Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya msafara wao wa magari kuvamiwa na waasi mjini Juba. Kiongozi huyo hakuwa katika msafara huo wakati shambulio hilo lilipotokea.
Msemaji wa Kiongozi huyo, Kalisto...
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017.
Akihutubia umati wa wananchi...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imewaachia huru washtakiwa 11 waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kuua kwa kukusudia askari wawili wa Jeshi la Polisi na kukata sehemu za siri za mmoja wa askari hao katika mapigano yaliyotokea wakati wa kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la Hifadhi ya Ranchi za Taifa...
Muda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe.
Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu...
Kama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na wanaompa vyeo.
Tulipata janga kama taifa baada ya kuongozwa na Mh Rais Magufuli ambaye aliokota...
Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa...
Tumeshawasoma kuwa mmempitisha Tundu Lissu agombee ili mpate huruma toka kwa wananchi kwa tukio baya ambalo lilimpata baada ya kushambuliwa na genge la magaidi wanaotumiwa na CHADEMA na hii ni kwa mujibu wa Godwin Mollel Naibu Waziri Wa Afya.
Tuachane na hayo ya kushambuliwa,tujikite kwenye...
Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi.
Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka 12. Walipitia maisha magumu na familia yake na ni msimu ambao hata baba yake aliitelekeza familia...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Tundu Lissu ni mzalendo wa Tanzania, ambaye takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya wananchi ambao Polisi wameendelea kutuaminisha watanzania kama ni "watu wasiojulikana" walihusika na tukio baya kabisa lililofanywa na watu hao la kutaka kumwua Tundu Lissu, kwa kumminia risasi mfululizo kwenye...
Majina ya vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yametangazwa.
Kutangazwa kwa majina haya kumezirudisha nyuma kumbu kumbu zangu yapata miaka miwili sasa.
Tulikuwa Range(Mazoezi ya ulengaji shabaha).Taratibu zote zilizingatiwa kwa umakini wa hali ya juu sana lakin ilipofika zamu yetu...
Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe.
Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari.
=====
Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
Nchi ipo salama Tundu Lissu anapigwa risasi saa 7 mchana au usalama ni kwa watanzania wapi?
Nchi ipo salama Akwilina anapigwa risasi mchana? Nchi ipo salama Lwejabe.
Azory, Ben Saanane wanatoweka mchana? huu usalama ni kwa wakina nani?
Nchi ipo salama Nape ananyoshewa bastola mchana?
Nchi...
Mkurugenzi wa halimashauri ya wilaya ya Itigi, Pius Luhende(54) na washitakiwa wengine 6 wamefikishwa katika mahakama ya haikmu mkazi mkoani Singida leo kwa tuhuma za kumuua Isaka Petro februari 2, 2019 katika kijiji cha kazikazi. Upelelezi wa kesi haujakamilika.
Kitendo cha mkurugenzi huyo...
Haki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGH
Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake.
Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha...
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mbunge wa Kishapu (CCM) Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kukutwa na silaha 16, risasi 536 pamoja na nyara za Serikali
==
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman...
Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupi huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani...
Wajuzi wa mambo swali langu lipo wazi sana. Je, risasi za bunduki ndogo au kubwa kama bastola, shotgun, rifle, SAR, SMG, AK 47 na zote nyinginezo uwa zina expiry date kiasi kwamba kama umezitunza na zisipotumika ndani ya muda huo mfano miaka 10 au 20 zinaweza kulipuka na kuleta majanga ndani ya...
Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma, wametupiana maneno na kutishana kuuana kwa Risasi, Wafuasi hao ni Mkiti wa CCM Wilaya ya Bunda Justine Lukaka ambae ni mbeba mikoba ya Muhindi huyo na amenukuliwa kila mara akisema "anae Mgombea wake kichwani mwenye ngozi nyeupe"...
Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, Salum Othuman (44) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili, akiwemo mpenzi wake Happiness Israel (32).
Anadaiwa kumpiga risasi ya mguuni mpenzi wake baada ya kutokea ugomvi wakati wakiwa chumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.