risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Mtoto wa miaka sita ampiga risasi mwalim wake

    Tukio hili limetokea huko USA ambako mtoto na mwalimu walishindwa kuelewana na ndipo dogo akamshona teacher risasi. Bwana mdogo ni mwanafunzi wa darasa la kwanza na hali ya teacher ambaye ana umri wa miaka 30 siyo nzuri yuko chini ya uangalizi wa madaktari. Shule husika imefungwa kwa muda...
  2. S

    Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 42 katika Jimbo la Utah nchini Marekani amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua mwenyewe, baada ya mkewe kudai talaka. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji za Uingereza (BBC), polisi katika jimbo hilo wamesema familia ya watu wanane ilipatikana...
  3. JanguKamaJangu

    Nigeria: Askari atuhumiwa kumuua raia mwenye ujauzito kwa kumpiga risasi

    Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos Askari anaitwa Drambi Vandi huku marehemu amefahamika kwa jina la Bolanle Raheem aliyekuwa na...
  4. BARD AI

    Tory Lanez akutwa na hatia ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion, anakabiliwa na kifungo cha miaka 20

    Rapa Tory Lanez mwenye asili ya Canada amekutwa na makosa 3 ya Kushambulia kwa kutumia Silaha aina ya Bastola, Kubeba Bastola yenye Risasi ikiwa ambayo haina usajili na Kufyatua Bastola hiyo kwa uzembe. Kwa mujibu wa Sheria za Marekani, makosa hayo yanamuweka hatarini kufungwa miaka isiyopungua...
  5. peno hasegawa

    Shinyanga: Afariki kwa kupigwa risasi na wanaodaiwa kuwa majambazi

    Richard Nzumbe mkazi wa mtaa wa Butengwa Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia akidaiwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakati anaingia nyumbani kwake. Tukio hilo limetokea majira ya saa 1 usiku wakati akitoka kazini kwake alipofika nyumbani kwake ndipo alishambuliwa na watu...
  6. JanguKamaJangu

    Iraq: Askari Polisi 9 wauawa kwa bomu na shambulizi la risasi

    Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika. Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha wakashambuliwa kwa risasi, askari wengine wawili wakijeruhiwa. Inakadiriwa kikundi hicho kina...
  7. JanguKamaJangu

    Italia: Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

    Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya. Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
  8. R

    Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

    Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao. Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF...
  9. BARD AI

    Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

    Mlinzi wa kampuni ya Suma JKT, Osea Kashiririka (21) amefariki dunia baada ya kujipiga risasi sehemu ya shingo kwa kutumia bunduki. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Issango amesema tukio hilo limetokea leo Jumatatu Novemba 28 majira ya saa 5:30 asubuhi maeneo ya Benki ya Azania jengo...
  10. M

    Auawa kwa risasi akiokota kuni shambani

    Inasikitisha sana. Labda ndio maana tunatakiwa kupata Gas za kupikia hadi vijijini ====== Kamanda Mwaibambe alimtaja marehemu aliyepigwa risasi wakati akiokota kuni ni Athumani Ramadhani ambaye baada ya kupigwa risasi ya kifuani alifariki dunia papo hapo. "Kwa kweli hili ni tukio la...
  11. DALA

    Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  12. BARD AI

    Aishi na risasi 3 mwilini kwa miaka 11 baada Muhimbili na Bugando kutomfanyia upasuaji

    Julai 6 mwaka 2011 ni siku ambayo hatoisahaulika kwa Kulwa Makasi (32) baada ya kupigwa risasi tatu, moja kichwani, mgongoni na kwenye paja la kulia anazoishi nazo kwa miaka 11 sasa. Mkazi huyo wa Shibula jijini Mwanza kwa sasa anatembea kwa kiti maalum kutokana na ulemavu alioupata baada ya...
  13. MK254

    15 wauawa kwa risasi Iran

    Hii yote wanampigania 'mungu' na uislamu... At least 15 people have been killed and 10 others injured in an attack at the Shah Cheragh mausoleum in the Iranian city of Shiraz, state media report. Three armed men entered the shrine at 17:45 (14:15 GMT) and opened fire at pilgrims, the Irna news...
  14. dudus

    Video: Polisi wa Ukraine wapiga chini drone ya Iran kwa risasi

    Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita. Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati...
  15. MK254

    Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
  16. S

    Kwa tuhuma za Kabendera, ni wazi kuwa waliomtolea Nape bastola na kumpiga risasi Lisu walitumwa

    Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji. Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki. Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera...
  17. BARD AI

    Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  18. MK254

    Iran: Mmoja auawa kwa askari kummiminia risasi kwa kapiga honi kuunga maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

    Jameni serikali ya Iran inatumia nguvu nyingi sana kumpigania huyu 'Mungu' wao, inawaua raia wake kama nzige. Wasichokijua, kadiri wanavyowaua watu ndivyo wanazidi kupandisha mzuka nchi yote. ======== Two were killed in Sanandaj, including a man shot in his car after he sounded his horn in...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Hii ndio Afrika: Auawa kwenye jaribio la kuzuia risasi kwa hirizi

    Mvulana wa miaka 12, auawa kwa kupigwa risasi na kaka yake nchini Nigeria, katika jaribio la 'kuzuia risasi' kwa kuvaa hirizi mpya. Kwa mujibu wa polisi katika jimbo la Kwara, ndugu hao waliamini kuwa wamejiimarisha kwa kuvaa hirizi ya ulinzi, ndipo kaka mtu akampiga risasi mdogo wake kwa...
  20. JanguKamaJangu

    Kigogo CHADEMA awalipua Polisi, ni kuhusu tuhuma za kuua

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Jumanne Septemba 27, 2022.
Back
Top Bottom