Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi...
=========
A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said.
A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a...
Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina!
Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao.
Sasa hivi kuna majanga makuu matatu,
Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
Wanajeshi watatu wanadaiwa kuwashambulia Wananchi na kuua Wanawake wawili wasiokuwa na silaha katika Kijiji cha Andeck.
Wanaharakati wa kutetea Haki za Binadamu wanalaumu Jeshi la Cameroon kwa tukio hilo walilofanya wakati wakiwasaka washukiwa wanaoupinga utawala wa Serikali iliyopo madarakani...
Watu watatu wameuawa na polisi wakidaiwa kuwa ni majambazi.
Akizungumzia tukio hilo jana ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao wameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kujaribu kuwatoroka askari usiku wa kuamkia jana.
Alidai kuwa walikamatwa kwenye...
Haji Manara ameshiriki kuuwekea taswira mpya mpira wetu Tanzania. Hamasa ya mpira tanzania imekuwa kubwa sana katika kipindi cha Haji. Haji amesababisha watu sasa wanakwenda wengi viwanjani kuangalia football jambo ambalo watu wanafahamu hivyo, serikali inajua, bunge linafahamu, TFF inajua...
Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji.
Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu.
Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene kimefunika hili tukio ambalo naamini limeandikwa kwa pen ya moto.
Uwenda kikawa moja ya kisa...
Nimewasililiza wapinzani Lema na Lissu leo wakiongea kwenye youtube. Wameongea sio kupinga ya CCM bali kueleza hali ya vijana wetu Tanzania.
Wanasema wamechoshwa na watu ambao wana tuma private message eti wenyewe ndiyo wawaseme wengine wakiwa wameonewa kazini, wengine wakiwa wame pewa kesi za...
Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
Imekua kawaida kila panapotokea pambano, baadhi yao kwa uwoga wa kupambana wanajipiga risasi kwenye miguu ili waondolewe kwenye vita na kulipwa. Wengi hawapigani kizalendo maana huu ugomvi hawaelewi tija yake, hawaoni sababu kwanini wafie humo.
================
A Russian paratrooper who fought...
Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20.
Wataalamu hao wa masuala ya silaha wamesema wanaamini kuwa PKK-20 ni submachine gun namba moja kwa ubora duniani na itaendelea...
Watu wanane wamejeruhiwa vibaya baada ya mtu mmoja mwenye silaha kuvamia basi moja mjini Jerusalem na kuanza kufyatua ovyo risasi.
Miongoni mwa watu walio athirika na shambulio hilo ni mwanamke mjamzito ambaye amelazimishwa kujifungua mapema chini ya uangalizi wa madaktari baada ya kuwa na hali...
Wanawake waliokuwa wakiandamana kudai haki ya kuwa na huru Nchini Afghanistan wametawanywa na Wanamgambo wa Taliban ambao pia walitumia nguvu kuwashambulia kwa kuwapiga na kufyatua risasi hewani Jijini Kabul.
Mbali na kuwapiga baadhi yao, pia Wanamgambo hao walichukua simu za waandamanaji hao...
Shambulizi la risasi katika Mji wa Cetinje Nchini Montenegro limesababisha vifo vya watu 11 kati yao Watoto wakiwa ni wawili wa miaka 8 na 11.
Taarifa ya Polisi inasema mtuhumiwa wa shambulizi hilo alitumia bunduki ya kuwindia wanyama kwa kuishambulia familia iliyopanga katika nyumba yake...
Habari za wakati huu ewe msomaji wa makala hii, nipende kukushukuru kwanza kwa kutenga muda wako kwaajili ya kutengeneza maarifa mapya kutoka katika ujumbe huu uliojaa madini na ninaamini hutajutia hata sekunde yako moja katika kusoma makala hii.
Jana tarehe 25/07/2022 ilikua ni siku Kubwa sana...
Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu.
Familia ya mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.