risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

    Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema...
  2. JanguKamaJangu

    Mwandishi wa habari auawa kwa risasi akiwa anatoka nyumbani kwake, binti yake ajeruhiwa

    Mwandishi wa habari, Antonio de la Cruz (47) ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nje ya nyumba yake huku binti yake akijeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo Mjini Ciudad Victoria Nchini Mexico. Marehemu alikuwa akiripoti katika Gazeti la Expreso kwa zaidi ya miaka 20, anakuwa mwandishi wa 12...
  3. K

    US: Mtoto wa miaka miwili amuua baba yake kwa kumtwanga risasi

    Inaweza kuonekana kama utani lakini hii imetokea juzi tu mtoto wa miaka miwili alimuua baba yake kwa kumfyatulia risasi kwa bahati mbaya Kuna madai kuwa baba na mama wa mtoto huyo walikuwa wametoka gerezani kwa parore siku si nyingi kwa kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya hali inayoshangaza...
  4. figganigga

    Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Salaam Wakuu, Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi. Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii. MY TAKE: Damu ya Mtu haiendi bure. Pia soma: Wamasai Ngorongoro...
  5. beth

    Marekani: Wanne wauawa katika shambulio la risasi

    Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
  6. Donnie Charlie

    Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
  7. B

    Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Habari za ndani kabisa zinasema: 1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa 2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa...
  8. K

    Haya ya Jamaa kumpiga mke wake risasi omba Mungu yasikukute

    Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya saana kumpiga mke wake risasi. Kwangu Mimi nasema Sawa amefanya vibaya ila omba Mungu yasikukute. Sisi...
  9. T

    Risasi zinarindima Kigamboni darajani

    Sijui nini kimetokea Tumeinama muda huu
  10. L

    Mkuu wa UNICEF ataka kuchukuliwa hatua za kuwalinda watoto baada ya shambulio la risasi katika shule ya Texas Marekani

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule. Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
  11. B

    Nigeria: Vita vya ufisadi, risasi zafyatuliwa kumtia nguvuni Senator

    EFCC WHISKS AWAY PRESIDENTIAL ASPIRANT OKOROCHA - ARISE NEWS REPORT Maofisa wa Kikosi cha Kupambana na rushwa nchini Nigeria ilibidi wafyatue risasi angani walipokuwa,wamezingira jumba la makaazi ya mwanasiasa anayetuhumiwa kufisadi fedha za umma N2.9 billion. Hali hiyo ilitokea baada ya...
  12. mwanamwana

    Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

    Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia. Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
  13. BigTall

    Nigeria: Watu 50 wauawa kwa mashambulizi ya risasi

    Inadaiwa kuwa 50 wameuawa kwa mashambulizi yaliyotokea Mei 22, 2022 katika Mji wa Rann kwenye Jimbo la Borno Nchini Nigeria katika eneo la karibu na mpaka wa Cameroon. Tangu mwaka 2009 Jimbo la Borno limekuwa likikabiliwa na mashambulizi ya vikundi ikiwemo Boko Haram. Mamilioni ya watu wamehama...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Ofa ya masaa 48 ya kitabu cha mlio wa risasi harusini

    Kwema! Wadau wangu na wapenzi wa kusoma Riwaya, nimetoa Ofa ya Softcopy ya kitabu cha MLIO WA RISASI HARUSINI Kwa Tsh 3500/= PFA hii itadumu Kwa masaa 48 tuu, mpaka jumanne saa sita za usiku. Namba ya muamala 0693322300 Airtelmoney Robert Heriel 0758216209 M-PESA Robert Heriel
  15. Komeo Lachuma

    Serikali na Jeshi la Polisi kuweni Makini na Mnaponunua Risasi zenu. Hatari ipo kwetu

    Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda kumfuata mtu aliye chini. Kuna haja Serikali iangalie hizi zinatengenezwa wapi. Isije ikawa ni za Kichina...
  16. Joseverest

    Mwanamke ajeruhiwa kwa risasi za polisi maeneo ya Sinza Dar es salaam

    Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022 Kwa maelezo ya...
  17. Roving Journalist

    Video yaonesha kabla ya kifo cha mwandishi wa habari Abu Akleh hakukuwa na majibizano ya risasi

    Video mpya imesambaa ikionesha hakukuwa na mashambuliano yoyoye wakati mwandishi wa habari Abu Akleh anauawa kwa risasi, kama ilivyoelezwa awali kuwa aliuawa wakati wa mashambulizi baina ya pande mbili Video hiyo inamuonesha mwanahabari huyo wa Al Jazeera akiwa katika hali ya utulivu na wenzake...
  18. John Haramba

    Marekani: Aliyeua Watu Weusi 10 kwa risasi alipanga kuendelea za tukio kama hilo sehemu nyingine pia

    Kijana Payton Gendron, 18, ambaye aliwaua watu 13 kwa kuwafyatulia risasi, 10 kati yao wakiwa wenye rangi nyeusi inaelezwa alipanga kufanya mauaji zaidi kama angetoroka eneo la tukio Jijini New York, Marekani. Kamishna wa Polisi, Joseph Gramaglia amesema: “Alitaka kwenda kwenye gari alekee...
  19. FaizaFoxy

    TANZIA Mtanzania auliwa kwa kupigwa risasi Marekani, anaitwa RODGERS KYARUZI, alipata maluweluwe

    Poleni sana wafiwa, Poleni sana Watanzania popote mlipo, Poleni sana Tanzania Diaspora wa USA. sote tunyayue sauti kulaani kitendo hiki. USA wanajulikana kwa ubaguzi wao kwa watu weusi, huyu Mtanzania mwenzetu na yeye yamemkumba? Au kauliwa na mweusi mwenzake? The Georgia Bureau of...
  20. Bushmamy

    Kijana mwenye asili ya Tanzania aliyejiua kwa kujipiga risasi Marekani azikwa kijeshi

    Kijana mwenye asili ya Kitanzania ambae alikuwa mwanajeshi huko Marekani ambae alijipiga risasi risasi wiki iliyopita na kufa hapo hapo amezikwa kwa heshima za kijeshi huko Los Angeles nchini Marekani. Kijana huyo ameacha mke ambae walioana miaka mitatu iliyopita. Hata hivyo haijajulikana...
Back
Top Bottom