Habari
Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati ya hizo mbili kaniambia PC3L ni latest inaweza isisome kwenye PC za zamani na PC3 ni ya kitambo...