Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo.
Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital.
Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa.
Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye...
Hasira zaenea baada ya polisi Marekani kumuua mwanamichezo wa Afrika Kusini.
Kifo cha mchezaji wa mpira wa rugby wa Afrika Kusini, Lindani Myeni akiwa mikononi mwa polisi huko Honolulu, Marekani, kimeibua ghadhabu na hasira kali miongoni mwa watu wa Waafrika Kusini.
Kumefanyika maandamano ya...
Polisi wa kituo cha Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wanadaiwa kumpiga risasi raia aliyetambuliwa kwa jina la Yohana Nasieli kwa kile kilichoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi kati ya mke wa marehemu na askari polisi.
Habari kutoka kwa ndugu na majirani wa marehemu zilisema kuwa tukio hilo limetokea...
Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza.
Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi.
Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
Hii ni habari mbaya sana maana ni ngumu kuiamini.
----
Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Ilala linamshikilia Juma Shamata kwa kushindwa kuhifadhi eneo salama bastola yake, hali iliyosababisha mtoto wake wa miaka 17 kuitumia kwa kumpiga risasi mtoto mwenzie Ikhissan Abdilahi (10) na kumsababishia...
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28).
Chanzo Bongo five
Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema.
Shambulio hilo huko Boulder lilitamatika wakati mtuhumiwa aliyejeruhiwa, aliyekuwa bila shati alipoondolewa kutoka...
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.
Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani...
Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari.
Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
Wakuu,
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa mnajidanganya kuwa kuwa makosa yenu ya kumpiga risasi bila hatia Lissu,watu watayasahau ukweli ni kuwa hayatasahaulika.
Huu utawala unaowalinda utapita na kosa la jinai halina mwisho. Hivyo huko mlipo mjitafakari,je huu utawala ukiondoka na akaja mtawala...
Takriban watu 38 wameuawa baada ya Vikosi vya Ulinzi na Usalama kuwafyatulia risasi Waaandamaji wanaopinga Utawala wa Kijeshi katika Miji kadhaa. Imeelezwa, watu hao walikuwa wanafanya Maandamano ya Amani
Imetajwa kuwa siku mbaya zaidi tangu Jeshi kuchukua madaraka. Umoja wa Mataifa (UN)...
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuhusu Banana Republic ya Bongo, ambayo imejaa baadhi ya watu wabinafsi na wenye kujipendekeza mpaka wanatia kinyaa na kuwa tayari kutetea kila jambo linalofanywa na huyo wanaemuona kwao ni kama Mungu Mtu kisa tu ana nafasi ya kuweza kuwafanya waishi vizuri japo ni kwa...
Mwaka 1994 mwanasiasa machachari huko nchini Kenya Dr Fredrick Masinde alipata ajali mbaya sana ambayo ilisababisha kifo chake. Ajali ambayo baadae ilikuja kujulikana kuwa ilitengenezwa na kisha yeye kuja kuwekewa kitambaa chenye sumu ili afe kwa kuvuta hewa ya sumu na huku wananchi wakiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa siku 6 kwa Wafugaji Wilayani Mbarali kuondoa Mifugo katika Hifadhi ya Bonde la Ihefu na Ruaha kabla hawajachukuliwa hatua kali
Amesisitiza "Nimetoa siku sita na nawaonya kwa Mfugaji yeyote atakayekaidi agizo hilo na kuleta mapigano katika uondoaji...
Tembo mmoja huko Zimbabwe ameacha watu midomo wazi baada ya kutafuta madaktari wa wanyama pori wamtibu kufuatia jeraha alilopata kichwani kwa kupigwa risasi na majangili.
Majangili walimpiga risasi tembo huyo wakitaka kumuua ili wang'oe meno yake wakauze. Lakini tembo huyo alinusurika na...
Chonde chonde kamati kuu ya CHADEMA, huu mtego utegueni kwa hekima.
Kuwafukuza wanawake 19, au 20, ambao Ndio Wanawake imara na wenye nguvu zaidi nchini kwa sasa, siyo tu kujipiga risasi mguuni, ni kumpa adui nafasi ya kujilinda na kukushambulia.
Sisiemu wana pandikiza mapandikizi kila leo...
Huu sasa ndio muelekeo kwenye Taifa moja katika Bara fulani ambako kuna chama fulani cha siasa sasa kimebaki chama siasa jina tu, ila kiuhalisia chama hicho kimegeuka kikundi cha watu wachache kilichokamata serikali (dola) katika nchi hiyo, na kinaweza fanya lolote pasipo hofu utadhani nchi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.