safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. green rajab

    Urusi kuanzisha safari za moja kwa moja Moscow - Tanzania ✈️

    Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia ✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania, Kuwait, Indonesia and Saudi Arabia - Ministry of Transport. --- In a move aimed at enhancing...
  2. GENTAMYCINE

    TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege

    Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa Chikangawa. Ndege hiyo ilioondoka Lilongwe saa 3:17 asubuhi jana Juni 10, 2024 na ilipangwa kutua...
  3. R

    Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  4. M

    SoC04 Safari ya kuifikia miundo ya mitaala na maendeleo kwa jamii endelevu ya Tanzania ili sayari yetu, watu wasasa na wajao, kwa leo hata keshokutwa

    Katika falsafa ya kibudha, lengo la elimu linafunganishwa kwa karibu na lengo pana la maisha ya mwanadamu, ambao ni kupatikana kwa mwanga au ukombozi kutoka katika mateso na kukomaa kiakili kitabia, na utashi wa kuitumia hekima kwa mtu binafsi. Kulingana na Ubudha, sababu kuu za mateso na...
  5. JOHNGERVAS

    Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  6. G

    SoC04 Elimu ni safari

    Nilipokuwa mdogo wazazi wangu hawakuacha kunisisitiza nizingatie masomo kwani elimu ni ufunguo wa maisha. Wazazi waliamini wakitupeleka shule nzuri na kutupatia elimu bora basi maisha yetu yatakuwa ya kujitosheleza kuliko yao. Kipindi cha likizo wakati wanafunzi wengine wakiwa nyumbani sisi...
  7. B

    #TSCLIVE: Safari Tanzania, Wildscreen Festival Tanzania

    06 June 2024 Matunda ya Tanzania Royal Tour kuwashirikisha wananchi ili kuleta mguso chanya kwa waishio karibu na maliasili hizo pia wadau wa sekta ya utalii #TSCLIVE: SAFARI TANZANIA, WILDSCREEN FESTIVAL TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=AyZUZjtIPxg
  8. itakiamo

    TAMISEMI safari hii sijui wamezingatia nini

    Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science. Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys. Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
  9. Termux

    SoC04 Safari Ya Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu na tekinolojia

    Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika: 1. Kuwekeza katika Miundombinu ya Teknolojia - Kujenga na kuboresha miundombinu ya intaneti mashuleni na vyuoni. - Kuweka vituo vya...
  10. Druggist

    Naianza Safari ya kujenga na kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati (Certificate na Diploma)

    Wakuu Habari za Majukumu. Imekuwa ndoto yangu kuanzisha na Kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati,kinachotoa Elimu ya stashahada na astashahada hasa kwenye Kada ya Afya.Tayari Nina Eneo la Kutosha Kujenga Majengo.Kwa ambao tayari wanaendesha hii Shughuli nini cha kuzingatia? Sijawahi kuwa Mwalimu...
  11. Lady Whistledown

    Marekani: Bilionea mwingine apanga safari ya kuchunguza Mabaki ya Titanic

    Larry Connor ambaye ni Bilionea Mmiliki wa Kampuni za Uuzaji wa Mali za Kifahari zisizohidhishika (Luxury Real Estate) na rafiki yake Patrick Lahey aliye Mtaalamu wa uchunguzi wa kina cha bahari wanapanga safari ya Manowari (Submarine) ili kuchunguza mabaki ya Meli ya Titanic Hii ni karibu...
  12. E

    SoC04 "KULETA MAPINDUZI YA DIJITALI: Safari ya Tanzania kuelekea Mawasiliano ya Ufanisi

    Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia mabadiliko na fursa zinazoendana na zama za dijitali, hapa chini tunajadili hatua muhimu zinazoweza...
  13. H

    SoC04 Safari ya Teknolojia na maendeleo

    UTANGULIZI Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoendelea barani Afrika. Ingawa changamoto zipo, tunaamini kuwa tuna fursa kubwa ya kujenga mustakabali mzuri kwa taifa letu. Chapisho la Gupta, 2020, linatuonyesha kuwa asilimia 80% ya ajira zinatokana na kilimo, huku asilimia 20% zikitokana na...
  14. Lanlady

    Kwenye safari ya mafanikio ukishajua nyota yako inaandamwa jitahidi sana kudhibiti mhemko (emotion)

    Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya. Kwa wasomaji wa biblia wataungana nami kwa kurejea matukio mbalimbali ya kuandamwa kwa watu wenye nyota za mafanikio...
  15. M

    SoC04 Maisha ni safari kadri unavyosimama sana vituo visivyo vyako ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

    UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA? MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
  16. R

    Pre GE2025 Wasanii wakisafiri na Rais nje wanakwenda kutumbuiza? Nani atagharamia safari zao?

    Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani? Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani...
  17. Hakuna anayejali

    Juzi nilikuwa nasikiliza redio safari fm lakini sikupendezeshwa na vipindi vinavyotangaza namba za simu za watafuta wenza

    Hadi leo kunavipindi vya kutafuta mwanamke au mwanaume wa kuishi naye yani mke au mume na namba zinatolewa. Tupo siriazi kweli au tunachochea umalaya na watoto wa mtaani bila kujielewa? Mi naona heri vipindi vya aina hii viondolewe aliyekuwa siriaz kuoa na kuolewa hawezi kujirahisisha redioni.
  18. Abdul Said Naumanga

    SoC04 SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania

    MWANZO Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama...
  19. BARD AI

    Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa kugharimu Tsh. Bilioni 3.94. Amekodi Ndege kutoka Dubai

    Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing 737-700 kutoka kampuni ya Royal Jet ya Dubai. Hatua hiyo imeibua mijadala ya nchini humo kwa Wananchi...
  20. Grand Canyon

    Safari katika barabara za Tanzania ni Changamoto

    Kwa kweli matrafiki ni wengi sana barabarani. Hawatoi elimu kuhusu matumizi ya barabara, lugha yao ni kupiga faini tu. Inachosha kwa kweli. Nimewahi kufanya safari ya usiku sikuona traffic hata mmoja. Lakini nilifika salama. Lakini mchana ni balaa. Mfano wanasimama na camera yao kwenye kibao...
Back
Top Bottom