Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam.
Habari zaidi, soma:
Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
akili
dp world
dubai
genge
imeshindwa
karne
majina
malipo
mambo
mkataba
mkataba bandari ya dar es salaam
mkataba wa bandari
msimamo
muwekezaji
sahihi
ukweli
upande
wafanyakazi
wanaopinga
watanzania
wenye
wenye akili
world
wote
Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa.
Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili,
Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii.
Chama Cha ngumi Cha Tanzania...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house
Aksanteni na karibuni
Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua.
Katika harakati zangu za Maisha longolongo ndio ilikuwa janja yangu. Katika kikao kimoja nilifanya na viongozi wa...
Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi waliokuwa wanasita kukiri kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi duniani warudi nyuma, na wale waliokuwa...
Huku mitaani idadi ya vijana wasio na ajira ni kubwa na inazidi kuongezeka Kila uchao. Tatizo ni kubwa na linazidi kuongezeka kwa Kasi,ajira ndio msingi wa kipato na kipato ndio msingi wa maisha.
Yapo mawazo yanayowataka vijana wajiajiri,kinadharia ni dhana nyepesi kuizungumza lakini ngumu...
Je, ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je, Mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
---
Pia soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini...
Wasalam wadau ,
Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni.
Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
Kwa jinsi Lissu anavyoendelea vibaya kuutumia uhuru alionao kikatiba katika mikutano tofauti, inakaribia sana kwetu waTZ kuamini kuwa yaliyomtokea wakati wa Magufuli pengine haikuwa makosa.
Mpaka sasa bado waTZ tunamuonea huruma kwa yaliyotomtokea wakati ule, ananafasi yakujisahihisha.
Kauli...
Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila...
Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni
01. Utunzaji wa Mazingira
02. Afya za wanaadamu na
03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
Habari wakuu.
Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya.
.......
Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
Wanachofanya Gerson Msigwa na RC Mbeya akivymiliki kwa kweli; wanawatukana watanzania adharani bila woga wakiamini wanatetea serikali.
Msemaji wa serikali kutamka kwamba Serikali imeshindwa kuwasimamia watumishi wa bandari ni kumdharau aliyemteua. Kutamka adharani kwamba bandarini kuna wezi na...
Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi.
Kuna masuala kadhaa:
1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi.
Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
Kila uchao Waziri mkuu analioloma oooh DP hawachapewa Bandani, Tumuamini nani??? Hakuna mwanasheria au kiongozi mwenye hekima amejitokeza kutetea huu mkataba, yuko wapi Makamba mzee wa kulamba asali, Ana Makinda, PIUS Msekwa ??? Kama mmmebugi mnyamaze , Tanzania tunapungukiwa viongozi bora, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.