samaki

  1. S

    Wazoefu wa ufugaji wa samaki hizi nyaya ni za nini kwenye bwawa? Angalia picha

    Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza ni kwa ajili ya nini. Anayejua matumizi yake tafadhali tusaidiane maarifa. kwa kuhisi tu nikafikiria...
  2. S

    Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga

    Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki. Nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga.
  3. S

    Kwanini Seychelles wanavua samaki katika maeneo yetu?

    Global Fishing Watch shared workspace Kutokea hio webusite ni live na inaonyesha meli au vyombo vya uvuvi vinavyovua,inaonyesha jama wanapenya mpaka karibu ya Mtwara na lindi na kukaribia visiwa vya Zanzibar kwa umbali wa kilomita kama 120. Je, walinzi wetu wanaweza kufika umbali huo kulinda...
  4. Mwenye kufahamu majina ya hawa samaki wa ziwa Tanganyika naomba anisaidie

  5. Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend. Kuna kamsemo kamoja huwa kanatamba sana huku mitaani...
  6. Kumbe ndugu zetu wa damu Wachina nao hutumia samaki nchanga

  7. M

    Pata samaki wa maji chumvi

    Tunauza samaki wa maji chumvi Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu Kwa kilo tunauza 7500 Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua. Wasiliana nasi kwa namba 0765758624
  8. Samaki mtamu kuliko wote duniani

  9. Nitapata wapi samaki wabichi kwa bei ya jumla kwa jiji la Dodoma?

    Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu. 1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma? 2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili? Ahsanteni...
  10. Mafunzo ya ufugaji samaki online

    Habari wadau Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa . Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua...
  11. Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

    Majina ya Samaki , Maelezo na Picha (SAMAKIPEDIA) Blobfish Blobfish ni samaki anayetajwa kwamba ni kiumbe mwenye sura mbaya na muonekano usio vutia kuliko kiumbe chochote. Blobfish Ni samaki wa kawaida anayepatikana kwenye kina kirefu Sana cha bahari kati ya futi 2,000 hadi 4,000. Presha...
  12. Unawajua samaki wenye mbawa wanaoweza kupaa angani? angalia kideo

    Exocoetidae ni familia yenye aina 64 za samaki ambao wana mbaywa na wanaweza kupaa angani. Uppaji wao huwa unafanyika baharini ili akichoka anarudi kwenye maji Samaki hawa wanaweza kupaa mita 6 juu ya uso wa bahari na huwa na mwendo kasi wa hadi kilometa 70 kwa saa, na anaweza kupaa hadi mita...
  13. Imekaaje hii, hotelini mzungu kampa paka samaki mkubwa

    Wazungu wana mambo ya ajabu sana, wacha nikupe mkasa nilioshuhudia leo Mida ya lunch leo kuna rafiki yangu kazini katutoa lunch rafiki zake twende hotelini kupiga msosi. wakati tunapiga msosi maeneo ya wazi nyuma ya hoteli, tukawa tunamshangaa mzungu flani yupo na paka wa pale hotelini...
  14. Tuliopo samaki samaki mlimani city tujumuike

    Tuliopo samaki samaki mlimani city tujumuike.. Uchumi wa kati ndio huu tusherekehe kidogo kidogo
  15. Biashara ya samaki

    Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma. Soko lake vipi lina upinzani mkubwa? Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu! WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
  16. Mchuzi rahisi wa samaki na ugali

    Inafaa kwa mabachela kama mimi nimejipikia haraka sana bila kuchelewa nikala nikashiba mchana ukapita. Mahitaji. Chumvi Mafuta Kitunguu kimoja Samaki wa kukaanga. Nyanya (idadi uipendayo) Jinsi ya kupika. 1.Katakata nyanya na vitunguu sehemu tofauti 2.Injika sufuria weka mafuta kiasi yaache...
  17. Kwenye samaki unapenda kula nini?

    Kwa upande wangu napenda kula kichwa aiseπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ Ninaweza nisile ugali alooπŸ€ͺπŸ€ͺ..ninakisosomola ni kinoumaπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€ΈπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasaπŸ˜…πŸ˜…namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza YonaπŸ˜…πŸ˜… πŸ‘‰πŸ πŸŸπŸ πŸŸπŸ πŸŸ Akili za kuumwa na njaa hiziπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Maisha...
  18. Samaki Samaki wafungua migahawa mingine inayojulikana kama KUKU KUKU

    Habari wadau wa JF, Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc Nawasilisha.
  19. Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…