Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu, msaidizi pale unahitaji. Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi.
Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa na kupendwa.
Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia, kapeti na kila kitu...