sahihi

  1. kavulata

    Anthonio Guterres yuko sahihi, HAMAS sio magaidi

    Anthonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) alilazimika kuyakana matamshi yake kuhusu HAMAS baada ya kulaumiwa na Israel kwa kauli yake kuwa HAMAS ni wapigania ardhi yao iliyokaliwa kimabavu na Israel kwa miaka mingi sasa. HAMAS waliishambulia Israel na kuua wanajeshi wengi wa Israel...
  2. Kurunzi

    Sasa ni wakati Sahihi wa Simba na Yanga Kuunganisha Silaha, Kupambana na Waarabu

    Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee. Sasa ni...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Jino kwa jino ndiyo mbinu sahihi ya kudili nayo kwenye mahusiano

    Kwema Wakuu! Mbinu bora ya wakati wote ambayo hata mimi Taikon ninatumia kwenye mahusiano yangu ambayo nimefanikiwa na nitafanikiwa. Yaani kwenye jino kwa jino kufanikiwa sio hiyari bali lazima. Nipende nikuonyeshe upendo maradufu. Nijali nikujali. Niheshimu nikuheshimu. Niletee upuuzi alafu...
  4. Pang Fung Mi

    Kuna anguko kubwa sana la kujua kuandika sentensi na herufi sahihi za maneno miongoni mwetu Watanzania

    Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc. Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye...
  5. fungi06

    Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

    Ajali za barabarani zimekuwa zikileta kilio kwenye familia zetu nyingi hapa Tanzania na kupoteza wapendwa wetu wengi. Huu mwaka tuu nimepoteza marafiki na ndugu watatu kwa ajali tuu za barabarani na wote wameacha watoto na familia zinazowaangalia. Hii ni kwangu na ninajua kwa wastani wa nchi...
  6. Analogia Malenga

    Tsunami: Yalikuwa mazoezi ya nchi 25, lakini je tumefanya sahihi?

    Nimesoma taarifa ya UNESCO inayoeleza kuhusu mazoezi ya Tsunami kwa nchi zilizo katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Mazoezi haya yalitaka kupima uwezo wa nchi katika kuhakikisha jamii inakuwa tayari na kuangalia uwezo wa mawasiliano. soma taarifa hiyo hapa Indian Ocean Countries Get Ready for...
  7. GENTAMYCINE

    Yafuatayo ni majibu Mujarab ( Sahihi ) ya Ali Mayai wa BMT kwa wanaohusisha Rangi za Mkapa Stadium na Ushoga ( LGBTQ )

    "Walioliibua hili ( GENTAMYCINE nawataja kuwa ni wana Yanga SC ) wana Uelewa mdogo mno wa Mambo. Rangi zote zilizopo zinawakilisha Uafrika Wetu pamoja na Rasilimali zinazopatikana na ukiangalia Kiumakini katika Rangi hizi utaona nyingi ziko hata katika Bendera yetu ya Tanzania ambao tumepewa...
  8. S

    Matumizi sanifu na fasaha ya mofimu "kwa"

    Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja na matumizi ya Kishengi lakini napenda kukumbusha juu ya matumizi sanifu na fasaha ya mofimu hiyo...
  9. S

    Kwanini tunang'ang'ania matumizi yasiyo sahihi ya neno "Pelekea"?

    Pelekea ni mnyambuliko wa neno peleka ambalo maana yake ni kumchukua mtu au kitu na kukifikisha mahali panapotakiwa. Kwa kuzigatia maana ya peleka na mnyambuliko huo wa kutendea wa peleka, maana ya pelekea ni kufanya tendo la kupeleka kwa ajili ya mtu fulani au kwa niaba ya mtu fulani. Mifano ya...
  10. Bushmamy

    Hivi ni sahihi mtoto kufukuzwa shule ya msingi kisa hajui kusoma na kuandika?

    Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika. Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali. Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
  11. Foxhunters

    Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga

    Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga. Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6. 1. Historia yake. 2. Makabila yake, mila na desturi. 3. Huduma za kijamii. 4. Uchumi kwa ujumla.
  12. DON YRN

    Kurasimisha makazi eneo la machimbo ya mchanga, Kunduchi(mashimoni) ulikuwa uamuzi sahihi?

    Ni kweli muda mwingine mambo huwa yanabana hadi mamlaka za Serikali kuamua kufanya maamuzi pengine yanaweza kuwa ya ajabu na kusikitisha kwa upande mmoja lakini pia kwa muda huo huo kwa upande mwingine yakawa ni maamuzi ya kutia moyo na kufurahishwa wananchi. Swali langu ni; Je, Mamlaka za...
  13. R

    Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu? --- - Rais Samia ateua Katibu...
  14. W

    Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
  15. OCC Doctors

    Wakati sahihi kwa mjamzito kusafiri

    Wakati mzuri wa kusafiri kwa mjamzito ni vizuri kusafiri katikati ya ujauzito (kuanzia wiki 14 ya ujauzito hadi wiki 28). Kwasababu katika wiki hizi, nguvu zilizopotea wakati mimba ikiwa changa hujirudi upya, ugonjwa wa kutapikana, kichefuchefu hukoma na kuisha, pia mjamzito anaweza kuzunguka...
  16. Mbute na chai

    Msaada: Nifahamisheni kimo sahihi cha paa la nyumba

    Habari wakuu, Kwa nyumba yenye ukubwa wa 13m kwa 12m (urefu na upana), ili iwe na mwonekano mzuri, urefu wa paa (king post height) unatakiwa uweje kwa kipimo cha futi?
  17. R

    Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  18. Miss Zomboko

    Uwazi ni kanuni ya msingi kwa Waandishi wa Habari wakitarajiwa kutoa Taarifa kwa Umma ili Wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi

    Waandishi wa habari mara nyingi huandika matukio ya kisiasa na matendo ya wanasiasa, na wanasiasa hutegemea utangazaji wa vyombo vya habari kuwasiliana na umma. Hata hivyo, kudumisha tofauti ya wazi ya majukumu ya waandishi wa habari ni muhimu kwa utendaji wa demokrasia yenye afya, ambapo...
  19. GoldDhahabu

    Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

    Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya, Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule. Yesu tusaidie wanaume. Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3...
Back
Top Bottom