sahihi

  1. hermanthegreat

    Ipi ni njia sahihi ya kupima uwezo wa akili ya mtu?

    Habari wakuu Ipi ni njia sahihi ya kutambua akili ya mtu
  2. ___pennie

    Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

    Wadau wa jamii naomba kujua hili, Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako? Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
  3. D

    Meno ya Ndovu na Pembe za Tembo ipi sahihi?

    Mara nyingi nasikia Pembe za Ndovu na meno ya Tembo na sio vice versa je tofauti yake ni nini? Naombeni mnisaidie kwa hili.
  4. Uwesutanzania

    Kuna wakati kukata tamaa ni chaguo sahihi

    Habari zenu ndugu zangu, japo hatufahamiani ila uwepo wenu humu imekuwa ni faraja kubwa sana kwangu kwani mmekuwa watu wa kunipa furaha na kunifariji mara kwa mara,. Leo nimeona ni bora nisiwaache mkafa bure bila ya kulitambua hili, Ndugu yangu KUNA WAKATI KUKATA TAMAA HUWA NI CHAGUO SAHIHI...
  5. Da'Vinci

    Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

    Wakuu, Kikawaida mafundisho ya ndoa za kikatoliki hua kati ya wiki 2 mpaka mwezi 1 lakini katika jimbo XXX (Jimbo katoliki) na parokia zake zote hali ni tofauti kabisa mafundisho ya ndoa ni lazima uhudhurie kwa miezi 9. Watu wamelalama kuhusu hili lakini askofu wala hana habari sana paroko...
  6. S

    Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

    Kama Raia wa nchi anaweza kuanzisha ofisi yoyote na ikawa halali kikatiba, vipi siku Rais akiamua kuanzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mwenza wake au mtu mwingine yoyote yule kushika wadhifa huo, si pia atakuwa sahihi? Hata kama Katiba yetu inatambua Tanzania sio nchi ya kifalme...
  7. Petro E. Mselewa

    Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  8. sky soldier

    Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  9. GENTAMYCINE

    Kwa hili Katibu Mkuu wa UN yuko sahihi 100%, ila kwa Wazungu hapa ameshawakwaza na asipochukiwa nao sijui..!!

    Africa is underrepresented in the global financial architecture, just as it lacks a permanent seat on the Security Council. The world has changed. Global governance must change with it. We need reforms to make global frameworks truly universal & representative of today's world. Chanzo...
  10. J

    Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

    Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected! "Mlifaulu Sana" hata kwenda chuo hakuna DVC wa chuo ataacha Div one 3 achukue one pts 7, Mliopata hongereni, ambao bado msikate...
  11. Wakili wa shetani

    Ni sahihi kumpa kichapo dingi iwapo anampiga mama?

    Jamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
  12. R

    Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
  13. comte

    Fahamu tafsiri sahihi ya kosa la uhaini na adhabu yake usije ukasema watu wanaonewa

    Uhaini ni kosa la jinai analofanya mtu dhidi nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini. kifungu 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo...
  14. comte

    Hizi hapa sababu wanawake kukimbilia mikopo ‘kausha damu’

    Serikali imetaja sababu za wanawake kukimbilia mikopo yenye masharti magumu, ikiwamo wengi kuwa na elimu ndogo ya fedha. Tatizo hilo lilielezwa ni chanzo cha wanawake kujiingiza katika mikopo hiyo maarufu kwa majina kama vile ‘ kausha damu’ na ‘mikopo umiza’. Katibu Mtendaji wa Baraza la...
  15. L

    Lipi ni chaguo (Option) sahihi kuhusu ujenzi wa nyumba ya Ghorofa moja

    Wanabodi. Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama. Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi...
  16. Ebejo

    Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  17. Zekoddo

    Uwiano sahihi kati ya mchanga na cement mfuko mmoja kwa ajili ya kuchapia nyumba

    Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie.. Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..
  18. comte

    Wakili Serikali Mulwambo: Mantiki sahihi ni kuingalia IGA dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo sheria za Tanzania

    Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
  19. Hamza Nsiha

    Ni sahihi lakini, Feedback (Mrejesho wa taarifa) ni muhimu zaidi

    Leo, nimetenga muda wangu kupitia maoni ya ndugu zangu kuhusiana na changamoto juu ya mabasi yaendayo kasi, ni dhahiri kuwa ni jambo ambalo kwa sasa linahitaji kutiliwa maanani kwa sababu hata mimi leo nime_experience hizo changamoto hadi nikaamua kughairi safari ilihali nilikuwa nmeingia ndani...
  20. Equation x

    Utajuaje ajira uliyonayo si sahihi kwako?

    Huu uzi ni muhimu kwa wale wote wenye viashiria vya kuja kuwa mjasiriamali na anayejisimamia mwenyewe kwenye biashara zake. Wapo watu wanaishi katika mazingira magumu sana ingawa bado wapo kwenye ajira. Mahitaji ni mengi kuliko mapato, leo anapokea mshahara baada ya siku saba hela imeisha na...
Back
Top Bottom