rayvanny

  1. Frumence M Kyauke

    Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny amechapisha ujumbe unaoashiria kuwa anaumwa

    Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny ameacha maswali miongoni mwa shabiki zake kwenye mitandao tofauti ya kijamii. Hii ni baada ya kusema kuwa anateseka kwenye chapisho lake la hivi punde ambalo limesambaa mitandaoni. Kulingana na chapisho hilo ambalo Fayhma alisambaza kupitia akaunti yake ya...
  2. sinza pazuri

    Diamond aendelea kumkimbiza Rayvanny

    Msanii namba moja Tanzania Diamond Platnumz anaendelea kumkimbiza msanii namba mbili Tanzania Rayvanny. Licha ya Diamond kutoachia wimbo hivi karibuni, bado anaendelea kumpa wakati mgumu mpinzani wake halisia kimuziki Rayvanny. Pia tunaona anajitokeza mara zote kwenye charts msanii chipukizi...
  3. sinza pazuri

    Rayvanny anatengeneza direction sahihi ya Bongo Fleva. Wasanii muifate

    Kuna siku niliweka thread nikisema Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi cha sasa, wakatokea watu wakanishambulia sana. Sasa niwaambie movement za sasa za Ray ndio standard tunayopaswa kwenda nayo kama tunataka kutoboa soko la international. Ukisikia EP yake mpya inaitwa New Chui unaona kabisa hii...
  4. M

    Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

    Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye. Kwanini umtolee ada...
  5. sinza pazuri

    Rayvanny + MacVoice = Nyota ya upepo + Nyota ya moto

    Nimetoka kuchungulia kwenye ulimwengu halisia unaoiendesha dunia...nimekuta Rayvanny ana nyota ya upepo.. nafikiri wote mnafahamu nguvu ya upepo ni invisible ila ukipuliza unaweza kupeperusha mpaka milima. Nyota ya upepo ni pumzi, upepo ni safari ukiwa kwenye maji. Nimemtazama msanii wake mpya...
  6. Side Makini Entertainer

    Maeneo matano ulipo ushindani wa Rayvanny na Harmonize

    Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021. Kabla ya kusaini NLM, Mac Voice tayari ameshasikika kwenye Bongofleva kwa kipindi cha nyuma ambapo alikuwa...
  7. Mayunga234

    Hivi Rayvanny ana mpango gani na label yake ya NEXT LEVEL MUSIC (NLM)?

    Ni Mwezi wa 6 Huu Tangu Rayvanny atangaze label yake ila hadi leo hakuna chochote kinachoendelea kwenye hiyo label Juzi kati ametubiga mkwara wa kutambulisha First born wa NLM hadi Leo holla hakuna cha Msanii wala nini Rayvanny hebu fanya Maajabu Uongeze Competition kwenye game la Bongo Flavor...
  8. Mayunga234

    Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

    Now kuna Battle ya hawa Wasanii kati ya Rayvanny VS Marioo. Let discuss here do they deserve to be in Bongo Flavor Battle. Rayvanny Marioo
  9. chizcom

    Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

    Leo nimeshtuka sana baada watu wakimnadi ray vanny kafungua mgahawa wake. Nikasema jambo zuri lakini nikaanza kupata wasi wasi Kwa sababu mtu ambaye anafanya hivi vitu ni mtu ambaye na mfahamu zamani sana tokea milenium tower makumbusho. Hii project alikuwa nayo tokea zamani ikabidi...
  10. sinza pazuri

    Diamond Platnumz na Rayvanny wanawaburuza Wasanii wa Kibongo

    Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani. Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi. Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui...
  11. Francis fares Maro

    Rayvanny nimekunyanyulia mikono

    Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini. Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh...
  12. Slowly

    Kuna kila dalili penzi la Paula na RayVanny litapitia wakati mgumu sana

    Sio rahs Kwa Rayvanny kupitia njia aliyoipitia Diamond , kuna watu kuwa kwenye mahusiano na kuacha kwao sio tatizo , Ila kuna wengine sio kaz rahisi, kuna wengine ukishamhaidi binti utakuwa naye na yeye akawaza hvyo kwako na akakupenda aisee kumwacha sio kazi rahsi na utalipa Gharama kubwa...
  13. Naanto Mushi

    Rayvanny angalia muziki wako usife maskini. Mwenzako Harmonize ana lebo tayari

    Nataka kumkumbusha Rayvanny asi concentrate sana na Papuchi akasahau mziki wake, akumbuke yeye bado ni muajiriwa wa label ya wasafi, asipofanya kazi hali... Sasa yeye aendelee kutangatanga na huyo mtoto wa kike asahau kwenda studio kufanya kazi. Mwenzake Harmonise ile label yake ana uhakika wa...
  14. happyxxx

    Asilimia 99 ya wanaomshambulia Paula wamejaa unafiki, chuki na wivu

    Watanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka. Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini, magonjwa na ujinga. Kwa sasa adui yetu mkubwa ni 1. Wivu 2. Chuki 3. Unafki Ukikaa chini ukatafakari kinachowafanya watu wapige kelele za Paula na maisha yake ni hao maadui wapya watatu. Maana hakuna kipya...
  15. M

    Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

    Katika mahojiano ya leo Meneja wa Diamond amedai Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola bilioni 230 za Kimarekani, na kwamba Rayvanny ni tajiri na anaongoza. Pesa hizo alizotaja Meneja SK ni nusu ya pesa za makenikia, ni pesa nyingi sana, sasa sijui ni kweli au kiki msikilize.
  16. sinza pazuri

    Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

    Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi. Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde. Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
  17. Slowly

    Rayvanny ana kipaji konki, hajaniangusha

    Kila siku huwa nasema Vannyboy ana kipaji konki sana kwa nyimbo za kubembeleza , na hivyo kwenye hiyo angle inabidi asimamie ukucha kweli kweli, Hana mpinzan right now, Ngoma kama KELEBE inabd awe anatupa kama bonus track ... Goma la KISS akiwa na Bahati Kenya kaua Sana , respect to director...
  18. Kigoma Independent

    Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

    Habari Wana Jf. Hili alilolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days Harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na usiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi. Kiukweli Kama Harmonize ni mkubwa angekuwa na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI. Pia lingine...
  19. Slowly

    Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

    Wakati sintofahamu ya uanafunzi wa mtoto mzur Paula bado ikiwa imepamba Moto , nyota wa Bongo Fleva anayeikamatilia YouTube. Kwa sasa Rayvanny mnyakyusa kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost mpenzi wake huyo wakila bata maeneo ya watu wazito ....
  20. Slowly

    Paula wa Kajala athibitisha yupo kwenye penzi zito na Rayvanny mtu mbaya

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto mzuri , mwenye umbo matata na mwenye asili ya kimamtoni Paula wa Kajala amethibitisha kuwa sasa yupo kwenye penzi zito na nyota wa bongo fleva ambaye pia ni mmiliki wa label ya Next level music anayetamba na kibao chake cha KELEBE alicho mshirikisha...
Back
Top Bottom