Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16..
IMG-20260907-WA0009.jpg

IMG-20260907-WA0012.jpg

Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya UHAINI.
FB_IMG_1784726000849.jpg


Pia soma: DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
 
Imetimia miaka 9 leo tangu TUNDU ANTIPASS MUGWAI LISSU achakazwe na risasi pale Dodoma ndani ya majengo ya viongozi wa bunge yenye ulinzi masaa 24.

Leo yupo mahakamani kutetea uhai wake kwa mara ya pili kwa kesi ya kubumba,hana historia ya kushindwa,atashinda na atawanyosha,alichagua kuisha dhumuni lake.
 
We nae, Tupo msibani wenzio. Ngoja msiba uishe kwanza, Maombi ya watanzania ni makali kweri kweri
 
Imetimia miaka 9 leo tangu TUNDU ANTIPASS MUGWAI LISSU achakazwe na risasi pale Dodoma ndani ya majengo ya viongozi wa bunge yenye ulinzi masaa 24.

Leo yupo mahakamani kutetea uhai wake kwa mara ya pili kwa kesi ya kubumba,hana historia ya kushindwa,atashinda na atawanyosha,alichagua kuisha dhumuni lake.
Mkuu angalia kumbukumbu zako vizuri, nakumbuka tukio la Lissu ni September 17.
 
Back
Top Bottom