risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jingalao

    Upo uwezekano kuwa Lissu alipigwa risasi na wahuni ili Magufuli achafuke

    Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli. Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
  2. mludego

    Kufuli linaweza kufunguka kwa kupigwa risasi?

    Mara kadhaa nimekua ama kutizama nikiona kwenye moves mbalimbali mtu hufyatua trigger ya bunduki kisha risasi hutoka na kuligonga kufuri kisha kufunguka. Swali ni je, kweli inawezekana na pia hiyo risasi hawezi kukurudia baada ya kuligonga kufuri? Rejea mfano mdogo wa minati pindi uwekapo jiwe...
  3. At Calvary

    Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Hi guys. Hope mnado poa. Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2. Hii ni nyepesi nyepesi. At Calvary. ==== Taarifa kwa Vyombo vya Habari. Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine...
  4. Idugunde

    Lindi: Askari afutwa kazi na Jeshi la Polisi kwa kumpiga risasi mwenzake wakiwa lindo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi, limemfuta kazi askari No.H.2324 PC Joseph kwa kosa la kumpiga risasi askari mwenzake No J.1752 PC Onesmo Joseph wakiwa lindo katika Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa kilichosababisha kifo chake akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kauli hiyo...
  5. S

    Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

    Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake! Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na...
  6. Ferruccio Lamborghini

    Tory Lanes ategemee Mvua ya miaka 23 Jela kwa kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

    Mwanamuziki Tory Lanez pengine akatupwa jela kwa muda usiopungua miaka 23 ikiwa atakutwa na hatia juu ya kesi inayomkabili ya kumpiga risasi rapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Jovon Ruth maarufu Megan Thee Stallion. Kwa sasa ni takribani mwaka mmoja, tangu mwanamuziki Tory Lanez...
  7. Chachu Ombara

    Mmiliki wa silaha kinyume na sheria kutoshtakiwa ikiwa atasalimisha silaha yake

    Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL FIREARM OWNERS The Government of Tanzania has granted amnesty for illegal firearm owners to surrender...
  8. Dodoma Demand

    Kila saa pale Merekani mtoto hufa kwa jeraha la risasi By Chriss Brown

    "Every to hours America Today child dies of gunshot wound!? "Is scared they what family planning to work or behavior" Tuendelee kuchezea Label ya "tanzania mpya" na "tanzania ni nchi ya amani"
  9. S

    Baada ya Sabaya, waliompiga risasi Lissu wajue na wao iko siku wataenda jela

    Moja ya funzo kubwa tunalopata kutokana na hukumu ya Sabaya ni kuwa, hata ukitumika na wakubwa ,ipo siku hawatakuwapo na hata wakiwepo, wanaweza wasiwe na msaada kwako hivyo yatakukuta tu kama yalivyomkuta Sabaya leo hii. Mliomshambulia Lissu kwa risasi mkoani Dodoma,, mjue siku yenu ipo na...
  10. beth

    Urusi: Wanafunzi washambuliwa kwa risasi chuoni

    Ripoti za awali zinasema angalau watu nane wameuawa baada ya Mtu mwenye silaha kufyatua risasi katika Chuo kilichopo Mji wa Perm. Baadhi ya Wanafunzi na Walimu walionekana kujificha, huku wengine wakiruka madirishani. Bado haipo wazi watu wangapi wamejeruhiwa. Polisi wanasema Mshambuliaji ni...
  11. M

    Revocat Karemangingo aliyekuwa luteni wa Jeshi Rwanda apigwa risasi na kuuawa Maputo Msumbiji

    Revocat Karemangingo luteni wa Jeshi la Rwanda aliyepinduliwa 1994 na majeshi ya Kagame aliuawa juzi kwa kuvamiwa kwenye gari lake akiendesha kurudi nyumbani kwake kwa kupigwa risasi 9. Alikuwa uhamishoni kama mkimbizi Maputo msumbiji.. Alikuwa Mfanyabiashara na muweka hazina katika chama cha...
  12. mugah di matheo

    Nkasi, Rukwa: Takribani Risasi 1500 zakamatwa baada ya wavuvi kuzivua Ziwa Tanganika

    Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa Peter Lijualikali amekamata risasi zaidi ya 1500 ambazo zimevuliwa na wavuvi wa kijiji Cha korongwe kata ya korongwe wilayani humo. Lijualikali amesema tayari kamati ya ulinzi na usalama inafanyia kazi swala hilo ili kutambua nani aliziweka risasi hizo katika...
  13. beth

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  14. BestOfMyKind

    Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  15. issenye

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  16. S

    Nimehesabu, Polisi walimpiga Hamza risasi 19 baada ya kuwa ameanguka chini na sio tishio tena kwa usalama

    Nimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea. Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu...
  17. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  18. J

    Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

    Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho. Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
  19. Dogo GSM

    Jamaa alilenga kufanya mashambulizi ubalozini na si vinginevyo

    Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake. Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa...
  20. Narumu kwetu

    Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

    Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
Back
Top Bottom