roma

Ibrahim Mussa, commonly known as Roma Mkatoliki, is a Tanzanian artiste, political activist, and member of Rostam, a hip hop group from Tanzania.Aside from being a member of Rostam, he is also pursuing a solo career. Some of his hit releases include Anaitwa Roma, Mkombozi, to mention a few.In 2007, Roma was kidnapped alongside other artistes at the studio. An incident that fans claimed it was staged for popularity.
  1. Anayetuhumiwa kumlawiti mtoto katika Vyoo vya Kanisa - Sinza, asema “Sina lolote, naiachia Mahakama”

    Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa, jana Machi 3, 2024 shauri hilo limetajwa, ambapo alipopewa nafasi ya utetezi amesema hana lolote la...
  2. Roma Mkatoliki Ft. One Six

    Story ndiyo itakayobaki Mkombozi Anaitwa Roma
  3. Roma Mkatoliki abariki wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM. Kwa sababu yanawanufaisha.

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X. "Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!! Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
  4. Nimeota ndoto na kuona roho wa paka kwenye kiti cha enzi cha papa Francis wa kanisa la Roma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Katika kufunga Kuna faida zake Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea...
  5. Pre GE2025 Roma aeleza hisia zake Vyama vya Upinzani kuwatenga wasanii katika shughuli zao

    Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return…. Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
  6. Roma Mkatoliki: Wanaosema Lissu anakosea kutoa siri za chama ndo hao hao wanamuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe

    Wakuu, Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea ============================================== "Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe...
  7. Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu. Aristotle anaona kuwa...
  8. B

    Na unakuta hata sisi tunaoonewa na kuwanenea mabaya watu hao, hata sisi hatujakamilika pia ( Roma )

    wanaotutendea mabaya, wanaotutesa, wanaotuua,wanaotuibia, wanaotudhulumu haki zetu, wanaotufunga bila hatia….. Upande wa pili wa shilingi watu hao hao wanawatendea mema watu wengine, wanasaidia yatima, wanawawezesha wajane, wanajenga nyumba za ibada na kutoa sadaka zinazoendesha nyumba hizo...
  9. D

    Roma na wamitego nani mkali

    Wajumbe  hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
  10. Usia wa Roma Mkatoliki kwa wanaojiandaa kuoa

    Salute comrades! Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali wawafanyie wachumba wao " vetting" ya kutosha. Roma amesema kabla hujamuoa huyo mchumba wako na...
  11. Hivi Roma aliposema mawingu kwenye derby ya Paka na Panya alimaanisha Clouds FM?

    Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe, Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe, Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe, Acha kumpinga ukimsema unanyea debe, Hakua mlevi wa uhuru kunyata kama kalewa, Labda kama madaraka yanalevya alolevyewa, Sometimes hivi vyeo vina hangover, Lake gang...
  12. Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  13. Wasanii wa HipHop Tanzania wana kitu Cha kujifunza kwa Roma Mkatoliki

    Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊 Ukipata muda zisikilize
  14. Roma Mkatoliki amemaanisha nini kwenye huu mstari

    Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''. Wajuzi wa mambo amemaanisha nini? Written by Mjanja M1 ✍️
  15. Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  16. Historia fupi ya mji wa ROMA

    KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA? Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma. Roma imeanza kukaliwa na watu kwa zaidi ya miaka elfu 2 iliyopita. Ni mji wa 3 kwa umaarufu katika...
  17. Z

    Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

    The siege of Jerusalem of 70 CE was the decisive event of the First Jewish–Roman War (66–73 CE), in which the Roman army led by future emperor Titus besieged Jerusalem, the center of Jewish rebel resistance in the Roman province of Judaea. Following a five-month siege, the Romans destroyed the...
  18. Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  19. Klabu ya AS Roma yamfukuza kazi Jose Mourinho kutokana na matokeo mabovu

    Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
  20. Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

    Hapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi. NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu. ♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…