Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti.
Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake na risasi zikaishia miguuni huu ni muujiza
Muujiza wa pili ni Beki 3 Kuendesha Gari kwa Kasi ya...