risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Mjue Mtu aliyekaa na risasi kichwani muda mrefu zaidi

    William Lawlis Pace aliyezaliwa Februari 27, 1909 alipigwa risasi kwa bahati mbaya Oktoba 1917, akiwa na umri wa miaka 8. Risasi hiyo ilipelekea apoteze uwezo wa kusikia kwa sikio la kushoto, na uwezo wa kuona kwa jicho lake la kulia. Mbali na ulemavu huo aliishi kawaida, alifariki Aprili 23...
  2. Webabu

    Hizi ndizo akili za kiafrika katika kujitawala.Wauwana kwa risasi na njaa.

    Mambo yanayotekea kwenye nchi kubwa na yenye wasomi wengi kama Nigeria usingetaraji kuyasikia kama nchi hiyo isingekuwa Afrika. Watu wamelalamikia tu kuuliwa na kuteswa na kikosi maalum kinachoitwa SARS basi ndio wameuliwa zaidi kuliko mwanzo.Nguvu zilizotumika kupambana na raia hazijawahi...
  3. D

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
  4. Replica

    Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma ======= Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi watatu wameuawa kwa silaha za moto na Jeshi la Polisi kuelekea mwanzo wa upigaji kura siku ya kesho...
  5. Superbug

    Mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu; nataka kumpiga risasi

    Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much. Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata...
  6. Pascal Mayalla

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika? Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...
  7. Richard

    CCM ikishinda uchaguzi Serikali yake ifafanue kipengele kwa kipengele suala la Tundu Lissu kupigwa risasi

    https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/ Kama tunavyofahamu tarehe ya uchaguzi 28/10/2020 ndio siku ya kuchambua kati ya mchele na pumba. Hiyo siku ya uchaguzi itakuwa ni siku ya jumatano ambayo kikalenda ni siku nzuri sana kwa wale wapenda nyota. Pia kwa zile sherehe za wenzetu...
  8. Q

    Mzee atoa machozi baada ya kumuona Lissu aliyepigwa risasi 16 akiwa hai

    Leo Singida.
  9. J

    Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

    Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu. Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu. Na wengine wanaweza kumpigia...
  10. Mbepo yamba

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  11. GENTAMYCINE

    Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

    "Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira. globalpublishers Nyie Watoto wa...
  12. MK254

    Watano wahukumiwa na kupigwa risasi kwa kumkosoa kiongozi wa Korea Kaskazini, kule huwa sharti kila mmoja aimbe mapambio ya misifa

    Hii ilikua baada ya kuskika wakipiga stori za kijiweni huku wakikosoa baadhi ya sera za sasa na kushauri mabadaliko kwenye viwanda, hawakujua mashushushu walikua wanawasikliza, baadaye walikamatwa na kuhukumiwa kifo na familia zao zikakamatwa na kufungiwa kwenye kambi za kijeshi. Kim huwa...
  13. The Sheriff

    UTAFITI: Mgodi Petra washutumiwa kupiga watu risasi na kuua, kuendesha kituo cha utesaji mgodini na kuwafunga pingu wagonjwa hospitali ya Mwadui

    Taarifa ya RAID, shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake nchini Uingereza ambalo linajishughulisha na kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu, limebaini kutendeka kwa vitendo vya kidhalimu katika Mgodi wa Petra Diamonds uliopo Shinyanga Kwa mujibu wa taarifa yake, shirika hilo limefanya...
  14. Sam Gidori

    Marekani: Polisi wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili

    Polisi katika mji wa Salt Lake City katika jimbo la magharibi mwa Marekani la Utah wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili baada ya mama yake kupiga simu polisi kuomba msaada. Hatua hiyo ya polisi imechochea ghadhabu kutokana na kuwa mwendelezo wa matukio...
  15. Infantry Soldier

    Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

    Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad ) Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa. Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha...
  16. M

    Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lissu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi cha wasiojulikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema? Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani...
  17. BAK

    Milwaukee Bucks watelekeza mchezo wa 5 NBA playoffs dhidi ya Magic kutokana na Jacob Blake kupigwa risasi na polisi

    The NBA and its players and coaches have taken myriad measures to make clear their support for the Black Lives Matter movement while standing against all racial injustice and police brutality, but in the wake of an unarmed Black man named Jacob Blake being shot seven times in the back in...
  18. MJENGA

    Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  19. Infantry Soldier

    Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A

    Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  20. M

    Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao. Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya...
Back
Top Bottom