Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Mwanajeshi mmoja nchini Thailand amewashambulia kwa kuwafyatulia risasi watu kadhaa na kuua idadi "kubwa" ya watu.
Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakhon Ratchasima pia ukijulikana kama Korat kaskazini mashariki mwa jiji la Bangkok.
Msemaji wa wizara ya ulinzi nchini humo amesema kuwa...
Nilikosa kosa risasi kisa mke wa mtu. Namkumbuka na picha yake ninazo.
Sasa kuna mtandao mmoja unaitwa mygamma.com nilipata msichana mmoja anaitwa Riziki, nikamdanganya nasoma IFM Kumbe nilikuwa form six shule moja maarufu hapo Tanzania.
Tukawa marafiki sasa akaanza kuuliza kwamba we ni kabila...
YADHIHIRIKA MURO ANATEMBEA NA KIFO MKONONI, ALAZIMIKA KUISHI MAFICHONI
Yule Daktari aliyepigwa risasi iliyomkosa mtangazaji wa habari za uchunguzi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC1) Jerry Muro, Dk. Paul Andrew ametoboa siri kwa kusema kuwa kitendo chake cha kujeruhiwa mguuni kwa risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.