royal tour

A state visit is a formal visit by a head of state to a foreign country, at the invitation of the head of state of that foreign country, with the latter also acting as the official host for the duration of the state visit. Speaking for the host, it is generally called a state reception. State visits are considered to be the highest expression of friendly bilateral relations between two sovereign states, and are in general characterised by an emphasis on official public ceremonies.
Less formal visits than a state visit to another country with a lesser emphasis on ceremonial events, by either a head of state or a head of government, can be classified (in descending order of magnitude) as either an official visit, an official working visit, a working visit, a guest-of-government visit, or a private visit.In parliamentary democracies, while heads of state in such systems of government may formally issue and accept invitations, they do so on the advice of their heads of government, who usually decides on when the invitation is to be issued or accepted in advance.
Queen Elizabeth II is "the most travelled head of state in the world," having made 261 official overseas visits and 96 state visits to 116 countries by the time of her Diamond Jubilee in 2012. Although she is sovereign of each of the Commonwealth realms, in practice, she usually performs full state visits as Queen of the United Kingdom, while the relevant governor-general undertakes state visits for his or her respective country on the sovereign's behalf. However, the Queen has occasionally made some state and official visits representing one of her other Commonwealth realms.

View More On Wikipedia.org
  1. Royal Tour ndo ishasahaulika?

    Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita. Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya. Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu. Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili...
  2. B

    Kufuatia Royal tour, sasa wizara kubomoa nyumba Kilwa ili ziwe za kisasa

    05 May 2022 SIKU YA KUADHIMISHA URITHI WA DUNIA AFRIKA, WIZARA KUBOMOA MAJENGO YA URITHI KILWA Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia mamlaka ya usimamizi wanyama-pori TAWA ikiadhimisha siku ya urithi wa dunia Afrika imesema ina mpango wa kuboresha mazingira ya Kilwa Kisiwani kwa kubomoa...
  3. Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  4. U

    Video ya Mzungu huyu TZ Ina views wengi ndani ya siku moja kuliko royal tour

    Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchi ya...
  5. Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Wa-TZ wenzangu! Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao. Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini...
  6. Royal Tour: Yanayosemwa, yasiyosemwa na yanayodhaniwa

    Naomba nishare nawewe alichokisema kaka yangu James Gayo kwa maneno haya. Kinachosemwa huku mitaani ni kwamba, Tanzania imetengeneza sinema (Wengine wameiita tangazo na wengine makala) ya Royal Tour ili kuvutia utalii na Rais wa Tanzania ndiye mwigizaji mkuu. Kwa kauli hiyo inadhaniwa kuwa huu...
  7. Kwa nini sinema ya Taifa inaitwa 'Royal tour'?

    Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
  8. Pesa zilizotumika kutengeneza filamu ya Royal Tour ni mali ya nani?

    Serikali ya Tanzania imesema zaidi ya shilingi bilioni 7 zilikusanywa kutoka kwa watu binafsi ili kufadhili uandaaji wa filamu ya Royal Tour. Serikali inakiri mambo haya: 1. Serikali ndio iliyoomba watu mbalimbali wachangie pesa za kuandaa hiyo filamu. 2. Serikali ndio iliyoratibu ukusanyaji wa...
  9. The Royal Tour (Tanzania) - itazame hapa bure

    Kama hujapata bahati ya kuiona filamu ya Tz Royal Tour ni hii hapa. Enjoy. Utajifunza mengi
  10. Hii imekaaje kitaalamu? CHADEMA wanatembeza hashtag ya katiba mpya, lakini wanamzuia Msigwa asitoe maoni kuhusu Royal Tour, wanaaminika?

    Watanzania tuwe makini ... Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake? Hawa...
  11. T

    Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda na Gharama

    Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda. Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya kuzinduliwa Marekani, ikazinduliwe Ulaya na Kisha Asia kama Japan, China, South Korea, Malaysia...
  12. J

    Shaka Hamdu Shaka: Si utashi wa Rais Samia kufanya Tanzania Royal Tour

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza na kumsifu Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuifungua Tanzania kitaifa na Kimataifa, Aidha Katibu huyo wa Itikadi & Uenezi wa CCM-tanzania amempongeza zaidi Mhe Samia Saluhu...
  13. Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

    Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
  14. Royal Tour! kulikoni wagharimiaji hawatajwi hadharani? Tunaishia kuambiwa ni Watu Binafsi

    Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi. Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC. Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani Kilimanjaro, leo asubuhi. Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii. Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la...
  15. Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

    Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo. Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18. NANUKUU: Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
  16. Serikali: Mafanikio makubwa ya Royal Tour ni kufanikiwa kumshawishi baba yake Rihanna kuja kuishi Tanzania

    Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA! Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa. Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
  17. L

    Baada ya uzinduzi wa Royal Tour USA. Rais Samia fanya ziara kwenye nchi za EU

    Kwanza Rais wa JMT nakupongeza kwa jitihada zako za kupigania maisha ya Watanzania. Nimefurahishwa sana na wazo lako la filamu inayotangaza vivutio vya utalii nchini. Ziara yako Marekani ni nyenzo kuu ya kuinua uchumi wa Tanzania katika utalii na uwekezaji. Hakika Rais wewe ni zawadi kwa...
  18. Rais Samia arudi nchini, kuzindua 'Royal Tour' Arusha. Benki ya Dunia na IMF waahidi fedha kama zilizojenga madarasa

    Leo Rais Samia Suluhu amerejea nchini na atazindua filamu ya 'Royal Tour' jijini Arusha. Rais Samia ametoa mrejesho wa kilichojiri kwenye ziara yake Marekani ambapo aliondoka nchini April 13, 2022. Miongoni Rais Samia ameongelea kukutana na IMF na benki ya dunia ambapo ameahidiwa fedha kama...
  19. Q

    Filamu ya The Royal Tour kuonyeshwa vituo vyote vya TV Mei 8

    "Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
  20. Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

    Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16. SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…