vitu vya Rayvanny ila alipataka kuchukua wallet ya...
Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi.
Amefunguka kwa kusema mwanzo alijua mwenye kosa ni Uongozi wa Wcb Wasafi akawa anawalaumu management...
Mwanamziki wa kimataifa Rayvanny Boy mwenye sauti tamu Kama vanilla au ukipenda unaweza kumwita chui kutoka kwenye moja ya label kubwa Africa WCB, hivi karibuni ameandaa project inayoitwa Flowers ambayo ataitoa kwenye siku maalumu ya Valentine's Day yenye track 8 zikiwa zimekuwa produced na...
Ahlan wasahlan wanajamvi,
Wazima ninyi? Hopefully wote wazima.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Honestly speaking, Rayvanny ndiyo almasi pekee iliyobakia WCB, kivipi?
Twende kazi...
1. Rayvanny ni msanii ambaye ni 'complete package', ana uwezo wa kuandika kuliko wasanii wote...
Kitendo Cha bongo star search kumualika rayvanny
Kama guest judge kimewafurahisha wengi nikiwemo mimi.Pamoja kwamba Rayvanny ni msanii mkubwa na mwenyekufanya vizuri lakini rayvanny ana kipaji kingine Cha uchekeshaji tangu bongo star search watangaze salama hatakuwemo msimu huu upande wa...
Hi ngoma nimeikubali ile mbaya imewakutanisha wasanii wakali na kimetoka kitu kikali. Rayvanny kapiga corus nzuri as usual, Nyandu Tozzy katupia mistari kutu alafu akamaliza mtu mbaya Mr Blue. Ngoma Kali kuanzia audio mpaka video. Big up to them!
Mwanamziki kutoka label ya WCB Rayvanny Boy a.k.a Sauti ya Vanilla na director Kenny kutoka Zoom Production chini ya WCB, wameshinda tuzo ya AFRIMMA AWARD.
Rayvanny amechukua Video Bora of the Year Africa kupitia wimbo wa Tetema ft Diamond na Director Kenny amechukua Director Bora of the Year...
Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki.
Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu.
Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe.
Hivi nyie vijana wa WCB ndio mmeamua kuprove kwamba Harmonize alikuwa mkali namba 2 kama sio namba 1...
Wimbo maalumu kwa wapendanao. Mtag yoyote umpendae hapa. Wa kwangu nita mtag mwishoni kabisa mwa comments zote
I Love You – Rayvanny Lyrics, Letra:
Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
Machozi mizigo vikwazo
Ila yote umenitua
Naomba penzi letu lisife kesho
Ukanipa pressure mawazo
Chonde mama...
Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.