safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Bwana kaduga

    Maisha: Safari ya kujifunza, kukua na kupata maana

    "Maisha ni safari yenye vipindi tofauti, yenye furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Ni safari inayotufundisha kuwa na uvumilivu na uthabiti. Kila siku tunapita katika hatua tofauti za kujifunza na kukua, tukikumbana na vipindi vya furaha vinavyotufanya tuhisi shukrani na wakati mwingine...
  2. R

    Naomba msaada wenu juu ya safari ya train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaam

    Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada please.
  3. MK254

    Iran yasimamisha safari zote za ndege usiku wa leo

    Jamaa wanaweweseka balaa! Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la Iran, likinukuu msemaji wa Shirika la Usafiri wa Anga la Iran. Taarifa kwa marubani, au NOTAM...
  4. Msanii

    Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana safari ya kisiasa ya Samia na kuwatishia CCM

    Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila anayekiuka kwa makusudi au bahati mbaya maagizo ya Mola. Hapa duniani tunaelewa namna moto unavyoteketeza...
  5. D Metakelfin

    Sitasahau safari ya makambako

    Aisee Mimi ni mkazi wa Arusha siku zote nilijua Arusha ndio Kuna bridi kuliko mikoa mingine Tanzania😂😂😂 Uwiii sintakaa nisahau siku nilimpeleka Mwanangu kureport Form Five Makambako Secondary School ( Government School) eeeeeh 🤔. Tulipanda basi ya Mbeya inapita Makambako, na lazima Bus kupita...
  6. Jamii Opportunities

    Safari Driver (Tour Guide ) at Altezza Travel September 2024

    Company DescriptionAltezza Travel is a team of dedicated wildlife specialists, whose mission is to turn your Tanzanian dreams into reality. We are vastly experienced in organizing top-notch Kilimanjaro climbing expeditions and wildlife safaris. Unparalleled safety standards, individual care for...
  7. Bob Manson

    Nipo Magomeni na sioni mtu. Mko wapi tuanze safari kwenda mnazi mmoja?

    Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
  8. KING MIDAS

    Je una safari ya kwenda nje ya nchi? VISA INTERVIEW QUESTIONS:-

    VISA INTERVIEW QUESTIONS 1. What is the purpose of your visit?: Be prepared to explain the reason for your trip, whether it's for tourism, business, education, or visiting family and friends. 2. Have you visited this country before?: Provide details about any previous visits, including the...
  9. GENTAMYCINE

    Kwanini ukipanda ama Basi au Gari linaloendeshwa na Mzee unakuwa na Amani na Safari yako kuliko ukipanda ambalo anaendesha Kijana?

    Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
  10. Genius Man

    Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
  11. Bila bila

    Msafara wa Mwenge kusimamisha safari za mabasi Kwa masaa 4 ni udikiteta.

    Nimetoka kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi alifajiri saa 12 Kwa basi la Rukwa Raha. Tumefika kijiji cha Chala majira ya saa 2 hivi asubuhi. Cha kushangaza tumekuta mabasi yamesimamishwa hapa Tangu saa 1 asubuhi Kwa Kisingizio cha kutoingilia msafara wa Mwenge àmbao unatokae Sumbawanga. Kutoka...
  12. X

    Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

    Ni habari yenye kuhuzunisha masaa kadhaa yaliyopita Boeing Starliner imeshindwa kuwarudisha duniani wanaanga wawili waliopelekwa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, International Space Station (ISS) Ikumbukwe kuwa wanaanga hawa Barry Wilmore (M) na Sunita Williams (F) walienda na...
  13. Pdidy

    Kuweni makini na vyakula vya njian hasa safari ndefu

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi Alipofika Mombo akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Baadae Akaomba na...
  14. Mr Dudumizi

    Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  15. Nehemia Kilave

    Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  16. jikuTech

    Ni kipengele katika safari ya kujifunza TEHAMA ya Juu

  17. Sean Paul

    Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

    Wakuu habari za jioni. Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu. 1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo. 2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake. 3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho. 4. Any other...
  18. H

    Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Habari wana JF July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection. Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa...
  19. GENTAMYCINE

    Usizuge kuwa unawahi safari kwahiyo huwezi Kuongea, ukweli ni kwamba Unajishtukia kwa maajabu ya kwa Afya na Wawili uliowatoa kwa Kushauriwa vibaya

    Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
  20. and 300

    Mzee Kipara anamiss Safari za nje

    Mzee Kipara huko alipo Bombuli atakua anakumbuka safari za nje na CHIEF. Mpaka sasa amemiss ile ya; 1. Kagame Inauguration, Rwanda. 2. SADC Summit Zimbabwe, 3. Kenya kwa Odinga AUC 4. China, FOCAC, 5. Washington DC, Marekani UNGA (mwezi September). 6. Miaka 200 ya ufalme wa Lesotho (October)...
Back
Top Bottom