Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Anaruhusiwa kuolewa tena?
Asante sana, pole kwa taifa kwa ujumlaPoleni sana
Naam, kama akitakaAnaruhusiwa kuolewa tena?
Duhh hatari!Naam, kama akitaka
Moja ya tukio la kikatili kufanywa na utawala JPM ni hili la kutaka kuondoa uhai wa Lissu iliniuma sana
Wale waliomshambulia mpaka kesho hawajulikani..Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16..
Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya UHAINI.
Pia soma: DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
Tuma picha kidgo tuone palivyo pazuriTupo msibani hapa kizimkazi muda huu
magu alishatembea yuko kuzimu. Yule askari aliyefyatua risasi ni chizi anakunya na kuyala ...Tundu Lissu ana roho ya paka. Waliohusika kwenye lile tukio, usikute wengine wameshatangulia mbele ya haki! Huku yeye akiendelea kupambania haki.
Wasga tv mkuu, taarifa ya habari ni.saa 2 kamili usikuTuma picha kidgo tuone palivyo pazuri