Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Lissu adai kuzuiwa kuvaa T-shirt iliyoandikwa “LISSU — SIXTEEN BULLETS SURVIVOR.” akiingia mahakani
 
Ikitokea Lissu amekufa kwa dhuluma hizi

Amini usiamini, wapo watu wengi mno ambao watamfuata, watakuwa wakifa pasina hata sababu yoyote!

Masisiem, endeleeni na dhuruma zenu, Mwenyezi Mungu atawashughurikia hamtaamini
 
Back
Top Bottom