Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani.
Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021.
Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea Saba kasoro mchana huu, mtu huyo ambaye hakujulikana alikotokea, alianza...
Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa.
95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni
Kuongopea umma
Kujustify propaganda walizozisambaza.
Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya...
Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana.
Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
Ni jambo ambalo sintalisahau maishani mwangu, japo lilitokea zaidi ya miaka 20 iliyopita. Leo nimeamua kulisimulia kwa kuwa nadhani kwa sasa limefikia hatua ya kuwa "declassified" hata kama lilikuwa ni siri, ila sintataja majina ya wahusika.
Ilikua usiku mmoja katika kambi ya JKT Mgambo, katika...
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.
Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo halafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia...
Fisi huyo aliyeua mtoto wa mwaka mmoja na nusu baada ya kuvamia nyumba katika Kijiji cha Kangeme wilayani Kaliua alijeruhi pia watu watatu ambao inaelezwa wanaendelea vizuri.
Diwani wa kata ya Zugimlole, Ramadhan Balikeka amesema kuwa wananchi waligawana nyama na haelewi walienda kufanya nini...
Meja Jenerali Hassan Ahmed
Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed.
Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia askari wa jeshi la wananchi Tanzania, (JWTZ), wilayani Monduli kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mfugaji, Laisi Lemomo(26)Mkazi wa Kijiji Cha Lashaine wilayani Humo.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa jeshi la polisi Mkoani...
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema...
Maafisa wawili wa polisi wamejeruhiana kwa risasi usiku wa siku ya Ijumaa baada ya kutokea ugomvi juu ya mwanamke katika klabu moja eneo la Barabara ya Thika, Nairobi nchini Kenya.
Ugomvi kati ya Konstebo Festus Musyoka na Konstebo Lawrence Muturi ulitokana na mwanamke aliyekuwa ameambatana na...
Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba aliyewahi kudai kwamba wakati anamfanyia postmortem alitoa risasi 18 kifuani..!? Nani alisema ukweli na...
The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years.
President Museveni has vowed to “defeat” armed assailants who attacked and injured former Works and Transport minister Gen...
Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake.
Mama kilio cha...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
Alisem hadharani na wala si siri, hakuna anayemsingizia. Atakuwa anajua mipango yote.
Inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lisu risasi maana alisema and I quote him "Safari hii tunammaliza na sindano, pyuuuuuuuuuuuu
Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari
Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, amesema mauaji ya watu wanne katika mgomo wa wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Kilombero, ni miongoni mwa vikwazo vilivyoutikisa...
Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet.
Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.