GE2025 Gwajima: Lissu amepona Risasi 16, Sasa yupo Gerezani, Je, watu wake watapiga Kura?

GE2025 Gwajima: Lissu amepona Risasi 16, Sasa yupo Gerezani, Je, watu wake watapiga Kura?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
 
Swali zito na gumu sana, ila CCM ITASHINDA KWA NAMNA YOYOTE🤣🤣
 
mi nadhan si muhimi hata kidogo kubabaika au kuwabembeleza wasusa Uchaguzi wa miaka yote🐒
 
Leo Gwajima anawasemea chadema na chadema wanachekelea tu🤣🤣 🤣
Ndo maana wanaitwa manyumbu
 
Kwan kipind lissu kapigwa risas 16 ye gwaj s alikua bungen alihoji why!!!au anataka kusema nn!! Na hii nchi sio ya mapadri Tz ilifaa ipate kichaa km kagame coz wao rwanda wanajua uchungu wa mapdre walicholeta rwanda
 
Kwa taharuki iliyoibuka baada ya tajiri wa GSM kutangaza kwenye ile harambee ya mchongo kuwa Yanga imetoa mchango, ni dhahiri kuwa wananchi kwa ujumla wake wameichoka CCM na matendo yake bila kujali itikadi ya vyama.

Kwamba CCM watashinda au laa, hilo ni lao na inec yao.
 
Wahamie simba halafu wasiopge kura baaasi
 
Leo Gwajima anawasemea chadema na chadema wanachekelea tu🤣🤣 🤣
Ndo maana wanaitwa manyumbu
Manyumbu ni yale ambayo mwenyekiti anajiteua kuwa mgombea halafu yenyewe yanapiga makofi na kisha baadae yanakuja kulalamika nje ya vikao.
 
Manyumbu kazi yao kusubri watu wa CCM kuona wanaongea nn yapo tu hayajishighulishi kutafuta Habari mpaka Gwajima au Mpina au polepole aongee
 
Back
Top Bottom